Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake ambacho kimekabwa Koo kwenye uchaguzi wa huko?
Tatizo magamba mnajifanya mmekubalika huku viroho vikiwapyita, je kungekuwa na majimbo matatu kwa pamoja yanarudia uchaguzi ingekuwaje?Wewe ndiye campaign manager wa CCM? Mbona magwanda mmekataa kumpeleka Shibuda Igunga?
Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake ambacho kimekabwa Koo kwenye uchaguzi wa huko?
Mwacheni mgonjwa augue pole....
Akisema aende ataishia njiani...
shibuda hajaenda labda kwa kuwa campaign manager kaona hafai, je na lowassa ni hivyo hivyo?Wewe ndiye campaign manager wa CCM? Mbona magwanda mmekataa kumpeleka Shibuda Igunga?
Jizi hilooooo. hatulitaki jizi hiloooooo! Hahaaaaaaa! Naota tu.Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake ambacho kimekabwa Koo kwenye uchaguzi wa huko?