Lowassa, tarehe 30 utakapoongea na watu wako usiruke neno kujibu haya

hawa mafisadi wangekuwa kwa yule bwana mdogo wa north Korea,sijui pyong yong,yaani huyu fisadi lowasa na group lake lote wangeuwawa kwa Bomu LA nuclear hata sio scud wala kabazuka.
hii report iliandaliwa kitaalam zaidi,imetulia na hauna hata uongo ngoja nije nii print.
 
Hii ripoti ni moja ya vielelezo tosha kuwa LOWASSA ni nyoka.

.......Kweli nyie Vilaza wa CCM ni wapuuzi na wanafiki, leo hii mnaona ripoti ya Yericko Nyerere ni kuelelezo tosha wakati siku zote huwa mnamponda kwa ripoti zake au kwaajili hii mna interest nayo?

I always respect your comments and reports YN!
 
I think kamati ya ufundi ya Ukawa watapitia tena hii ripoti,,huyu el atanyonyolewa km kuku wa krismass
 
.......Kweli nyie Vilaza wa CCM ni wapuuzi na wanafiki, leo hii mnaona ripoti ya Yericko Nyerere ni kuelelezo tosha wakati siku zote huwa mnamponda kwa ripoti zake au kwaajili hii mna interest nayo?

I always respect your comments and reports YN!

Wasamehe sana hawa vijana, wao hushabikia mambo yanayohusu matumbo yao tu lakini penye maslahi ya taifa huwa wanakuwa kinyume
 
Lowassa akipitishwa basi sakata la Richmond na ufisadi unaoendekea ndani ya serikali ya CCM litawaangusha wana CCM.
 
YN ahsante sana naona team Lumumba wanatupa mawe hewani. Nimejirisha kuwa ni kwa sababu ya kiwango duni cha elimu yetu.

Pia ni ule utamaduni wa wenzetu wa ndiyo mzee hasa wanavyoshikishwa ukuta kwa bk 7.

Kamati Teule ya Mwakembe imejieleza vizuri kuhusu majukumu na wajibu wa serikali katika sakata zima.

Nashawishika kuafiki kujiuzuru kwa Waziri Mkuu wakati huo kwa kuboronga kwa serikali (wengine wanasema kuinusuru serikali).

Natatizwa na kutochukuliwa hatua stahiki kuziwajibisha taasisi zetu. Pia nashindwa kuelewa iweje taarifa nzuri hii ishindwe kutumika kisheria kuiwajibisha Richmond.

Ni dhambi kubwa kumdhania mtu lakini kwa misingi ya uwajibikaji JK lazima atawajibika kama siyo sasa hapo mbeleni.
 
Ibara ya 52 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inatamka wazi kuwa Waziri Mkuu ndiye mwenye madaraka ya juu ya udhibiti, usimamiaji, utekelezaji wa siku hadi siku wa kazi na shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano na ndiye Kiongozi wa shughuli za Serikali Bungeni. Kamati Teule haikufurahishwa hata kidogo na taarifa hizo zinazomgusa moja kwa moja Mhe. Waziri Mkuu katika kuipendelea Richmond Development Company LLC
 
Ah

Ahsante sana Yeriko Nyerere kutukumbusha taarifa hii. Nimetumia 2hrs kuisoma kwa umakini upya. Hakika ni dhambi Lowassa kukataa kuhusika moja kwa moja kwa kupata faida binafsi katika kampuni ya kitapeli ya Richmond. Lakini pia nimshukuru Dk. Msabaha aliyesema wazi mbele ya Kamati Teule ya Bunge kuwa Richmond ni dili la Lowassa na swahiba wake Rostam Aziz. Dhambi hii itakuandama ewe Lowassa hadi kaburini na uzao wako unless utubu hadharani.
 
Makanjanja kama wewe na wenzio mna tabia ya kudandia msitari badala ya kusoma taarifa kamili. Sasa hapa Lowasa kuwajibika au kuhusika unakuelewaje zaidi ya usafisi wa dhamira yake.

Madhara ya elimu ya kata na zidumu fikira za wajinga zinajidhihirisha na kukurupuka.
 
Huyu mzee fisadi kwa kujipa promo hajambo. Anapenda kweli kukaa na viongozi waadilifu na kupiganao picha ili na yeye aonekane ni msafi
Teh teh ,Sio wewe juzi ulisema Nape sijui kahongwa nini Bestbite

Binadamu ni kiumbe wa hatari
 
Back
Top Bottom