LOWASSA USIENDELEE KUWA MUONGO ACHA KABISA MZEE

Omuchimati

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
428
250
Juzi baada ya Rais wangu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli, kupokea ripoti ya pili inayohusu usafirishwaji wa mchanga wa dhahabu aliibuka waziri mkuuu aliestaafu kwa manufaa ya umma Edward Lowassa, na kusema kuwa anayosimamia Mhe Rais ni sera ya Ukawa.

Lowassa si mkweli na nimeamini sasa ataendelea kuwa muongo mpaka mwisho wa maisha yake, ni dhambi inayomtafuna, na inawatafuna wenzake ambao wamemrithi kama Baba yao ( CHADEMA), kwenye hotuba yake mojawapo ye mwenyewe LOWASSA anasema , nanukuu "kuna madini makubwa makubwa na madogo, yale makubwa makubwa tutaongea na watu hawa wakubwa wachukue asilimia sabini sisi watuachie asilimia thelathini" mwisho wa kunukuu, hii ndio ilikuwa sera Ukawa yaani CHADEMA na Lowassa wao. hamuwezi kujifananisha Kwame na Mhe Rais.

Lowassa ushafeli kubali yaishe mzee.
 

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,481
2,000
Huna maana na unaonekana ni mtu dhaifu.Watu wa jinsi yako ukikabidhiwa madaraka na silaha,unaweza kuagiza operesheni ya kuua mende kwa kutumia mabomu.
 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
8,445
2,000
Huyu mzee arudi tu CCM, miaka mingi alikuwa mbunge na waziri. Hakupinga chochote kilichofanywa na CCM akiwemo na akahama baada ya kukatwa. Ina maana asingekatwa angesema hayo? Anajiaibisha.
 

mbikagani

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,979
2,000
Ni akili ya ajabu tu ndiyo inayokubali kuwa ndani ya kichwa cha Lowassa kuna mawazo ambayo yako tofauti na utawala dharim wa ccm.
 

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,589
2,000
Huyu mzee sijawahi kuwa shabiki yake,yaani kwanza sijawahi kumsikia akitutetea watanzania,kakaa serikalini sana lakini bungeni alikuwa kama bubu tu.si arudi tu ccm
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom