Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.
Wewe na mtu wako wote ni machizi, kuhusu sheikh ponda hukumu yake ilikuwa imeshatayarishwa kabla ya hata magufuli hajaapishwa ila ilikuwa inaahirishwa kwa dharura tofauti hata wakati mwingine ilikuwa hakimu ana majukumu mengine n.k lakini issue ya babu seya ni tofauti kwani yeye alishahukumiwa siku nyingi na bahati mbaya kesi kama yake ya kubaka tena vitoto haina msamaha, lakini pia acha kupotosha kuwa alihukumiwa 2006 ukweli alihukumiwa 2004
Ulisema kosa lake halina Msamaha, leo kimetokea nini? Kuna sheria imekiukwa? Ni vizuri kuweka akiba ya maneno
 
Naomba kuuliza wanaosema Rais atoe msamaha wa masheikh... kwani Masheik ni wafungwa au bado wana kesi...
Mnataka aingilie mambo ya mahakama?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom