Lowassa: Sikutaka kwenda Ikulu kwa kumwaga damu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Ukiacha tukio la Moshi leo hii,hata alipokuwa Arusha kwenye kampeni za udiwani hali ilikuwa ni hiyo hiyo.

Mzee hapa katumia fursa hii kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura na pia kuwaeleza kuwa hakuta kwenda Ikulu kwa kumwaga damu akimanisha katika kupigani haki yake baada ya uchaguzi na kwamba fujo zingetokea angelaumiwa kwa kumwaga damu.

Msikilize kupitia hii video hapa chini:



People are born everyday but wise men are born once in a number of days. Similarly; in every election leaders are elected, but true leaders are elected once after many elections-Salary Slip
 
Ukiacha tukio la Moshi leo hii,hata alipokuwa Arusha kwenye kampeni za udiwani hali ilikuwa ni hiyo hiyo.

Mzee hapa katumia fursa hii kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura na pia kuwaeleza kuwa hakuta kwenda Ikulu kwa kumwaga damu akimanisha katika kupigani haki yake baada ya uchaguzi na kwamba fujo zingetokea angelaumiwa kwa kumwaga damu.

Msikilize kupitia hii video hapa chini:


Na uchaguzi ujao aseme hivyo hivyo. Ikulu ataendelea kuiona kwenye runinga tu.
 
Huyu ana utani; hakuna mtu amabye alikuwa tayari kumfuata Ikulu kwa nguvu hata kama angejaribu. Hakuwa na hoja ya kwanini anataka kwenda Ikulu Zaidi ya kutaka kutimiza ndoto yake na makubaliano yake na JK. Lowassa aliuvuruga upinzani kwenye uchaguzi wa 2010 na sijui hii dhana kuwa angeweza kusema anaweza kuandamana kwenda Ikulu angeijenga kwa namna gani. Alikataliwa kwa sababu.
 
Chadema kumpa nafasi Lowassa kugombea tena ni Disaster. Hivi kweli Lowassa anauwezo wa kujenga hoja gani je anaubavu wa kupambana na rushwa na ufisadi ?
 
In short kama chadema wangeamua kutuongoza kuingia barabarani nchi ingryumba kipindi hicho coz hata magufuli alivotangazwa kama raisi hskukuwa na chereko nchi ilipowa kama tumepokea taarifa za msiba WA Baba WA taifa.
Baada ya result
Akawaambia nitazungumza J3,
J3 nitazungumza J5asubuhi,
J5 nitazungumza Ijumaa mchana,
Ijumaa nitazungumza J2
J2 anakuja kuzungumza watu washatuliza jazba wamepoa.Anasema nimeshinda,Mara the heague.Mara tumeibiwa it's OK.
Alijua kwa umati aliokuwa nao wasingelikosa wenye mihemko na ambao wangeamini jazba zao zingempa madaraka.
Kitendo cha kuwa kimya na kucontrol intention za watu wake wasiingie matatizoni,wakaacha familia zao si jambo DOGO.
Waliowengi hufanya vitu pasipo kujua matokeo yatakuaje.Huwa tunaamini macho yanachokiona.
Naamini kwa Uchaguzi uliopita kumekuwa na idadi ndogo ya watu waliofanya vurugu katika uchaguzi.
Simsifii Lowa.. ila nilifurahi kwa vijana wengi kutoka kwenye uchaguzi SALAMA.
Kwan wasingeiona Tanzania ya Viwanda.
 
Back
Top Bottom