Lowassa ni mtendaji wa kuaminiwa!

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Ndugu wanajamii, katika viongozi watendaji Lowassa yupo.

Tuaangalie shule za kata; hii ilikuwa ni wazo la Lowassa ili watoto wetu wasome karibu na nyumbani, baada ya kuondoka shule hizo za kata hazikuendelea kabisa,majengo yanabomoka walimu hakuna alitilia mkazo sana....hizo pesa za richmond nafikiri alipeleka huko...

Huyu ni mtu ambaye jamii yake kubwa haijasoma na alikuwa anafanya kwa watanzania wote....huyu ndie kiongozi aliyekuwa na wazo na wazo lake likawa zuri ...sio Mungai aliyearibu mitaala ya shule zetu akafuta michezo na kuleta mtaala mbovu....

Lowassa alijiuzulu kwa kitu kinachoitwa ministerial responsibility na sio kwamba ilizibitika kaiba yeye, ndugu yetu karamagi kwani mnamsikia that was a real culprit, fungueni macho, bora anaeiba na kutumia na aliyewaibia kuliko yule anaekwenda marekani kuponda raha.
 
Yeye ni mchapakazi ukim compare na hao wezi wenzake lakini ukimweka kwa wanaostaili ni zero so hafai hata ukimpaka rangi ya namna gani.
 
Shule ya kata nilijenga kwa pesa yangu wewe usiniudhi, mi nilichanga elfu saba unataka kuniambia nini?
 
May be! Public officer needs credibility from the public. A little doubt is enough to ruin his or her integrity to people. Wisdom and Observing the rule of law are other plus to good leader. Does he cast no doubt from the public?!
 
Uko sasa, na mimi personally namkubali Lowasa. Ila tu alijichafulia kwa tamaa zake. Nikikumbuka alivyokuwa anawapressurise watendaje katika ngazi mbalimbali enzi zake:doh:
 
Ndio tulichangia wote lakini yy alikuwa na nguvu na muendelezo,na pia mkazo na michango kibao
 
Personally nimechangia sana izo shule za kata,na kumbuka izo ndo zitajenga matabaka Tz bse intermiggling itapungua as a results italeta impact kwenye intermarriage mwishoe ukabila na udini bila kusahau ukanda
 
credibility is what politicians lack but when we have some one who can make something for our country lets take some risks....kuliko kukaa na kiongozi ambaye hafanyi chochote kuzeekea bungeni tu
 
watendaji wengi wa serekali ni wazembe na wavivu mno wanahitaji viongozi wakali na wenye msukumo kama lowassa .
 
Huu ni mfano wa waTZ wachache walio gizani wenye uwezo wa kusifia mafanikio ya mtu bila kuhoji uhalali wa kipato chake. Fikra mgando hizi. kama huna cha kuandika kajiunge nao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom