John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
naona hata rumeru walilichukua
lishaacha wizi wa mali zetu? Eti tutachukua , nyooo
Lowassa kasema kweli.
Lowasa akiongea kwenye uchaguzi wa mwenyekiti,amewapa Salamu Wapinzani kuwa uchaguzi ukirudiwa Arusha watalichukua jimbo Mapema iwezekanavyo.Chadema walitumia udhaifu wao kulichukua jimbo.
Wapinzani wanapata kichwa na Maandamano,mikutano mikubwa lakini hawaiwezi CCM,CCM ina nguvu ya Umma,angalia uchaguzi wa Viongozi tu nchi nzima ilitetemeka.
CCM ni chama chenye NGUVU KUBWA. Source.Radio 5.
Lowasa akiongea kwenye uchaguzi wa mwenyekiti,amewapa Salamu Wapinzani kuwa uchaguzi ukirudiwa Arusha watalichukua jimbo Mapema iwezekanavyo.Chadema walitumia udhaifu wao kulichukua jimbo.
Wapinzani wanapata kichwa na Maandamano,mikutano mikubwa lakini hawaiwezi CCM,CCM ina nguvu ya Umma,angalia uchaguzi wa Viongozi tu nchi nzima ilitetemeka.
CCM ni chama chenye NGUVU KUBWA.
Source.Radio 5.
Ukiwa huna kitu cha kusema sometimes ni vizuri unyamaze tu!
Nimeisoma habari hiyo katika MTANZANIA. Na kwamba RADIO 5 nao wameipa habari hiyo promo, hilo sishangai sana. (umiliki wa MTANZANIA na RADIO 5 unafahamika).
Kilichogusa hisia zangu ni kusoma kuwa yeye - EL - ndiye alikuwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Mkoa ambapo aliyekuwa mwenyekiti wa nyuma alitetea kiti chake (Nangole). Nimeguswa kusikia Lowassa anasimamia uchaguzi ambao mmojawapo ya wagomba ni Dkt Tour!
- Huyu ni mgombea wa zamani sana wa Ubunge Monduli wa enzi za Chama kimoja na akashindwa na Ole Moloimet
- Huyu aligombea na EL kura za maoni Ubunge wa Monduli 2010
- Huyu majuzi kagombea na EL kwenye NEC - Monduli ambapo EL alishinda.
Hivi uchaguzi huo ulikuwa wa uwazi na haki kweli?
Simple mind discuss people. Peleka maneno yako kwenye magazeti ya shigongo
Msimamizi wa uchaguzi alikuwa Prof.Maghembe,lakini kanuni zinataka mgombea wa nafasi ya uenyekiti ajiudhuru,baada ya kujiudhuru wajumbe huchagua M/kiti wa muda kuongoza mkutano huo,