Lowassa ni next level na anaijua siasa ya Tanzania

Uzuri ni kwamba wapiga dili wote wamehamia jamii forums. Wanapata ahueni kwa kutoka hasira zao. Magufuli ameshasema habadiliki hatatoa mwanya wowote kwa wizi tena. Kila anayetumbuliwa anahamjlisha mashambulizi jamiiforums.
Magu kaza Uzi hivyo hivyo mwisho hata hela ya kununua MB itaisha. Kwa sasa bado wanamalizia zile walizoiba tra na kwingineko. Jamiiforums haina maana tena siku hizi hamna tena critical analysis Bali kutetea wahuni tu akina mbowe wanaiibia nhc.
Badilikeni jamani magu hatabadilika hata mpige kelele namna gani. Mlipiga kelele ya sukari akaisolve faster sasa hii ya njaa ikiisha sijui itakuwaje.
Mi naamini kabisa chadema na ukawa mjiandae kupokea makapi yaliyotumbuliwa. Uzuri wananchi wengi wanamkubali magu sema hawaji kupiga kelele humu
Kama wewe si mwehu basi ni kichaa. Huoni tunavyombadilisha, tena kwa remote tunabadilisha channel tunavyotaka!!!
 
Uzuri ni kwamba wapiga dili wote wamehamia jamii forums. Wanapata ahueni kwa kutoka hasira zao. Magufuli ameshasema habadiliki hatatoa mwanya wowote kwa wizi tena. Kila anayetumbuliwa anahamjlisha mashambulizi jamiiforums.
Magu kaza Uzi hivyo hivyo mwisho hata hela ya kununua MB itaisha. Kwa sasa bado wanamalizia zile walizoiba tra na kwingineko. Jamiiforums haina maana tena siku hizi hamna tena critical analysis Bali kutetea wahuni tu akina mbowe wanaiibia nhc.
Badilikeni jamani magu hatabadilika hata mpige kelele namna gani. Mlipiga kelele ya sukari akaisolve faster sasa hii ya njaa ikiisha sijui itakuwaje.
Mi naamini kabisa chadema na ukawa mjiandae kupokea makapi yaliyotumbuliwa. Uzuri wananchi wengi wanamkubali magu sema hawaji kupiga kelele humu
Dawa tunaijua, ni kumsubiri ateme nyongo zake majukwaani kisha tunashika vibonyezeo, halafu kwisha habari yake.
 
Uzuri ni kwamba wapiga dili wote wamehamia jamii forums. Wanapata ahueni kwa kutoka hasira zao. Magufuli ameshasema habadiliki hatatoa mwanya wowote kwa wizi tena. Kila anayetumbuliwa anahamjlisha mashambulizi jamiiforums.
Magu kaza Uzi hivyo hivyo mwisho hata hela ya kununua MB itaisha. Kwa sasa bado wanamalizia zile walizoiba tra na kwingineko. Jamiiforums haina maana tena siku hizi hamna tena critical analysis Bali kutetea wahuni tu akina mbowe wanaiibia nhc.
Badilikeni jamani magu hatabadilika hata mpige kelele namna gani. Mlipiga kelele ya sukari akaisolve faster sasa hii ya njaa ikiisha sijui itakuwaje.
Mi naamini kabisa chadema na ukawa mjiandae kupokea makapi yaliyotumbuliwa. Uzuri wananchi wengi wanamkubali magu sema hawaji kupiga kelele humu
Kama unabisha uliza habari ya tanki la maji huko Dutwa, kama ni agizo tena; mpaka mwekezaji abembelezwe vinginevyo ni tambo za bure jukwaani!! Chezea dunia wewe!
 
Mamvi ni fisadi nyangumi hata dunia inajua......hasafishiki hata kwa jik!
Mahakama ya mafisadi haina kesi jombaa,tunaomba aswekwe ndani mara moja. Serikali imetumia pesa za walala hoi nyingi kuanzisha mahakama hiyo,tutafarijika akikamatwa na afungwe maana hata dunia nzima inajua.
 
Lowassa bila pesa ni mwepesi sana kisiasa kama tishu halafu huwezi kumuita gwiji wa sisa ili hali kaanza siasa za upinzani kwa tamaa ya urais tu na ndiyo maana hata kujieleza hajui yeye ni pesa inaongea halafu kingine nenda kwambie hatokuja kuwa rais wa nchi hii hata kidogo urais atausikia tu kwa wengine
Nani mwanasia asyekuwa na pesa na ukamsikia?

swissme
 
Uzuri ni kwamba wapiga dili wote wamehamia jamii forums. Wanapata ahueni kwa kutoka hasira zao. Magufuli ameshasema habadiliki hatatoa mwanya wowote kwa wizi tena. Kila anayetumbuliwa anahamjlisha mashambulizi jamiiforums.
Magu kaza Uzi hivyo hivyo mwisho hata hela ya kununua MB itaisha. Kwa sasa bado wanamalizia zile walizoiba tra na kwingineko. Jamiiforums haina maana tena siku hizi hamna tena critical analysis Bali kutetea wahuni tu akina mbowe wanaiibia nhc.
Badilikeni jamani magu hatabadilika hata mpige kelele namna gani. Mlipiga kelele ya sukari akaisolve faster sasa hii ya njaa ikiisha sijui itakuwaje.
Mi naamini kabisa chadema na ukawa mjiandae kupokea makapi yaliyotumbuliwa. Uzuri wananchi wengi wanamkubali magu sema hawaji kupiga kelele humu
Sukari ilishuka bei kuwa shilingi ngapi na kabla ilikuwa shilingi ngapi?
Unapisema na hili la njaa likiisha una maana gani? Unataka kutuaminisha nchi imekumbwa na njaa?
 
Eti ''Lowassa anaweza kubadili njano kuwa nyekundu''. Unachekesha kweli.

Kama anaweza kubadili njano kuwa nyekundu, mbona hakuweza kuingia Ikulu? Au njano kuwa nyekundu haziwezi kutumika kwenye kura ili aingie Ikulu.

Tanzania kuna vituko.
Ikulu mliingia kwa Goli la mkono...yaani MLIIBA KURA.

Hata kule zanzibar tunajua mliyoyafanya.

Nilishasema katika Viongozi waliobaki wanaoifahamu siasa ya Tanzania vizuri kuanzia awamu ya kwanza mpk sasa ni:-

1) Jaji Joseph Sinde Warioba

2) Salim Ahmed Salim

3) Mwanasheria Marando (Aliyekuwa karibu na Sokoine)

4) Agustino E. Mrema

5) Edward Ngoyai Lowassa

Wengine wapo siasani ila hawaijui SIASA.
 
Mahakama ya mafisadi haina kesi jombaa,tunaomba aswekwe ndani mara moja. Serikali imetumia pesa za walala hoi nyingi kuanzisha mahakama hiyo,tutafarijika akikamatwa na afungwe maana hata dunia nzima inajua.
TUNAOMBA WEWE ULIYE NA USHAHIDI KAMILI UMPELEKE KWA VILE MWANANCHI YEYOTE ANARUHUSIWA KUMPELEKA MAHAKAMANI KWA KUFISADI PESA ZA WANANCHI. HATUTAKI UENDE UHARIBU PESA AETU KAMA ZINVYOUSHIA HUKO MAHAKAMANI KATI YA TANESCO NA SIJUI ESKROO NA IPITIELI
 
Nami ngoja niulizie hapahapa maana suala hili LA kucheza ngoma ya mtukufu ifike mahala likome.

Kuanzia waziri, wakuu wa mikoa na wilaya hata wakurugenzi nao wanakanusha kuwepo njaa kwa sababu mtukufu kasema.

Hivi kwa mfano akiamka asubuhi akatamka ni kweli kuna njaa nchini na kwamba mwanzo alishauriwa vibaya, je hawa wacheza mziki wake nao watabadiri hizi kanusho zao?!
Watakana kauli zao Mkuu..watakuja na ngonjera mpya pamoja na hekaya kibao
 
Nilishasema katika Viongozi waliobaki wanaoifahamu siasa ya Tanzania vizuri kuanzia awamu ya kwanza mpk sasa ni:-

1) Jaji Joseph Sinde Warioba

2) Salim Ahmed Salim

3) Mwanasheria Marando (Aliyekuwa karibu na Sokoine)

4) Agustino E. Mrema

5) Edward Ngoyai Lowassa

Wengine wapo siasani ila hawaijui SIASA.
You are right Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom