Lowassa sio shujaa, ni mfano mbaya kwa vijana wa Tanzania!

Kimagege

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
283
Points
195

Kimagege

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
283 195
ni jambo la kusikitisha kama mwizi naye atajaribu kujiita shujaa na akasikilizwa.dhana nzima ya ushujaa itakuwa imenajisiwa kwa kiwango kisichoelezeka kama vibaka nao watapata nafasi ya kuficha ukibaka wao ndani ya dhana hii tukufu.
 

masomo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
208
Points
0

masomo

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2012
208 0
huenda wengi hatujui sifa za kiongozi bora siyo nywele nyeupe.lowasa amekuwa katika uongozi na hanaga rejea za nini aliifanyia Tanzania tangu akiwa waziri wa maji wakati bado pamoja na kuwa waziri katika kilimo na maji hakumaliza tatizo la maji kwenye mji wa dar na hata mji mwingine wowote,pia mazao hayakuuzwa nje kihivyo.tungempata kiongozi mwenye rejea za nini kwa miaka yote aliyokaa madarakani alibadilisha ndiyo ingempa point.kwa nini watanzania wa leo ndiyo wamkuwa maskini zaidi kuliko wa wakati wa siku za nyuma ni kwa sababu ya hawa viongozi aina ya lowasa na hakuna wengine.
 

mharakati

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
1,273
Points
1,225

mharakati

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
1,273 1,225
Wengi mtaponda lakini ukweli haufichiki. Katika viongozi Lowasa ndiye aliyeonyesha sio utendaji mzuri tu hata uwajibikaji. Waulize waliofanya kazi katika wizara enzi zake ubabaishaji haukuwepo. Njama ya kuondolewa uwaziri mkuu hata western wameshiriki kwa kiasi kikubwa kwa kuwa alokuwa kama threat katika maslai yao.
uwajibikaji ni kupiga deal ofisi ya umma au kujiuzulu kujiokoa kisiasa? unajua nini kilikua kinafuata kama asingejiuzulu mwenyewe? wewe utakua mmoja wa wale wanufaika na ufisadi wake...mko wengi sana haishangazi
 

Forum statistics

Threads 1,389,819
Members 528,034
Posts 34,035,334
Top