Lowassa:Nina watu si fedha

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Waziri mkuu aliejiuzulu,Edward Lowassa amesema si tajiri na wala hana fedha bali ana ushawishi mkubwa na wafuasi wengi wanaomuunga mkono katika shughuli za kimaendeleo ndizo zinazomng'arisha.

Lowassa alitoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa harambee ya Jumuiya ya Akiba,Mikopo na Maendeleo Dodoma(Jamimado) iliyafanyika jana mjini Dodoma katika viwanja vya mwalimu Nyerere.

"Najua mmenipa heshima ya kuwa mgeni rasimi katika uzinduzi huu kwasababu mnajua nafanya nini kwingineko.Sina fedha ila nina ushawishi mkubwa na wafuasi wengi wananiunga mkono"alisema.

Mh.Lowassa alichangia sh milioni 10.

CHANZO:TANZANIA DAIMA ONLINE LA TAREHE 06/06/2013.
 
Huyu naye anazeeka vibaya. Ukishabikiwa na watu 100 ni watu, ila haawatoshi kukupa nchi uongoze, period.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom