Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Acha ujinga mmeambiwa mdhibitishe km ameiba mmeshndwa kaz majungu tu huko Ccm yenu nani msafii acheni uoga
 
Kama lowasa akihamia #Ukawa Atakuwa amekosa busara ya hali ya juu kuanzia yeye mpaka washauri wake kisiasa

Na ukawa wakimpokea lowasa watakuwa watakuwa nu watu wasio na msimamo kwa maana ya kuwa Lowasa amekuja kuwatumia tu Ukawa na hana Mapenzi ya dhati , hata hivyo ni Mroho wa madaraka kitu Ambacho kinatupa hofu namna Ambavyo Anatumia Nguvu nyingi kupata hicho kiti
 
Lowasa akipewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya UKAWA sitakuja kuwaamini wanasiasa kamwe na sitapiga kura yangu kamwe na nitamshawishi na wife pia.
 
Sijabahatisha Mkuu Na Ndani Ya Siku 3 au 5 Kutoka Sasa Mtanivulia KOFIA Humu Na Kunipigia SALUTE. Najiamini Kushinda Hata MALAIKA Wa Mbinguni.

mimi nitakuwa wakwanza. Maana hata kama habar itakuwa mbaya kwangu lakini kama ni ukweli sitaona sababu ya kutofanya hivyo.
 
NDOTO YA LOWASSA KUWA RAIS KUPITIA UPINZANI ITAKUWA SAWA NA KUINGIA PEPONI KWA IMANI ZA KISHIRIKINA.

Hadi kufikia maamuzi ya kamati kuu ya (CC-NEC) ndani ya chama cha mapinduzi kukata jina la Edward lowassa ni dhahili kabisa hawakukurupuka, walitathimini madhara na faida ya kumuengua ndugu lowassa, walitathimini uwezekano wa yeye kukihama chama endapo atakatwa na wakajiandaa vilivyo kukabiliana naye,

MIZIZI iliyo simikwa na MWINYI,MKAPA NA KIKWETE haiwezi kung'olewa na vyama dhaifu vya upinzani tulivyo navyo Tanzania, CCM ina siri nyingi nzito za lowassa, akithubutu kuhama ndo kajimaliza mwenyewe, kutokana na nguvu iliyopo nyuma ya mgombea wa CCM ni ngumu kwa Lowassa kushinda Urais hata kama kura zingepigwa nyumbani kwake tu,

HATA KAMA UWE UNAPESA KIASI GANI HUWEZI SHINDANA NA MWENYE DOLA, kuwa kinyume na mwenye dola ni sawa nakuingia mgogoro na nafsi yako mwenyewe, wanaomshauri lowassa ahame CCM wanampoteza kabisa, atafilisika zaidi ya mrema, Lowassa akithubutu kuhamia upinzani hawezi kupambana na mgombea yeyote wa CCM hata awe WEMA SEPETU,hii ni kutokana ngome kubwa iliyopo.

Lowassa anachotakiwa kufanya ni atulie tu aendelee kula pensheni siasa baasi!
 
Join Date : 17th November 2014
Posts : 18
Rep Power : 338
Likes Received: 6
Likes Given: 1

"MIZIZI iliyo simikwa na MWINYI,MKAPA NA KIKWETE haiwezi kung'olewa na vyama dhaifu vya upinzani tulivyo navyo Tanzania"


Kwa biodata na sentensi kama hiyo hapo juu ni dhahiri kwamba ama hujakwenda shule vizuri au sio mtu curious unayependa kujisomeasomea vitabu, magazeti na mambo mbalimbali; una upeo mfinyu sana wa dunia; hata hivyo I give you the benefit of the doubt; at least in the short term; kwamba bado mchanga sana; ukikua utaelewa; utafunguliwa na kuiona jinsi dunia inavyo-operate katika uhalisia wake ili uondokane na kukariri maisha. Bs
 
Umesemwa mengi kuwa wewe ni fisadi kuanzia Richmond, wewe umekataa na kusema ulijiuzulu kulinda heshima ya serikali (nadhani hapa ulimaanisha Rais) na hata Tume ya Mwakyembe ilisema kuna mambo hawakuyaweka hadharani vile vile kulinda serikali (Rais).

Sasa kama wewe mwenyewe ulijitoa kafara kuwalinda ambao baada ya hapo wakakuita GAMBA na leo hii wanakutosa kama takataka kwa nini usiwe wazi kurudisha heshima yako?

Nakushauri simama kifua mbele weka hadharani UKWELI wa kile unachokiamini kuwa walikuchafua makusudi pamoja na kuilindia kwako serikali kisha wananchi watakipima na kukusamehe na kukupenda zaidi kama wataridhika na ukweli huo.

Baada ya hapo achana na CCM chama ambacho ni hatari hata kwa maisha yako nenda chama ambacho hata wafuasi wako wengi sasa hivi wametangulia yaani CHADEMA.

Ukifika hapo omba ugombee Ubunge wa sehemu yeyote ile hata ukipenda Ilala ili uwe mbunge wa jimbo ambalo na Ikulu ipo na nina hakika kwanza utakuwa umeiongezea nguvu CHADEMA hivyo uwezekano wa kuiondoa CCM madarakani utakuwa mkubwa nawe utapewa nafasi ya kuwa Waziri ili hiyo chuki yako juu ya umasikini kwa Watanzania upate mahali pa kufanyia kazi.

Habari ya Urais weka pembeni kwa sasa labda MUNGU hakupenda iwe hivyo wakati huu.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom