Nimekuwa nikisoma watu mnakaa na kumchambua lowasa kawa vile kawa hivi naomba mjue lowasa sio na hakuwahi na hatakuwa mwanaharakati. Hili lazima lijulikane na kwahiyo tunalazimika kumtumia kama vile Sir Alex fagurson alivyokuwa anaishi na gigs... Alimjua hana mbio tena but anaquality nyingine za uongozi na uelewa... akaanza kumpanga midfield na maeneo anayoweza ili kumfanya afurahie kubaki man-u.
Lowasa hawezi kufanya siasa za majukwaani na hamshahamsha kama kina mbowe , lisu, lema, mnyika na wengineo. but lowasa anapesa, influence na network ambazo tunaweza kutumia kwa maslahi ya chama. Ingawa pia natoa onyo, watu ambao ni powerful pia wanahitaji hekima kuishinao... huwezi kuamka na kumwambia au kutuma barua ya kikao kwa mzee kama unavyowataarifu watu wengine...protocol na kujikomba lazima tukubali.... huwezi kumchimbia mkwara wa kumfukuza kama zitto na wenzake... huyu ni lowasa....Nawaomba tusifanye makosa akatoka maana kauli yoyote ya kutubeza ni pigo kubwa sana....
so ushari wangu: 1, tusijali kwamba havai uniform za chama, 2, tusijali kwamba anatumia ofisi zake kuongea na viongozi wa chama na wadau, 3, tusijali kwamba anaweza kuingia vikao ambavyo wanachama wengine wakawaida hawaingii, 4, tusijali kwamba ushauri wake ni kama maamuzi kwani chance kubwa hutekelezwa nk.... haya yote ni madogo kuliko kumtoa au kumchukia au kumnyanyapaa .
N.B haya mambo hata majuu kuna watu hawaguswi kwa maslahi mtambuka... CCM inawatekenya tu,,, olewenu mtoe ushuzi au mucus .....
msiseme cjawaonya...
Nangu Mandokwa