Lowassa, Ridhiwani na Kova katika biashara ya magendo ya magari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa, Ridhiwani na Kova katika biashara ya magendo ya magari?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by komredi ngosha, Jun 2, 2011.

 1. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kuna tetesi nimezipata hivi punde kutoka kwa watu wawili tofauti zikiwahusisha Mh. Lowasa na biashara ya magendo ya magari pamoja na r1 na kamanda kova kwa nyakati tofauti. Chanzo cha kwanza cha habari kimedai kua lowasa amekua akiingiza nchini magari mapya ya kifahari kutoka nje kwa mamia bila kulipia ushuru. Aidha anapoyaleta huyatawanya kwa vijana wake wa kazi ambapo mauzo hufanywa kwa cash pekee. Chanzo cha pili kimewataja r1 na kamanda kova kujihusisha na biashara ya magari ya wizi kutoka nchi jirani na kudai pamoja na magendo mengine ndio chanzo cha utajiri usiokua na maelezo wa mtoto huyo wa rais. Pia chanzo hicho kimelaumu kua r1 amekua akitumia miundo mbinu ya ikulu kwa ajili ya kazi zake binafsi ikiwemo misafara ya magari ya ikulu yenye escort ya police. Jamani haya madai yana ukweli au ndio siasa za maji taka?
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  I will not THINK GREATLY about this.........as A GREAT THINKER
   
 3. Piemu Esquire

  Piemu Esquire Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni kuleta uchonganishi Taifani,Fanyeni utafiti kwa mambo mnayoyaweka hapa Jamvini
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  majibu yatapatikana humuhumu jf maana kuna great thinkers wa kutosha jamvini. ikiwezekana watakuja na data and sources zake. tusubiri!
   
 5. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  haswaa! Watu wengine wameanza kulalamika, mimi nimeweka post hii kwa nia njema kama kuna anaejua uhakika wa mambo atujuze, inaleta ukakasi masikioni unaposikia habari kama hizi mtaani. Jf ni kubwa, nadhani hata wahusika wenyewe au jamaa zao wa karibu wamo humu, watupe data basi tujue ukweli
   
 6. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Uzushi?
  Uvumi?
  Majungu?
  Fununu?

  Nenda hatua moja mbele walau kwa kutaja port of entry na lini mambo hayo yalianza.

  Hiyo ya r1 na kova mmmmh!?

  Title ya post nayo mmmmmh???
   
 7. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  very soon everything will be revealed!!
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Twasubiri data pls.
   
 9. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  duu!hii nayo kali!let us wait n see
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  kumekucha!
   
 12. N

  Nanu JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Uzushi mwingine wala hauna maana. Aliyekuambia si apeleke taarifa tra. Uongo, unafiki, uchonganishi, uzandiki, ndiyo inataka kutawala post za jf siku hizi.
  Moderator (invissible) tafadhali tunaomba uchuje na kuzitoa post ambazo hazina ukweli, hazina uhakika, ni porojo za kijinga ndani ya jf kama tunataka tuendelee kuvutia watu wengi waingie jf.
  Watu wakishazoea kuwa huku ni porojo na ushabiki na uzandiki ndiyo unaondelea watu wataacha kupita huku.
  Tunataka jf iwe credible na information kutoka jf ziwe credible pia.
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  "lisemwalo lipo na kama halipo mjue linakuja" ndio msemo wa kimjinimjini...
   
 14. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Gossips tupa kule
   
 15. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  No research. No right to speak......
   
 16. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  angalau ungepiga picha hata gari moja
   
 17. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  nimesikia story kama hiyo jana Dodoma, japo hii ilihusu r1 kufanya biashara ya kusafirisha magari bila kulipa ushuru. Tusubiri tuone, make lisemwalo....................................................................
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Acheni wivu wa kisenge humu JF wote mlioshabikia hoja hii ya kisenge
   
 19. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wivu tu hapa na nyie si mfanyeeeeeeeeee au mnataka kufanywaaaaaaaaaa
   
 20. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Voipi mode mbn unafuta
   
Loading...