Lowassa, Punguza Sherehe na Tafrija!

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,402
54,878
Hivi Lowassa hachoki kuporomosha mapati? kila kikao cha bunge ni lazima aandae sherehe? anasherehekea nini wakati tunakabiliwa na tatizo la njaa? amenishangaza kwa kufanya tafrija ya kupanga mikakati na madereva wa ofisi ya waziri mkuu. hii ni baada ya miezi sita toka ateuliwe!!

Mwalimu Nyerere alituonya kwamba kama tunampenda Lowassa basi tukanywe naye chai[tafrija/party], lakini uongozi HAFAI. Pesa wanazotupa kwenye starehe zingeweza kununulia madawati na chaki. Bora ya Sumaye aliyekuwa akiutikwa mtindi kama kinyamkera lakini peke yake.

http://www.kikweteshein.com/kikwete/displayimage-6-5.html

Tafrija ya kufahamiana na kupanga mikakati. Imefanyika miezi sita baada ya kuteuliwa!!!
http://www.kikweteshein.com/kikwete/displayimage-6-28.html

http://www.kikweteshein.com/kikwete/displayimage-6-45.html
http://www.kikweteshein.com/kikwete/displayimage-6-114.html
http://www.kikweteshein.com/kikwete/displayimage-6-221.html
http://www.kikweteshein.com/kikwete/displayimage-6-231.html
 
Jokakuu

Habari yako na link yako navitilia mashaka kwamba umetaka ku promote habari za Serikali kwa kuwa ijaona picha za party nyingi zaidi ni jinsi gani Lowasa yuko ziarani .Correct me if am wrong na urekebishe habari na picha zako kampeni .
 
Chifu Ihunyo,
ukiangalia hizo link zote zinaonyesha parti tofauti alizofanya Edward Lowassa kwa watu wale wale. Kitu cha kushangaza anafanya hata parti ya kufahamiana na watumishi wake miezi sita baada ya kuteuliwa waziri mkuu. parti hiyo ameiita ya kupanga mikakati ya utendaji.

hivi mikakati ya utendaji ofisi ya waziri mkuu inafanyika kwenye tafrija za usiku? i have been all over the world na sijasikia wala kuona ufujaji wa namna hiyo.

sherehe na tafrija zote hizo zinaandaliwa kwa kutumia pesa ya walipa kodi. hivi hizo pesa haziwezi kununulia madawati na kuchimba visima vya maji safi?

si hivyo tu, mbona Raisi Kikwete na Dr.Sheni hawaporomoshi maparti yasiyokuwa na mwisho, mbele wala nyuma, kama Edward Lowassa?
 
kama kungekuwa na watu wenye ujuzi wa fani ya uandishi wangemuuliza maswali yafuatayo:

a. Mhe. WM hizi tafrija ni za nini na kwanini nyingi?
b. Je ni nani anazilipia tafrija hizi
c. Je pesa zinazotumika kuandaa tafrija hizi mara kwa mara zisingeweza kutumika kwa jambo fulani jingine?
d. Kama matumizi ya fedha hizi ni zaidi ya kile kinachoruhusiwa, je ofisi yako iko tayari kurudisha fedha hizo hazina?
 
Mwanakijiji,
nimeshangaa sasa Waziri Mkuu anapanga mikakati ya utekelezaji kwa kucheza dansi? only in Tanzania!!

Tunahitaji mapaparatzi watakaotengeneza filamu ya jinsi viongozi wa Tanzania wanavyokula starehe wakati wananchi wanaishi kwa tabu.

Waandishi wa habari na Viongozi wa Upinzani nao wamelaza damu. Kwanini wamenyamaza wakati ubadhirifu na ubinafsi unaendelea mbele ya macho yao?
 
kama kungekuwa na watu wenye ujuzi wa fani ya uandishi wangemuuliza maswali yafuatayo:

a. Mhe. WM hizi tafrija ni za nini na kwanini nyingi?
b. Je ni nani anazilipia tafrija hizi
c. Je pesa zinazotumika kuandaa tafrija hizi mara kwa mara zisingeweza kutumika kwa jambo fulani jingine?
d. Kama matumizi ya fedha hizi ni zaidi ya kile kinachoruhusiwa, je ofisi yako iko tayari kurudisha fedha hizo hazina?
Tujikumbushe tu tuliyowahi kujadili kwenye mtu huyu, na harakati zake za wakati huu.
 
utajuaje labda anasherekea pumzi ya kila siku anayojaaliwa na mwenyezi...
 
kama kungekuwa na watu wenye ujuzi wa fani ya uandishi wangemuuliza maswali yafuatayo:

a. Mhe. WM hizi tafrija ni za nini na kwanini nyingi?
b. Je ni nani anazilipia tafrija hizi
c. Je pesa zinazotumika kuandaa tafrija hizi mara kwa mara zisingeweza kutumika kwa jambo fulani jingine?
d. Kama matumizi ya fedha hizi ni zaidi ya kile kinachoruhusiwa, je ofisi yako iko tayari kurudisha fedha hizo hazina?
Mwaka huu 2015 zitafukuliwa nyuzi zote za huyu Bwana...Hahaaaa
 
Chifu Ihunyo,
ukiangalia hizo link zote zinaonyesha parti tofauti alizofanya Edward Lowassa kwa watu wale wale. Kitu cha kushangaza anafanya hata parti ya kufahamiana na watumishi wake miezi sita baada ya kuteuliwa waziri mkuu. parti hiyo ameiita ya kupanga mikakati ya utendaji.

hivi mikakati ya utendaji ofisi ya waziri mkuu inafanyika kwenye tafrija za usiku? i have been all over the world na sijasikia wala kuona ufujaji wa namna hiyo.

sherehe na tafrija zote hizo zinaandaliwa kwa kutumia pesa ya walipa kodi. hivi hizo pesa haziwezi kununulia madawati na kuchimba visima vya maji safi?

si hivyo tu, mbona Raisi Kikwete na Dr.Sheni hawaporomoshi maparti yasiyokuwa na mwisho, mbele wala nyuma, kama Edward Lowassa?

bora party kuliko kusafiri kila kukicha whick cost alot
 
kama kungekuwa na watu wenye ujuzi wa fani ya uandishi wangemuuliza maswali yafuatayo:

a. Mhe. WM hizi tafrija ni za nini na kwanini nyingi?
b. Je ni nani anazilipia tafrija hizi
c. Je pesa zinazotumika kuandaa tafrija hizi mara kwa mara zisingeweza kutumika kwa jambo fulani jingine?
d. Kama matumizi ya fedha hizi ni zaidi ya kile kinachoruhusiwa, je ofisi yako iko tayari kurudisha fedha hizo hazina?

hivi zile safari za jk nyingi za nini? na huwa zinalipiwa na anai? na majukumu yake huwa anatekeleza saa ngapi? kunya anye bata, akinya kuku kaharisha
 
hahaha alikuwa hajakatwa so hakuwa anauwona umaskini kuna vitu huwezi kuviona hadi ukatwe:A S shade:
 
Mbowe mkumbushe lowassa kapeni zilishaanza aache kuzunguka mitaa ya dar. Watu wanataka sera.akumbuke kelo haziko dar ziko nchi zima
 
Back
Top Bottom