Elections 2015 Lowassa: Serikali yangu itaangalia jinsi ya kuvunja mkataba wa bandari ya Bagamoyo

msemakweli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,627
880
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais mtarajiwa wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo.

Amesema haoni mantiki ya kutumia mabilioni kujenga bandari moja Bagamoyo wakati bandari za Tanga na Mtwara ziko ovyo.

Kama kawaida wananchi wa Tanga wamesema kura zao zote ni kwa UKAWA na adui CCM lazima asome namba mwaka huu.

VIVA UKAWA!

NOTE: Kwa msio fahamu kuna umbali wa kilomita 1200 kutoka Tanga mpaka Kampala (Uganda) ukilinganisha na kilomita 1500 kutoka Mombasa (Kenya) mpaka Kampala.

Lakini Waganda wanatumia bandari ya Mombasa sana kwa sababu Tanga hamna kitu.
 
Nilikuwa naliongelea hili kila siku.
Unajenga bandari ya Bagamoyo wakati hiyo hela inaweza kujenga bandari za Tanga na Mtwara na kufufua reli kwa ukanda huo.
Reli ya ukanda wa kaskazini inaanzia bandari ya Tanga hadi Burundi ikihudumia nchi za Kenya, Uganda, Rwana na Burundi.
Reli ya Ukanda wa kusini inaanzia Bandari ya mtwara hadi Congo ikihudumia nchi za Msumbiji, Malawi, Zimbabwe, Zambia na baadhi ya sehemu za Congo.
Reli inayoanzia Bandari ya DSM inahudumia njia ya kati hadi Congo.
Lowasa amefanya the best move kwenye hili.

Comment za mdau Tokyo40 kwenye huu uzi https://www.jamiiforums.com/kenyan-news/853909-kenya-the-standard-gauge-railway-takes-shape-2.html

Congratulations Kenya for building a new railway network.

Word of caution:
There is no such thing as Free Lunch. Kenya has borrowed 90% of the $3.8 billion from China Exim Bank to finance this project.

Haven't you guys learned from Angola?

China has lent Angola around $20 billion since a 27-year civil war ended in 2002.

They are borrowing another $25 billion from China and Brazil to fund the budget gap in 2015 due to low crude oil prices.

Repayments are often paid with oil or funds go directly to Chinese construction firms that have built roads, hospitals, houses and railways across the southern African country.

This means, however, dollars don't end up entering the real economy, increasing costs for ordinary Angolans.

There are around 50 Chinese state companies and 400 private companies operating in Angola alone.

I honestly hope that Kenyans will be able to repay the Chinese without sacrificing their future.

Wishing you all the best.

source:Bloomberg.com, Reuters.com

My concerns are two. Can Kenya afford to pay the debt? How much technology-transfer is Involved?

This is not about Kenya but Africa in general. Can Africa afford to borrow so heavily without even demanding transfer of technology?

Angola has an economy twice as big as Kenya and still struggling to pay her debts.

Kenya does not exactly have Singaporean efficiency and financial discipline. She can easily get trapped just like Angola.

Do not be so arrogant. We can all learn from Indonesians. They have awarded a $5 billion tender to the Chinese to build them a railway network this year. However, they have a clause in their contract which demands that they transfer their technology to them. The Chinese will also build a factory to manufacture components of the train in Indonesia. The construction will also involve local firms so that they can learn from their counterparts.

Their government turned down a much superior Japanese technology because the Japanese insisted the Indonesian government borrow money to finance the project and it was more expensive. The Chinese agreed to finance it privately.

Thanks to the Indonesian government's insistence of transfer of technology when she award tenders, today they are able to make small arms, car engines, military vehicles and even aviation spare parts in their country.

That is how they built a one billion dollar economy.

Only a fool will think that transfer of technology is not THAT important.

By the way, I never try to impress you or anyone else here with my knowledge. Please refrain from personal attacks, stick to facts and show some maturity.

source: jakartaglobe.beritasatu.com, Indonesia-investments.com
 
NOTE: Kwa msio fahamu kuna umbali wa kilomita 1200 kutoka Tanga mpaka Kampala (Uganda) ukilinganisha na kilomita 1500 kutoka Mombasa (Kenya) mpaka Kampala. Lakini Waganda wanatumia bandari ya Mombasa sana kwa sababu Tanga hamna kitu!

This must be a briliant move.
 
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo.
Amesema haoni mantiki ya kutumia mabilioni kujenga bandari moja Bagamoyo wakati bandari za Tanga na Mtwara ziko ovyo.
Kama kawaida wananchi wa Tanga wamesema kura zao zote ni kwa UKAWA na adui CCM lazima asome namba mwaka huu.....
VIVA UKAWA!
NOTE: Kwa msio fahamu kuna umbali wa kilomita 1200 kutoka Tanga mpaka Kampala (Uganda) ukilinganisha na kilomita 1500 kutoka Mombasa (Kenya) mpaka Kampala. Lakini Waganda wanatumia bandari ya Mombasa sana kwa sababu Tanga hamna kitu!
Aisee kanigusa sana. Halafu lowassa ana hekima sana. Kajiepusha ku msema ovyo jk. Yaani huyu ndugu ni muungwana sana. Ana bahati mbaya kuwa alikuwa na rafiki mnafiki
. Hilo jambo la bandari ya bagamoyo kama magu ni kidume alizungumzie
 
Aisee kanigusa sana. Halafu lowassa ana hekima
sana. Kajiepusha ku msema ovyo jk. Yaani huyu
ndugu ni muungwana sana. Ana bahati mbaya
kuwa alikuwa na rafiki mnafiki
. Hilo jambo la bandari ya bagamoyo kama magu
ni kidume alizungumaie
 
Subiria uone kama ni viza ama mkataba hii serikali ya awamu hii hata cjui wana nini na mji wetu Wa Tanga .bandari ya nini bagamoyo?
 
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo.
Amesema haoni mantiki ya kutumia mabilioni kujenga bandari moja Bagamoyo wakati bandari za Tanga na Mtwara ziko ovyo.
Kama kawaida wananchi wa Tanga wamesema kura zao zote ni kwa UKAWA na adui CCM lazima asome namba mwaka huu.....
VIVA UKAWA!
NOTE: Kwa msio fahamu kuna umbali wa kilomita 1200 kutoka Tanga mpaka Kampala (Uganda) ukilinganisha na kilomita 1500 kutoka Mombasa (Kenya) mpaka Kampala. Lakini Waganda wanatumia bandari ya Mombasa sana kwa sababu Tanga hamna kitu!

Ndugu inabidi kwanza uelewe Historia ya haya mambo kabla ya kuandika tu kwa ushabiki wa kisiasa! Sababu ya nchi ya Uganda kutumia Bandari Mombasa haina uhusiano wowote ule na Tanga, TanZania!

Uganda wanatumia Bandari ya Mombasa kwa sababu za Kihistoria, Wazungu walijenga Reli ya kutoka Mombasa mpaka Uganda kupitia Industrial area ya Uganda, Jinja mpaka Z.Viktoria na ndio maana inaitwa Uganda Railway hivyo kuwafanya Waganda waache kutumia Bandari ya Mombasa na kutumia ya kwetu siyo rahisi na kujenga Bandari ya Tanga tu peke yake haitoshi ni lazima pia tujenge Reli mpya ya kuunganisha Tanga na Uganda mpaka Jinja sasa hiyo siyo kazi rahisi kwani hai make economic sense yaani kutumia mabilioni ya Dola za Kimarekani kwa ajili tu ya soko la Uganda? usisahau pia kujenga Bandri mpya Ziwa Victoria n.k sasa uwekezaji wote huu kwa mizigo gani ya gani Uganda inayo import na kuexport?
Import Volume ya Uganda ni kiasi gani mpaka iweze kutufanya kufanya uwekezaji mkubwa kiasi hicho?

Jaribuni kujishuhghulisha kidogo kabla ya kulaumu kila kitu, hauwezi kuwafanya waganda waache kutumia Bandari ya Mombasa na kutumia ya kwetu kwani hakulipi kiuchumi!
 
Sasa naanza kuelewa kwanini serikali na CCM kwa ujumla wanajitahidi kwa kila mbinu kumkandamiza na kumdidimiza Lowassa, hakuna jiwe litakaloachwa bila kugeuzwa!
 
Bangi za Arusha mbaya sana.... Kuvunja mkataba ulioridhiwa na serikali mbili si sawa na kuvunja yai viza...

MarkHilary;
Nadhani kati yako weye na Lowasa mvuta bangi mzuri au bingwa zaidi ni weye. Yaani waona kuwa mkataba huo hauvunjiki?? Kwani ni torati hiyo?? Mbona watu mwajitia wazimu?? Amesema, Nitaangalia, sio nitauvunja. Akiangalia aweza kuwaambia wageukie Tanga kwani kuna masilahi zaidi kwa taifa. Mikataba mizuri ni ile tu iwezayo kuleta ufanisi mkubwa na faida (maslahi) kwa taifa letu wala si vinginevyo. Hajasema atawafukuza, bali atajadiliana nao upya. Tulia kidogo, ndipo ujibu
 
Aisee kanigusa sana. Halafu lowassa ana hekima sana. Kajiepusha ku msema ovyo jk. Yaani huyu ndugu ni muungwana sana. Ana bahati mbaya kuwa alikuwa na rafiki mnafiki
. Hilo jambo la bandari ya bagamoyo kama magu ni kidume alizungumaie
Autemee mkono umlishao? Hawezi kuwasema waliomweka huko. Ndio maana tunasema hawezi kuleta mabadiliko!
 
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo.
Amesema haoni mantiki ya kutumia mabilioni kujenga bandari moja Bagamoyo wakati bandari za Tanga na Mtwara ziko ovyo.
Kama kawaida wananchi wa Tanga wamesema kura zao zote ni kwa UKAWA na adui CCM lazima asome namba mwaka huu.....
VIVA UKAWA!
NOTE: Kwa msio fahamu kuna umbali wa kilomita 1200 kutoka Tanga mpaka Kampala (Uganda) ukilinganisha na kilomita 1500 kutoka Mombasa (Kenya) mpaka Kampala. Lakini Waganda wanatumia bandari ya Mombasa sana kwa sababu Tanga hamna kitu!
sasa huyo kaanza mapema ... hayo ni mawe alitakiwa akae nayo

wachina watammaliza... wameshalipia ile project kwa gharama za kutosha tu, hata tembo wetu ni ushahidi
 
MarkHilary;
Nadhani kati yako weye na Lowasa mvuta bangi mzuri au bingwa zaidi ni weye. Yaani waona kuwa mkataba huo hauvunjiki?? Kwani ni torati hiyo?? Mbona watu mwajitia wazimu?? Amesema, Nitaangalia, sio nitauvunja. Akiangalia aweza kuwaambia wageukie Tanga kwani kuna masilahi zaidi kwa taifa. Mikataba mizuri ni ile tu iwezayo kuleta ufanisi mkubwa na faida (maslahi) kwa taifa letu wala si vinginevyo. Hajasema atawafukuza, bali atajadiliana nao upya. Tulia kidogo, ndipo ujibu

mkuu mangatara mwache tu maana kashindwa kuficha upumbavu wake kashaadhirika sasa mbele ya kadamnasi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom