Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

wewe ndio wajiita nani hapa jf .eti unacheo gani?? acha dharau mkuuu

Huwa Najibu Kulingana Na Unavyoniuliza Na Sina Tofauti Sana Na Majibu Ya Wanasayansi Kama Akina Professor Muhongo Na Wengineo Wengi Tu.
 
Kwa mazingira yalivyo ni Lowassa mwenyewe kuamua kuacha Magufuli aende au yeye.

Ukweli wa mambo fursa ya Lowassa kuwa Rais wa awamu ya tano ilikuwa wazi na mfumo mbovu na wa kidikiteta ndio umedhulumu haki hiyo.

Na hapa ndiyo athari za moja kwa moja za kukosa mgombea huru kikatiba zinajitokeza wazi. Si haki na wala si halali kuwa lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa ili upate dhamana ya chama kugombea nafasi ya Urais.

Kwa upande wa Edward Ngoyai Lowassa ni maamuzi yake either aendelee kuwa ndani ya Ccm akose kabisa hiyo bahati ya kuwa mkuu wa nchi au atoke na kujiunga na chama chochote kitakacho mpa nafasi ya kusimama kama mgombea kujaribu karata yake.

Mfumo uliotumika ndani ya CCM kuteua mgombea ulikuwa wa kidikiteta mno na lazima wachambuzi wa wasomi wawe wa kweli kuhusu hilio.

Mzee lowassa kanyang'anywa tonge mdomoni!!

tuwe tunaelewa kuwa CCM haikurupuki hata siku moja, yeye kati ya walio chukua form ya uraisi wote 42 alikua anawazidi nini wengine hadi asikatwe yeye.
na kwa nini wapambe wake mnapiga kelele sana wakati yy katulia tuu. alisema ataongea na wandushi Wa habari kuhusu hatima yake ila nyie mnakurupuka tuu. msimdanganye tena akaana kutumia mabilioni ya hela atapigwa tuuu hakuna namna hata kwa goli la mkono inatakiwa muwe na upeo Wa kujiongeza ila kama mnachumia tumbo endeleeni.
 
Una kiherehere kama muuza gongo; si usubiri wenye Ukawa wenyewe watangaze; kwani wewe ndio umekuwa afisa habari wa UKAWA?! kupenda sifa kutakuponza Dude!! Mwanamme huna kifua cha kuhimili mambo kama Demu?! mdomo unakuwashawasha kuropoka tu!?

Sina hamu na uchaguzi wa mwaka huu tena. Nasema wazi sitachangia tena mada yoyote inayohusu uchaguzi huu hadi nimsikie nd. Makene ambae ni msemaji wa chadema au kauli ya ukawa wenyewe. Ninalojua ni kweli katika ule utaratibu wa ccm kumpata mgombea walikiuka taratibu kwa kamati ya maadili kuichagulia kamati kuu watia nia watano. Ile kamati ya maadili na usalama hawana mamlaka hayo bali kamati kuu ndio inayowaita watia nia wote kuwahoji na kuuteulia mkutano mkuu majina matano. Mkutano mkuu baada ya kuwasikiliza na kuangalia vigezo vingine humteua mmoja kugombea uraisi.Sasa kutuaminisha kuwa sababu hizo zitamfanya Lowassa kuhama ccm linanipa mashaka kuliamini. Huko ukawa kwenyewe tunaamini kuna mtifuano mkali wa nani agombee uraisi.Na pia kama atafanikiwa kuingia chadema itabidi kwanza vyama vyote vya ukawa vikubaliane kumpa nafasi ya kugombea uraisi. Hivyo hata kwa taarifa hii naichukulia ni uzushi hadi itakapothibitishwa na wahusika niliowataja.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mbona Hujamtaja Dr. John Magufuli? NILIJIAPIZA Kuwa Watu Hawa Lazima Mmoja Wao Atapitishwa Na CCM.


  • Professor Mark Mwandosya
  • Dr. John Magufuli
  • Professor Sospeter Muhongo

Je Kati Ya Hao Watatu Tajwa Hapo Juu Hakuna ALIYEPITISHWA Na CCM? Huyo Ndiyo Mathematician Gentamycine Na MTANIKUBALI Tu.

Hahaha(lebaharia swag) eti Mathematician!!
Bandike ile 5 bora yako,check ratio uone ulivyofeli

Ulisema ile radio ya kina Nyani Ngabu a.k.a FLY imenunuliwa na nani vile?
au ulikuwa unawaamisha wana-daslam
 
Last edited by a moderator:
Hahaha(lebaharia swag) eti Mathematician!!
Bandike ile 5 bora yako,check ratio uone ulivyofeli

Ulisema ile radio ya kina Nyani Ngabu a.k.a FLY imenunuliwa na nani vile?
au ulikuwa unawaamisha wana-daslam


Kajiunge Na Wenzako Waliopo Pale Magomeni Mapipa Kwa MACHENI Naamini Kwa Hizi Swaga Zako Za KIPOPOMA Wale Mtaelewana Tu.
 
Kama Nilivyokwisha Sema Huko Mwanzo Kuwa Magufuli Atakuwa Ndiyo Chaguo La CCM Kwa Vile Vigezo Nilivyowapeni Sasa Katika Hali Ya Kujiamini Kabisa Nawapeni Taarifa Hii Kuwa Mzee Mtei Amekubali Rasmi Kujitaoa Muhanga Kwa Kumtoa Katika Kinyang'anyiro Dr. Slaa Kuwa Mgombea Wa Urais Kwa Tiketi Ya UKAWA Na Sasa Ni Rasmi Kuwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Muda Wowote ANAHAMIA RASMI Kutoka CCM Na Kuhamia CHADEMA Na Hapo Hapo Kupewa Nafasi Ya Kupeperusha Bendera Ya UKAWA Katika Mbio Za Kuelekea IKULU Mwezi October Tarehe 25.

Muda Wowote Kutoka Sasa Walinzi Wake Wakiongozwa Na Bwana Aloyce Tendewa Wanarudi Idarani Kuendelea Na Majukumu Yao Mengine Na Kinachosubiriwa Sasa Upande Wa UKAWA Kumtangaza Ni Kuwa Wanaweka Mambo Sawa Katika Nyanja Zote Na Katika Siku 3 Hizi Lowassa ATATANGAZWA Rasmi Kuwa Ametua CHADEMA Japo Mke Wake Mama Regina Amejitahidi Mno Kumsihi Mumewe Asihame CCM Lakini Lowassa Bado Ana Machungu, Hasira Huku Akishawishiwa Vibaya Na Washauri Wake Wakuu Haswa Haswa Mzee Apson Mwang'onda.

Mliokuwa Mkinidhihaki Kuhusu Magufuli Na Akawa Yeye Sasa Wote Mmepotea Hebu Nidhihikani Na Hili Pia Na Nina Uhakika 100% Wa Hii Breaking News Yangu Kwenu. Lowassa Kuhamia CHADEMA Rasmi Na Kuwa Mpeperusha Bendera Kwa Tiketi Ya UKAWA. Take It From Me! Fumbo Alilolifumba Jana Mbunge James Mbatia Mlilielewa?

Lowassa UMESHAJIPOTEZA Rasmi Kisiasa.

Hivi LOWASA ANA UMUHIMU GANI KIASI CHA WEWE KUMSIKITIKIA? WAACHENI WAFU WAWAZIKE WAFU WENZANO AENDE APOTELEE MBALI NA URAIS ATAUSIKIA TU REDIONI ILA PESA ALETE TULE KISHA ATAISOMA NAMBA
 
Moderator Mbatia ashatoa toa tamko kwa niaba ya Ukawa.Cuf leo wametoa Tamko kuhusu uzushi na uvumi uliokuwa unaendelea,baada ya kikao cha jana.
Futeni huu uzushi hauna tija,La sivyo muwe wavumilivu kwa kila uzushi utakao bandikwa hapa.
Cc Invisible
Polepole utaelewa tu bavicha mwaka huu mnakazi kweli.
 
Back
Top Bottom