Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Mwambieni mtu wenu aanzishe chama chake Wakati watu wanajitolea Jasho na Damu yeye na genge lake siwalikuwa huko magambani ikiwa huko wamemkataa aje CDM kufanya nini au mnadhani Tutarudia makosa ya 2010 kuchukua maKAPI dzaini ya SHIBUDA msitujazie Saver Mwambieni mtu wenu anaweza kwenda hats TADEA au PPMAENDELEO bt sio CDM
 
Mkuu Chakaza ushauri huo ni murua kabisa,kwa sasa mamvi agombee ubunge na bado ana nafasi ya kuwatumikia wananchi wa Taifa hili na asiwe kiziwi tu na Ng'ang'anizi nafasi ya urais.
 
Mwambieni mtu wenu aanzishe chama chake Wakati watu wanajitolea Jasho na Damu yeye na genge lake siwalikuwa huko magambani ikiwa huko wamemkataa aje CDM kufanya nini au mnadhani Tutarudia makosa ya 2010 kuchukua maKAPI dzaini ya SHIBUDA msitujazie Saver Mwambieni mtu wenu anaweza kwenda hats TADEA au PPMAENDELEO bt sio CDM

Mkuu pamoja na kuwa JF senior Expect member bado hujajua mrengo wa Chakaza?
 
Kama CHADEMA na UKAWA hawataki waache, lakini ukweli utabaki kuwa kamanda pekee anayefaa kupeperusha bendera ya CHADEMA na UKAWA ni Dr. Slaa pekee, sio Lowassa. Yapo mengi ya udhaifu wa Lowassa ikiwemo ukweli kuwa Lowassa hana vigor wala hamasa za makamanda tuliowazoea CHADEMA.

Jamani, Lowassa anaumwa. Nawahimiza CHADEMA waangalie VIDEO yote kwa makini wakati Lowassa anahutubia na wauone UKWELI kuwa Lowassa anaumwa. Nilimwangalia Sugu, alikuwa completely unhappy. Pia Msingwa alikuwa anashangilia bila furaha ya kweli. CHDEMA na UKAWA acheni kumwonea Lowassa, anaumwa. Mwacheni apumzike.
 
Dk. Slaa mwenyewe anajua sasa hivi kijiti ni cha Lowassa! na lazima ampe full support!
Jamani Lowassa anaumwa. CHADEMA na UKAWA wanapendwa na wananchi, ndiyo maana humu kuna maonyo mengi. Lowassa anatia huruma, Naomba Dr. Slaa, Mwalimu na wengine, rudieni video ya jana, mwoneeni huruma huyu mzee anaumwa.
 
Lowassa anatoa support kuing'oa CCM madarakani! kwaio usihofu juu ya afya yake! kazi ikiisha na yeye atapumzika tu! usishangae kumuona Dk.Slaa jukwaani kumnadi mgombea wao Lowassa! everything was planned,and now they are happening! just stay and watch CCM going down!
 
Hii huruma ya mi ccm, kwa chadema inatoka wapi??!! tuacheni tumeshaamua awe mgonjwa, maiti lazima ndio asimame kugombea urais. "Mbowe una mpokea huyo? ataua chama!! eti wana ccm wanampigia simu mbowe,, akauliza toka lini mnakuwa na huruma na chadema??!! Najua mmepagawa tu.
 
Lowassa asipoangalia atakatwa mara mbili.

Kigezo cha pesa hakitoshi kufanya Slaa akatwe. Inabidi atoe sababu tosha kwanini Slaa akatwe?
 
Lowassa asipoangalia atakatwa mara mbili.

Kigezo cha pesa hakitoshi kufanya Slaa akatwe. Inabidi atoe sababu tosha kwanini Slaa akatwe?

ndugu subiri campaing zianze,mtaichukia combination ya lowassa+slaa! ogopa sana kinachokuja huko mbele.
 
Dk. Slaa mwenyewe anajua sasa hivi kijiti ni cha Lowassa! na lazima ampe full support!

Lowassa alichomshinda Slaa ni pesa tu. Kwahiyo hapo nafasi ya kugombea urais inanunuliwa. Hiki ndicho CCM ilikikataa, urais hauuzwi.

Lowassa amefanikiwa kuinunua Chadema na nafasi ya kugombea urais. Je, watanzania nao ataweza kuwanunua ili wampe urais? Tungoje October...
 
Jamani Lowassa anaumwa. CHADEMA na UKAWA wanapendwa na wananchi, ndiyo maana humu kuna maonyo mengi. Lowassa anatia huruma, Naomba Dr. Slaa, Mwalimu na wengine, rudieni video ya jana, mwoneeni huruma huyu mzee anaumwa.
Anaumwa nini Tezi dume?mtanyoka tu ...mwambieni seif al Islam wenu ajipange
 
Hii huruma ya mi ccm, kwa chadema inatoka wapi??!! tuacheni tumeshaamua awe mgonjwa, maiti lazima ndio asimame kugombea urais. "Mbowe una mpokea huyo? ataua chama!! eti wana ccm wanampigia simu mbowe,, akauliza toka lini mnakuwa na huruma na chadema??!! Najua mmepagawa tu.

Hizi huruma zingine hizi!
 
Sio jambo la kificho, hakuna asiyependa mabadiliko wote tunapenda mabadiliko.Haipendezi hata siku moja kukaa na kitu kile kile ambacho hakikuletei mafanikio miaka nenda miaka rudi. Wenzetu barani afrika wameamka siku nyingi viongozi wasiotenda mazuri kwa watu wao wanabadilishwa na wengine wanakuja nao wakiharibu muda wao ukifika pia tunawawajibisha.
 
Huu ni ushauri wangu mlie karibu nae mwambieni.aungane na lowssa wa chadema kwani wananchi wanalia na ugumu wa maisha sana na sala zao zinatoa machozi na hawata chagua chama chako tena fanya hima toka ulipo uta aibika broo..
 
Hii Ni Nchi Ya Kidemokrasia,kila Mtu Ana Uhuru Wa Kuchagua Na Kuchaguliwa Upande Wowote.Baki Na Unachokiamini Na Wengine Wanabaki Na Wanachokiamini.....!
 
Back
Top Bottom