Lowassa nenda Igunga kama wewe msafi

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake ambacho kimekabwa Koo kwenye uchaguzi wa huko?
 
Kwani aibu anayoivuna mkapa unadhani hawaioni!! Tangu Mkapa azindue kampeni umesikia chochote chema kutoka kwa huyu mzee mkapa??zaidzaidi kunyimwa pesa za kampeni na wafanyabiashara tu.
 
Aende kama mjumbe wa NEC ya CCM, kama Waziri Mkuu aliyetemeshwa mzigo. Hiyo itakuwa kipima joto kizuri kwa sababu waliokula hela yake wanadai yeye ni popular na huu ndiyo ungekuwa wakati wa kuthibitisha hilo na kuchukua credit kwa ushindi kama CCM itashinda. Lakini I can bet, nje ya Monduli hawezi kuhutubia hata mkusanyika wa watu 15, labda wapambe wake kwenye nyama choma au nyumbani kwake.
 
Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake ambacho kimekabwa Koo kwenye uchaguzi wa huko?

Wewe ndiye campaign manager wa CCM? Mbona magwanda mmekataa kumpeleka Shibuda Igunga?
 
Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake ambacho kimekabwa Koo kwenye uchaguzi wa huko?

CCM ni dampo.

hakuna usafi wowote kwenye dampo.
 
Mbona magwanda mmekataa kumpeleka Shibuda Igunga?

tumempeleka huyu hapa

zitto.jpeg
 
Lowasa hawezi kwenda Igunga kwa sababu aliyeachia ngazi ni rafiki yake, kwa hiyo akienda atasema nini wakati kule ni siasa uchwara. Lkini pia akienda upako wake aliopata kwa yule nabii wa Nigeria utapungua sana maana sharti mojawapo ni kwamba asishiriki mikutano ambayo inaratibiwa na wanamagamba wa siasa uchwara
 
Mwanafunzi...baba wa taifa alisema kiongozi hasivae kofia mbili,sasa mbona wewe ni waziri mkuu na tena mbunge..na..f.i.s.a.d.i? ASAWOL ...mh huyu mtoto nani kamwambia haya maneno...poti uliza wazazi na walimu wake..!
Igunga watamuuliza kwanini ulijivua mabaka,magome na magamba.
 
Kaka kiukweli umenifurahisha!! kwa Tz hakuna chama kinachojua wekeness zao kama CCM, Hivi kweli wampeleke huyu jamaa akafanye nini? huku kila mwanaigunga anamtambua vizuri Lowasa? labda kama mimi mningekuwa wa Igunga ndio ningependa Lowassa awepo kwanii mimi kama mimi namkubali sana Lowasa kwa kuwa aliwajibisha wazembe wengi ambao sisi walipa kodi wa hii Nchi tunawaita MUNGU MTU!!
 
Mbona nilisikia kwamba yu mgonjwa? Ameshapona? Kwa taarifa za vijiweni, ni kwamba huyu bwana tayari keshashughulikiwa na system. Hivi sasa anaendelea kufa taratibu. Ndiyo maana hata hawajishughulishi naye tena, maana wanajua atakuwa marehemu wakati wowote.
 
Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake ambacho kimekabwa Koo kwenye uchaguzi wa huko?
Jizi hilooooo. hatulitaki jizi hiloooooo! Hahaaaaaaa! Naota tu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom