Lowassa: Ni vigumu kutenganisha maisha yangu ya siasa na mafanikio niliyovuna CCM

britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
8,989
Likes
13,108
Points
280
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
8,989 13,108 280
Katika mazungumzo yangu na bwana Edward alieleza mengi yaliyojikita katika masuala niliyo uliza
1.uanachama wa chama cha mapinduzi unakoma pale unapofukuzwa au kujiuondoa na kukabidhi kadi ya chama cha mapinduzi lakin yeye hakufanya hivyo kadi yake namba 102 bado inasomeka kuwa active na imelipiwa uanachama mpaka miaka 25 ijayo,

Alipoulizwa kwani ni hakurejesha kadi akasema ni vema akawa na kumbu kumbu ya alivyokitumikia chama cha mapinduzi na inamkumbusha siasa safi aliyojifunza tokea akiwa chipukizi TANU
Akasema ni vigumu kutenganisha maisha yangu ya siasa na mafanikio niliovuna CCM,

Upande wake Dk wilbroad Peter Slaa naye kadi yake ina muda kwa uhai wa miaka 15 ijayo pamoja na.kwamba alitumikia chadema kwa muda mrefu,

Vivyo hivyo Lyatonga Mrema kadi yake ina isha muda wake mwaka 2019 imebakiza miaka miwili,

Kadi zote hizo zinasema active, najiuliza kwanini hasa hawajarudisha kadi hizo,

Hawa ni wanachama hai wa chama
cha mapinduzi

Mpaka mwandishi wa global publishers anahabarisha amejiridhisha kwa habari hii

Bado TANZANIA siasa ni kucheza na akili za watu,
 
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
4,818
Likes
2,909
Points
280
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
4,818 2,909 280
Maono ya Prof. Jay hiyo ina itwa tatu mzuka... watz wanacheza michezo ya kubahatisha hadi ktk siasa
 
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Messages
4,103
Likes
1,911
Points
280
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2014
4,103 1,911 280
Katika mazungumzo yangu na bwana Edward alieleza mengi yaliyojikita katika masuala niliyo uliza
1.uanachama wa chama cha mapinduzi unakoma pale unapofukuzwa au kujiuondoa na kukabidhi kadi ya chama cha mapinduzi lakin yeye hakufanya hivyo kadi yake namba 102 bado inasomeka kuwa active na imelipiwa uanachama mpaka miaka 25 ijayo,

Alipoulizwa kwani ni hakurejesha kadi akasema ni vema akawa na kumbu kumbu ya alivyokitumikia chama cha mapinduzi na inamkumbusha siasa safi aliyojifunza tokea akiwa chipukizi TANU
Akasema ni vigumu kutenganisha maisha yangu ya siasa na mafanikio niliovuna CCM,

Upande wake Dk wilbroad Peter Slaa naye kadi yake ina muda kwa uhai wa miaka 15 ijayo pamoja na.kwamba alitumikia chadema kwa muda mrefu,

Vivyo hivyo Lyatonga Mrema kadi yake ina isha muda wake mwaka 2019 imebakiza miaka miwili,

Kadi zote hizo zinasema active, najiuliza kwanini hasa hawajarudisha kadi hizo,

Hawa ni wanachama hai wa chama
cha mapinduzi

Mpaka mwandishi wa global publishers anahabarisha amejiridhisha kwa habari hii

Bado TANZANIA siasa ni kucheza na akili za watu,
Ngoja tusubiri watazilipia? Wakizilipia basi hakuna kitu hapo
 
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
4,818
Likes
2,909
Points
280
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
4,818 2,909 280
Uanachama wa mwanachama wa chama chochote kiwe cha siasa au kingine chochote unaisha pale anapofukuzwa au kujiondoa mwenyewe kwenye chama hicho haijarishi amelipa ada ya uanachama kwa muda gani,huo ndio ukweli.
kauli yake umeielewa lakini... huwezi kumtenganisha na CCM... hivyo ukifikilia kwa kina huyu mtu ni CIA ndani CDM... kimwili yupo nasi kiroho hatupo nae... hao waliotajwa bado wana mahaba na walipo toka ndio maana ukiwacheki wapa passive kupambana na sehemu walizo tokoe... wengine ile mifumo yao waliyokiuwa wanaitengeneza ktk vyama walivyo toka hawa itumii tena huku walipo...

Jibu rahisi bado wana mahaba na vyama vyao... sisi tuna rudisha wao hawarudishi... unakuwa na makoti mawili mawili ukichoka una vaa lile... kweli ya kale dhahabu...!
 
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
4,818
Likes
2,909
Points
280
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
4,818 2,909 280
Ngoja tusubiri watazilipia? Wakizilipia basi hakuna kitu hapo
kama haja rudisha una taka kusubiri wakati wa kulipia? hawa hawakufanya maamuzi magumu ila wapo kama ma-CIA wana dukua data tu na kupoza upinzani... yani uliona wapi adui yako awe rafiki? tena ktk kipindi cha ugomvi? na yule mwingine wa panoni sijui parore ana taka ukawa na CCM... hhahahahahaha maigizo haya...
 
sblandes

sblandes

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
3,238
Likes
1,387
Points
280
sblandes

sblandes

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
3,238 1,387 280
Katika mazungumzo yangu na bwana Edward alieleza mengi yaliyojikita katika masuala niliyo uliza
1.uanachama wa chama cha mapinduzi unakoma pale unapofukuzwa au kujiuondoa na kukabidhi kadi ya chama cha mapinduzi lakin yeye hakufanya hivyo kadi yake namba 102 bado inasomeka kuwa active na imelipiwa uanachama mpaka miaka 25 ijayo,

Alipoulizwa kwani ni hakurejesha kadi akasema ni vema akawa na kumbu kumbu ya alivyokitumikia chama cha mapinduzi na inamkumbusha siasa safi aliyojifunza tokea akiwa chipukizi TANU
Akasema ni vigumu kutenganisha maisha yangu ya siasa na mafanikio niliovuna CCM,

Upande wake Dk wilbroad Peter Slaa naye kadi yake ina muda kwa uhai wa miaka 15 ijayo pamoja na.kwamba alitumikia chadema kwa muda mrefu,

Vivyo hivyo Lyatonga Mrema kadi yake ina isha muda wake mwaka 2019 imebakiza miaka miwili,

Kadi zote hizo zinasema active, najiuliza kwanini hasa hawajarudisha kadi hizo,

Hawa ni wanachama hai wa chama
cha mapinduzi

Mpaka mwandishi wa global publishers anahabarisha amejiridhisha kwa habari hii

Bado TANZANIA siasa ni kucheza na akili za watu,
Mhh kuna jambo halipo wazi,jibu lipate kwa mzee Kingunge,au kwa Jenerali Ulimwengu.
 
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Messages
655
Likes
300
Points
80
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2017
655 300 80
Uanachama wa mwanachama wa chama chochote kiwe cha siasa au kingine chochote unaisha pale anapofukuzwa au kujiondoa mwenyewe kwenye chama hicho haijarishi amelipa ada ya uanachama kwa muda gani,huo ndio ukweli.
Ccm ndio baba na ndio mama hawawezi kutoka hao. Mrema karukaruka hatimaye ccm imempa kazi yakuangalia wafungwa nahao wengine itakuwa vivyo hivyo siasa za TZ hakuna jipya.
 
Kilaga

Kilaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Messages
2,071
Likes
1,076
Points
280
Kilaga

Kilaga

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2013
2,071 1,076 280
Mleta mada inabidi uiruhusu akili yako kuelewa mambo hasa ya ya kijamii.

Kwa namna ambavyo umeonyesha, ni ngumu sana kuamini kuwa bado kuna Watz (hasa wa umri wako na walioelimika) bado upeo wao wa kuelewa ni mdogo kiasi hicho.

Kadi ni makaratasi ya orodhesho tu. Malipo wajibu wa mwanachama kulinda orodhesho, na uhai wa mwanachama ni kuwajibikia uanachama wake.

Mtu anaweza kulipia kwa miaka mingi mbele akafa leo, au akaachana na huyo uanachama. Kwa kuwa malipo yalifanywa akifa ndugu hawawezi kurudishiwa malipo Yale au akiachana na uanachama yeye mwenyewe au kufukuzwa hawezi kurudishiwa malipo yale. Kama nafsi yako inakwambia hao ni wanachama hai basi maana yake na waliokufa wote ni hai kisiasa.
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
8,989
Likes
13,108
Points
280
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
8,989 13,108 280
Ccm ndio baba na ndio mama hawawezi kutoka hao. Mrema karukaruka hatimaye ccm imempa kazi yakuangalia wafungwa nahao wengine itakuwa vivyo hivyo siasa za TZ hakuna jipya.
Kabisa
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,586
Likes
9,620
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,586 9,620 280
Mwandishi hapo kachemka kitu kimoja tu hajatuambia status ya kadi ya mbowe na lisu.
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
8,989
Likes
13,108
Points
280
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
8,989 13,108 280
Mtu akisema jambo unapaswa kumuelewa vyema hakusema huwezi kumtenganisha na ccm bali huwezi kutenganisha maisha yake ya kisiasa na mafanikio aliyovuna ccm na hiyo ni kweli maana kama alivyofafanua yeye mwenyewe kwamba alianza siasa akiwa huko tena enzi ya Tanu na umaarufu wake umeanzia huko hadi kuwa hivi alivyo leo hilo ni swala la historia hata iweje ukweli huo haupingiki.
Kweli.na anaipenda ccm
 
Lobapula

Lobapula

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Messages
2,302
Likes
1,451
Points
280
Lobapula

Lobapula

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2011
2,302 1,451 280
Tegemea matusi
Katika mazungumzo yangu na bwana Edward alieleza mengi yaliyojikita katika masuala niliyo uliza
1.uanachama wa chama cha mapinduzi unakoma pale unapofukuzwa au kujiuondoa na kukabidhi kadi ya chama cha mapinduzi lakin yeye hakufanya hivyo kadi yake namba 102 bado inasomeka kuwa active na imelipiwa uanachama mpaka miaka 25 ijayo,

Alipoulizwa kwani ni hakurejesha kadi akasema ni vema akawa na kumbu kumbu ya alivyokitumikia chama cha mapinduzi na inamkumbusha siasa safi aliyojifunza tokea akiwa chipukizi TANU
Akasema ni vigumu kutenganisha maisha yangu ya siasa na mafanikio niliovuna CCM,

Upande wake Dk wilbroad Peter Slaa naye kadi yake ina muda kwa uhai wa miaka 15 ijayo pamoja na.kwamba alitumikia chadema kwa muda mrefu,

Vivyo hivyo Lyatonga Mrema kadi yake ina isha muda wake mwaka 2019 imebakiza miaka miwili,

Kadi zote hizo zinasema active, najiuliza kwanini hasa hawajarudisha kadi hizo,

Hawa ni wanachama hai wa chama
cha mapinduzi

Mpaka mwandishi wa global publishers anahabarisha amejiridhisha kwa habari hii

Bado TANZANIA siasa ni kucheza na akili za watu,
 
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
24,519
Likes
16,708
Points
280
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
24,519 16,708 280
Katika mazungumzo yangu na bwana Edward alieleza mengi yaliyojikita katika masuala niliyo uliza
1.uanachama wa chama cha mapinduzi unakoma pale unapofukuzwa au kujiuondoa na kukabidhi kadi ya chama cha mapinduzi lakin yeye hakufanya hivyo kadi yake namba 102 bado inasomeka kuwa active na imelipiwa uanachama mpaka miaka 25 ijayo,

Alipoulizwa kwani ni hakurejesha kadi akasema ni vema akawa na kumbu kumbu ya alivyokitumikia chama cha mapinduzi na inamkumbusha siasa safi aliyojifunza tokea akiwa chipukizi TANU
Akasema ni vigumu kutenganisha maisha yangu ya siasa na mafanikio niliovuna CCM,

Upande wake Dk wilbroad Peter Slaa naye kadi yake ina muda kwa uhai wa miaka 15 ijayo pamoja na.kwamba alitumikia chadema kwa muda mrefu,

Vivyo hivyo Lyatonga Mrema kadi yake ina isha muda wake mwaka 2019 imebakiza miaka miwili,

Kadi zote hizo zinasema active, najiuliza kwanini hasa hawajarudisha kadi hizo,

Hawa ni wanachama hai wa chama
cha mapinduzi

Mpaka mwandishi wa global publishers anahabarisha amejiridhisha kwa habari hii

Bado TANZANIA siasa ni kucheza na akili za watu,
Lowassa ni PANDIKIZI, AMEENDA FOR A SPECIAL MISSION, the mission is almost complete.
 
Forum statistics

Threads 1,250,870
Members 481,514
Posts 29,748,995