Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Vyombo vinavyoomba lesseni haviruhusiwi kutangaza taarifa kama siyo ya kusifiaHivi Millard Ayo ndiye mwandishi Mwenye mtandao mpana kuliko chombo chochote cha habari nchini kiasi cha kuwepo kila mahali...
Ameshaona moto unamjia anaanza kutafuta upenyo.Atulie ajue atapambana vipi kesi yake ikianza kuunguruma.
Kwa kauli hii, hivi kweli hawezi kuwa na Mkono Kibiti huyu Mpenda sifa na madaraka?
....Kwa sisi tunaotaka habari, na tusioweza kupata magazeti on time, the young man is of great help. Sasa ikiwa owners wa hayo magazeti hawana tatizo wewe kiherehere cha nini?Millard Ayo sijui kwanini anatumia Habari za vyanzo vingine na kuzifanya zake, anaweka na Logo yake kabisa. Mwananchi wakamshtukia wakampiga ban.
Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.Kwa kauli hii, hivi kweli hawezi kuwa na Mkono Kibiti huyu Mpenda sifa na madaraka?
We acha kuongea usichokijua. Bila Intel iliyotulia, alichopanga Hugo Mpenda Madaraka kutufanyia Watz, hakuna mtu angepangua.Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.
Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa.
Geuka nyuma yako uangalie, usikute na hapo yupo!!Hivi Millard Ayo ndiye mwandishi Mwenye mtandao mpana kuliko chombo chochote cha habari nchini kiasi cha kuwepo kila mahali...
Huyu MZEE bado hajakwenda kuchunga tu. Urais atausikia hivyo hats akienda Tena kwa tb Joshua, watanzania hatuwataki mafisadi katuumiza sana huyu mzee