Lowassa ni next level na anaijua siasa ya Tanzania

Mfungeni si mna jeshi,polisi,wanasheri,mahakimu,magereza yote yenu mkituimbia wimbo wa fisadi nyangumi au papa wakati uwezo wa kumkamata mnao watu wenye akili hawawezi kukuelewa labda wale kati 1.4 ukiwemo na wewe uliyeandika
Na babake na ukoo wake mana through yeye nshaona ukoo mzima n hamnazo...yan mijitu mingne inakera fisad fisad kwann wasimfunge kat mamlaka wanayo
 
FB_IMG_1484234324142.jpg
 
Eti ''Lowassa anaweza kubadili njano kuwa nyekundu''. Unachekesha kweli.

Kama anaweza kubadili njano kuwa nyekundu, mbona hakuweza kuingia Ikulu? Au njano kuwa nyekundu haziwezi kutumika kwenye kura ili aingie Ikulu.

Tanzania kuna vituko.

Ila kweli mkuu maana kuhamia chadema na muda huo huo kusimamishwa kama mgombea hapo ni njano kuwa nyekundu kabisa na sasa hv nasikia sijui ndo mwenyekiti sijui ni msemaji!!
 
Ila ni kweli kabisa maana ni yeye pekee alieweza kuhamia chadema na kuwa mgombea uraisi wa chama hicho bila kuifahamu ht katiba ya chama... yan alikuwa guility for some many years ila suddenly akasafishwa ...... chadema sio watu wa sport sport bna.

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

"Ni heshima kwa Mungu kumtukana na kumzomea Fisadi kama Lowasa"-Godbless J Lema, mbunge wa Arusha"
 
Lowassa bila pesa ni mwepesi sana kisiasa kama tishu halafu huwezi kumuita gwiji wa sisa ili hali kaanza siasa za upinzani kwa tamaa ya urais tu na ndiyo maana hata kujieleza hajui yeye ni pesa inaongea halafu kingine nenda kwambie hatokuja kuwa rais wa nchi hii hata kidogo urais atausikia tu kwa wengine
Policcm? Povu halisaidii, hoja tu.
 
Zito kabwe keshasema serikali ya ccm ikisambaza iko chakula tani 1.5m basi yeye atajiuzulu ubunge malamoja
 
Eti ''Lowassa anaweza kubadili njano kuwa nyekundu''. Unachekesha kweli.

Kama anaweza kubadili njano kuwa nyekundu, mbona hakuweza kuingia Ikulu? Au njano kuwa nyekundu haziwezi kutumika kwenye kura ili aingie Ikulu.

Tanzania kuna vituko.
Lakini kwanini usikubali serikali yako ilikataa kugawa chakula tena kwa kauli ya mkuu wa boma lakini baada yakumsikia ndugu lowasa ndio serikali nayo ikaja nahyo kauli yakusambaza chakula wakati mlishasema hamna njaa nahamtagawa chakula??
 
Mahakama ya mafisadi haina kesi jombaa,tunaomba aswekwe ndani mara moja. Serikali imetumia pesa za walala hoi nyingi kuanzisha mahakama hiyo,tutafarijika akikamatwa na afungwe maana hata dunia nzima inajua.
Akipandishwa kizimbani bado mtasema ni chuki na visasi kwakuwa yupo chadema.
By the way mamvi alituibia kupitia mfumo dhaifu wa chama/serikali kumtia hatiani ni ngumu.
Kweli mkuu :

KWELI MKUU :) :) ;-)

Kuna mtu katamka kumsafisha au unaropoka tu kama waropokaji wengine?


Tunataka mabadiliko lakini sio kupitia kwa lowassa jizi
 
Lakini kwanini usikubali serikali yako ilikataa kugawa chakula tena kwa kauli ya mkuu wa boma lakini baada yakumsikia ndugu lowasa ndio serikali nayo ikaja nahyo kauli yakusambaza chakula wakati mlishasema hamna ngjhaa nahamtagawa chakula??
Lakini kwanini usikubali serikali yako ilikataa kugawa chakula tena kwa kauli ya mkuu wa boma lakini baada yakumsikia ndugu lowasa ndio serikali nayo ikaja nahyo kauli yakusambaza chakula wakati mlishasema hamna njaa nahamtagawa chakula??
Pia hajatambua tu kuwa hili linatosha kuhitimisha kwamba 'ccm wanaucheza mziki was lowassa'
 
Uzuri ni kwamba wapiga dili wote wamehamia jamii forums. Wanapata ahueni kwa kutoka hasira zao. Magufuli ameshasema habadiliki hatatoa mwanya wowote kwa wizi tena. Kila anayetumbuliwa anahamjlisha mashambulizi jamiiforums.
Magu kaza Uzi hivyo hivyo mwisho hata hela ya kununua MB itaisha. Kwa sasa bado wanamalizia zile walizoiba tra na kwingineko. Jamiiforums haina maana tena siku hizi hamna tena critical analysis Bali kutetea wahuni tu akina mbowe wanaiibia nhc.
Badilikeni jamani magu hatabadilika hata mpige kelele namna gani. Mlipiga kelele ya sukari akaisolve faster sasa hii ya njaa ikiisha sijui itakuwaje.
Mi naamini kabisa chadema na ukawa mjiandae kupokea makapi yaliyotumbuliwa. Uzuri wananchi wengi wanamkubali magu sema hawaji kupiga kelele humu
Kumbe na wewe ni mpiga dili
 
TUNAOMBA WEWE ULIYE NA USHAHIDI KAMILI UMPELEKE KWA VILE MWANANCHI YEYOTE ANARUHUSIWA KUMPELEKA MAHAKAMANI KWA KUFISADI PESA ZA WANANCHI. HATUTAKI UENDE UHARIBU PESA AETU KAMA ZINVYOUSHIA HUKO MAHAKAMANI KATI YA TANESCO NA SIJUI ESKROO NA IPITIELI
Ushahidi wanao CDM na wameutunza miaka 8 bahati mbaya mwaka juzi 2015 wakaupoteza!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom