Lowassa: Ni vigumu kutenganisha maisha yangu ya siasa na mafanikio niliyovuna CCM

Lowassa ni PANDIKIZI, AMEENDA FOR A SPECIAL MISSION, the mission is almost complete.
Biblia kitabu cha Timotheo wa pili sura ya tatu na msitari wa kwanza hadi wa tisa inasema katika siku za mwisho kutakuwa na watu wabaya mno ambao wataenda motoni na katika hao watu wabaya kupindukia limo kundi LA watu wasio na shukrani kwa chochote walichofanyiwa na wengine.Lowasa kaamua asiwe MTU asiye Na shukrani na hataki kwenda motoni ndio maana anashukuru CCM kwenda motoni anawaachia wapagani akina Lisu, mbowe,Msigwa,lema,sugu ambao hawashukuru serikali ya CCM walau hata kwa posho za bunge na mashangingi wanayoendesha yatokanayo na kodi zilizokusanywa na serikali ya CCM.Lowasa kagoma kuwa mpagani.Mungu mbariki Lowasa kwa kuwa na shukrani alikolelewa.
 
Ni vizuri kuota, Lakini ni ajabu utakapo lazimisha ndoto kuwa ndo uhalisia wenyewe. Mtoa mada wataka kutulazimisha tuamini kuwa hatuna vyama vya upinzani bali vyote branches za ccm
 
Katika mazungumzo yangu na bwana Edward alieleza mengi yaliyojikita katika masuala niliyo uliza
1.uanachama wa chama cha mapinduzi unakoma pale unapofukuzwa au kujiuondoa na kukabidhi kadi ya chama cha mapinduzi lakin yeye hakufanya hivyo kadi yake namba 102 bado inasomeka kuwa active na imelipiwa uanachama mpaka miaka 25 ijayo,

Alipoulizwa kwani ni hakurejesha kadi akasema ni vema akawa na kumbu kumbu ya alivyokitumikia chama cha mapinduzi na inamkumbusha siasa safi aliyojifunza tokea akiwa chipukizi TANU
Akasema ni vigumu kutenganisha maisha yangu ya siasa na mafanikio niliovuna CCM,

Upande wake Dk wilbroad Peter Slaa naye kadi yake ina muda kwa uhai wa miaka 15 ijayo pamoja na.kwamba alitumikia chadema kwa muda mrefu,

Vivyo hivyo Lyatonga Mrema kadi yake ina isha muda wake mwaka 2019 imebakiza miaka miwili,

Kadi zote hizo zinasema active, najiuliza kwanini hasa hawajarudisha kadi hizo,

Hawa ni wanachama hai wa chama
cha mapinduzi

Mpaka mwandishi wa global publishers anahabarisha amejiridhisha kwa habari hii

Bado TANZANIA siasa ni kucheza na akili za watu,
Jee passport iliyokwisha muda wake wa matumizi hurejeshwa uhamiaji?????????
 
hakuna mtanzania ambaye anukii shombo la "maziwa ya kisiasa" la CCM!

Karibu watanzania wote aidha ni watoto,wajukuu au vitukuu wa chama cha mapinduzi!
 
Biblia kitabu cha Timotheo wa pili sura ya tatu na msitari wa kwanza hadi wa tisa inasema katika siku za mwisho kutakuwa na watu wabaya mno ambao wataenda motoni na katika hao watu wabaya kupindukia limo kundi LA watu wasio na shukrani kwa chochote walichofanyiwa na wengine.Lowasa kaamua asiwe MTU asiye Na shukrani na hataki kwenda motoni ndio maana anashukuru CCM kwenda motoni anawaachia wapagani akina Lisu, mbowe,Msigwa,lema,sugu ambao hawashukuru serikali ya CCM walau hata kwa posho za bunge na mashangingi wanayoendesha yatokanayo na kodi zilizokusanywa na serikali ya CCM.Lowasa kagoma kuwa mpagani.Mungu mbariki Lowasa kwa kuwa na shukrani alikolelewa.
Haha
 
Lowassa: "Akasema ni vigumu kutenganisha maisha yangu ya siasa na mafanikio niliovuna CCM"

CCM ndio baba, asante lowassa..!! Mafanikio yanapatikana CCM, asante kwa kuwa mkweli.. Chadema mmesikia? Mjue ukweli huo..!! In other words Lowassa anasema HAJAVUNA NA HATEGEMEI KUVUNA MAFANIKIO CHADEMA KAMA ALIYOPATA CCM..!!

Ukweli ni kitu kizuri sana ingawa unauma sana..!!

CCM mbele kwa mbeleee..!!
Kabisa
 
kama haja rudisha una taka kusubiri wakati wa kulipia? hawa hawakufanya maamuzi magumu ila wapo kama ma-CIA wana dukua data tu na kupoza upinzani... yani uliona wapi adui yako awe rafiki? tena ktk kipindi cha ugomvi? na yule mwingine wa panoni sijui parore ana taka ukawa na CCM... hhahahahahaha maigizo haya...
Duh
 
Katiba ya CCM nayo inatamka bayana kuwa sababu za kukoma uanachama ni pamoja na mwanachama kujiunga navChama kingine cha siasa. Kwa hiyo hata ubaki na kadi ya Chama cha siasa cha awali, hiyo kadi ni kwamba popote ulipoihifadhi iko museum.
 
Back
Top Bottom