Lowassa: Ninasononeshwa na hali ya Watanzania hivi sasa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Lowassa-Chadema.jpg

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema kuwa anasononeshwa na namna hali ya maisha ya watanzania wengi inavyozidi kuwa ngumu.

Lowassa ameyasema hayo katika taarifa yake ya kuwatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Ramadhani ikiwa ni siku mbili kabla ya waumini wa dini hiyo kuanza ibada hiyo ya mfungo Mtakatifu.

“Bei ya bidhaa mbalimbali zimezidi kupanda na zaidi kuadimika kwa sukari ambayo ni bidhaa muhimu sana hasa katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani,” alisema.

Aidha, Lowassa aliwaomba wafanyabiashara nchini kupunguza bei ya bidhaa muhimu zinazotumika hasa katika kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili Waislamu waweze kutimiza ibada hiyo vizuri.

Lowassa amewaomba Waislamu kuliombea Taifa amani, mshikamano na utulivu katika sala zao.

Chanzo: Dar24
 
Lowassa-Chadema.jpg

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema kuwa anasoneshwa na namna hali ya maisha ya watanzania wengi inavyozidi kuwa ngumu.

Lowassa ameyasema hayo katika taarifa yake ya kuwatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Ramadhani ikiwa ni siku mbili kabla ya waumini wa dini hiyo kuanza ibada hiyo ya mfungo Mtakatifu.

“Bei ya bidhaa mbalimbali zimezidi kupanda na zaidi kuadimika kwa sukari ambayo ni bidhaa muhimu sana hasa katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani,” alisema.

Aidha, Lowassa aliwaomba wafanyabiashara nchini kupunguza bei ya bidhaa muhimu zinazotumika hasa katika kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili Waislamu waweze kutimiza ibada hiyo vizuri.

Lowassa amewaomba Waislamu kuliombea Taifa amani, mshikamano na utulivu katika sala zao.
Chanzo: Dar24

mzimu wa huyu jamaa ndiwo unaosababisha serekali yetu iwe inafanya kazi kwa mihemuko. he's always been (and will always be) lurking in their (CCM's) souls, minds and flesh!
 
Lowassa-Chadema.jpg

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema kuwa anasononeshwa na namna hali ya maisha ya watanzania wengi inavyozidi kuwa ngumu.

Lowassa ameyasema hayo katika taarifa yake ya kuwatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Ramadhani ikiwa ni siku mbili kabla ya waumini wa dini hiyo kuanza ibada hiyo ya mfungo Mtakatifu.

“Bei ya bidhaa mbalimbali zimezidi kupanda na zaidi kuadimika kwa sukari ambayo ni bidhaa muhimu sana hasa katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani,” alisema.

Aidha, Lowassa aliwaomba wafanyabiashara nchini kupunguza bei ya bidhaa muhimu zinazotumika hasa katika kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili Waislamu waweze kutimiza ibada hiyo vizuri.

Lowassa amewaomba Waislamu kuliombea Taifa amani, mshikamano na utulivu katika sala zao.

Chanzo: Dar24
Ninamkubali siku zote, nasitaacha kufanya hivyo, kuna mengi ambayo najifunza kwake
 
Elimu ndogo ya uchumi itakufanya uelewe kuwa fedha chafu(malipo hewa, ukwepaji kodi, ujangili, madawa ya kulevya, rushwa, wizi wa fedha za umma, mission town nk.) zinapoondolewa kwenye mzunguko, nguvu ya manunuzi (purchasing power) ya mtu lazima itapungua. Kumbuka Mkapa alipoingia aliondoa sh.68b kwenye mzunguko kama nakumbuka vizuri, hali ilikuwaje? Ngumu.
Ndg. EL, acha siasa. Nchi ilifika pabaya. Hatua anazochukua Rais ni sahihi kabisa na ndo maana anasifiwa ndani na nje ya mipaka yetu. Lazima ili nchi ikae vizuri tutapata maumivu kwani nchi iliugua muda mrefu. Dr. yuko kazini, msaidie kwa mawazo chanya ili tutoke hapa tulipo, badala ya kunung'unika. Sana sana kwa level yako kosoa, ili ujitofautishe na mwananchi wa kawaida.
 
umenikumbusha mbali sana, wakati huyu laigwani akiwa waziri mkuu bei ya nyama ilipanda kutoka mia nane hadi elfu tisa, saruji ilipanda kutoka elfu tisa hadi elfu 25, alifukuza wafugaji kila kona hadi wengine waliomba kuhamia msumbiji, halafu anasema maisha magumu si yeye ndio katuletea! hule shetani wake richmondi aka dowan aka symbioni badi anatukamua. mwambieni ugumu wa maisha katuletea yeye na rafiki yake ambaye hawakukutana barabarani.
 
Mkuu huyu MTU mizimu yake ni mikali mno, kasema hayo subiri uone Lumumba watakavyopigana vikumbo vikiambatana na matamko
NI VIGUMU KUZUIA MAFURIKO KWA MIKONO,MAANA CKU ZOTE SHERIA NI MSUMENO,MH.MAGUFULI ANAPAMBANA NA KIVULI CHAKE,MAANA CCM NI ZAO LA MIJIZI NA MAFISADI,NDO MAANA HADI LEO TUNAONGOZWA NA FISADI MH.CHENGE.MAGUFULI KAZUNGUKWA NA GENGE LA WATU SIO WAAMINIFU,PEKEE YAKE HAWAZI KUPAMBANA NA SYSTEM.
 
wengine walizoea vya kunyonga... vya kuchinja imekuwa kazi kwelikweli... Go JPM.. rudisha heshima ya kazi, heshima ya malipo halali kwa kazi halali.. Safisha na kwangua rushwa mioyoni mwa watanzania.
 
umenikumbusha mbali sana, wakati huyu laigwani akiwa waziri mkuu bei ya nyama ilipanda kutoka mia nane hadi elfu tisa, saruji ilipanda kutoka elfu tisa hadi elfu 25, alifukuza wafugaji kila kona hadi wengine waliomba kuhamia msumbiji, halafu anasema maisha magumu si yeye ndio katuletea! hule shetani wake richmondi aka dowan aka symbioni badi anatukamua. mwambieni ugumu wa maisha katuletea yeye na rafiki yake ambaye hawakukutana barabarani.
ACHA UKILAZA NA USHABIKI WA KIJINGA LOWASA ALISEMA WAZI KABISA RICHMOND NI YA MH.KIKWETE NDO MAANA LEO INAITWA SYMBION.INGELUWA YA LOWASA INGESHATAIFISHWA.JITAHIDI KUFIKIRI KWANI KICHWANI UNA UBONGO AU TOPE?JIONGEZE NDUGU.
 
Maisha yamekuwa magumu sana mkoani Geita ambako ni maskani ya Mhe.Magufuli maana mkoa huo hutegemea dhahabu sana na kipindi cha kampeni Mhe. Magufuli aliwaahidi kwamba hazitapita siku 90 bila wachimbaji wadogo kupata maeneo ya kuchimba lakini sasa ni zaidi ya siku 180 game bado bila bila huku vijana wakisota bila kazi na wengine huhatarisha maisha yao kwa shughuli za kuiba mawe madogo madogo (Gwangala) ambayo ni mabaki ya GGM.
Huko nako kunalindwa na FFU japokuwa na mgodi binafsi na wakiwaotea hao vijana hupigika kisawasawa. Sasa najiuliza kama Baba Jesca bado hajaanza kutekeleza ahadi ya nyumbani, je atawakumbuka ndugu zangu wa Uyole waliowahi kumzomea kipindi cha kampeni?
 
ambaye hawakukutana barabarani sio? kwahiyo nayeye ni sehemu ya ugumu wa maisha ya watanzania.
 
Lowassa-Chadema.jpg

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema kuwa anasononeshwa na namna hali ya maisha ya watanzania wengi inavyozidi kuwa ngumu.

Lowassa ameyasema hayo katika taarifa yake ya kuwatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Ramadhani ikiwa ni siku mbili kabla ya waumini wa dini hiyo kuanza ibada hiyo ya mfungo Mtakatifu.

“Bei ya bidhaa mbalimbali zimezidi kupanda na zaidi kuadimika kwa sukari ambayo ni bidhaa muhimu sana hasa katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani,” alisema.

Aidha, Lowassa aliwaomba wafanyabiashara nchini kupunguza bei ya bidhaa muhimu zinazotumika hasa katika kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili Waislamu waweze kutimiza ibada hiyo vizuri.

Lowassa amewaomba Waislamu kuliombea Taifa amani, mshikamano na utulivu katika sala zao.

Chanzo: Dar24
Ngoja waje kutoka lumumba kesho tu utasikia oh fisadi.Ila mzimu huu mbaya sana
 
Maisha yamekuwa magumu sana mkoani Geita ambako ni maskani ya Mhe.Magufuli maana mkoa huo hutegemea dhahabu sana na kipindi cha kampeni Mhe. Magufuli aliwaahidi kwamba hazitapita siku 90 bila wachimbaji wadogo kupata maeneo ya kuchimba lakini sasa ni zaidi ya siku 180 game bado bila bila huku vijana wakisota bila kazi na wengine huhatarisha maisha yao kwa shughuli za kuiba mawe madogo madogo (Gwangala) ambayo ni mabaki ya GGM.
Huko nako kunalindwa na FFU japokuwa na mgodi binafsi na wakiwaotea hao vijana hupigika kisawasawa. Sasa najiuliza kama Baba Jesca bado hajaanza kutekeleza ahadi ya nyumbani, je atawakumbuka ndugu zangu wa Uyole waliowahi kumzomea kipindi cha kampeni?
hao vijana wanaishi kwa kutegemea wizi mgodini ni wangapi?
 
Back
Top Bottom