Lowassa unapata somo gani kwa Mfalme wa Japan Akihito aliyetangaza nia ya kung'atuka?

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Akihutubia taifa hilo kupitia runinga, Mfalme wa Japan Akihito amesema ana wasiwasi kwamba umri na udhoofu wa afya yake huenda vikamfanya ashindwe kutekeleza majukumu yake.

Hapa Tanzania tunaye mwanasiasa ambaye licha ya umri wake kuwa mkubwa na afya yake kuwa na mgogoro, bado ana ndoto za kuwa Rais wa Tanzania miaka 5 ijayo. Watanzania hatukukosea tulipompiga chini Oktoba 2015. Tutafanya hivyo 2020 mpaka atakaponyoosha mikono kuwa Urais wa nchi si size yake.
 
Kila ukikaa, ukilala unamuona yule mzee. Bado kwenye glass ya maji tu. Hata hivyo kwani katiba inamzuia?
Mbaya zaidi mtu anaejaribu kumuandama hana hata habari nae. Nina hakika Lowassa hata hajui kuwa kuna binti mchumia tumbo anamuandama mitandaoni. Daima ukimtukana/kumdhihaki mtu asiyejua ama kukusikia ni sawa unajitukana mwenyewe.
 
Akihutubia taifa hilo kupitia runinga, Mfalme wa Japan Akihito amesema ana wasiwasi kwamba umri na udhoofu wa afya yake huenda vikamfanya ashindwe kutekeleza majukumu yake.

Hapa Tanzania tunaye mwanasiasa ambaye licha ya umri wake kuwa mkubwa na afya yake kuwa na mgogoro, bado ana ndoto za kuwa Rais wa Tanzania miaka 5 ijayo. Watanzania hatukukosea tulipompiga chini Oktoba 2015. Tutafanya hivyo 2020 mpaka atakaponyoosha mikono kuwa Urais wa nchi si size yake.

Sasa umekuwa dakitari maan umempima ukaona afya yake mgogoro!!!!!!!!!!!!. Toa risiti kwa kazi uliyofanya, nje ya hapo ni kuonyesha woga wako kwake
 
Hoja za HOVYO hivi naomba watu wenye heshima zao wazipuuze tuu ..., wala msijibu au kuchangia chochote ...
 
Wafalme hawa pia inabidi wajifunze huko japan

1.MFALME wa CHADEMA Mfalme AKIHITO MBOWE
2.MFALME wa CUF Mfalme AKIHITO MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD
Mbowe ana umri gani? Ana udhaifu gani kiafya?maalim je? Wewe hata Wakati mumeo anakupa haki ya unyumba huwa unamtaja Mboweee mboweeeee Mboweeeeeeeeeeee!! Hadi kileleni!!
 
Mbowe ana umri gani? Ana udhaifu gani kiafya?maalim je? Wewe hata Wakati mumeo anakupa haki ya unyumba huwa unamtaja Mboweee mboweeeee Mboweeeeeeeeeeee!! Hadi kileleni!!
Nadhani amemuweka Mbowe kwa vile tu amejijengea Ufalme ndani ya CHADEMA
 
Back
Top Bottom