Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa Kwanza Mwenye Power ya kweli katika Historia ya Tanzania - William Malecela

Uandishi na maneno anayoandika inaonyesha kuwa huyo field marshal ni yule chizi mwenye blogu uchwara ya wananchi...
Siku hizi analialia kwa JK.
 
Hujamsoma vizuri Pasco kaka, hapo anamnanga Le Mutuz. Kwa sababu "Field Marshall ES" ndiye Le Mutuz, hiyo ID alikuwa anaitumia kipindi cha nyuma wakati yuko US, na alikuwa ni mpinzani wa kweli (nadhani hakuwa na plan ya kuja kufanya siasa za CCM by that time).

Double Standard za Le Mutuz
Mkuu Kanigini, hii ni name calling na adhabu yake ni ban!.
Pasco
 
Pasco acha visa.

Kuna siku Field Marsall ES alikuwa ameandika kuhusu Rostam kuuza hisa zake 17% za Vodacom. Mjadala ulipokuwa mkali faiza foxy akam-provoke kidogo, jamaa akaja juu na kusema anajua anachokiandika na kwamba yeye ni mfanyabiashara mkubwa.........wakati anamaliza kuandika post yake pale chini badala ya kuandika ES kama kawaida akajisahau akaandika Le Mutuz!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco,
Tukisema "UDINI" umeasisiwa na ccm mnakataa. Angalia maneno hapo chini niliyo ya copy kwako.

"Lowassa aliamua kumuachia JK agombee kwa makubaliano kati yao kuwa ni zamu ya Muisilamu na kwamba wakati utakapofika atamuachia Lowassa, kumbuka mbinu zote za kampeni ya mtandao zilikuwa zinatengenezwa na Lowassa, the masterminder!":embarassed2:
 
Pasco acha visa.

Kuna siku Field Marsall ES alikuwa ameandika kuhusu Rostam kuuza hisa zake 17% za Vodacom. Mjadala ulipokuwa mkali faiza foxy akam-provoke kidogo, jamaa akaja juu na kusema anajua anachokiandika na kwamba yeye ni mfanyabiashara mkubwa.........wakati anamaliza kuandika post yake pale chini badala ya kuandika ES kama kawaida akajisahau akaandika Le Mutuz!!!
Mkuu Platozoom, sheria ni sheria tuu haijalishi!, mfano humu jf mimi najiita Pasco wa jf, kuna memba mwingine humu yeye ni verified anaitwa Pascal Mayalla, hata kama unamjua fika Pasco, anaweza kuwa ndiye huyo huyo Pascal Mayalla, kwa sheria yetu humu huruhusiwi kutaja, Pasco anabaki ni Pasco wa jf, na huyo mwingine anabaki hivyo hivyo hii ndio sheria zetu humu!.
Inaweza kutokea Pasco anambondea sana na kumkandia sana JK, huku Pascal Mayalla kila siku kazi yake ni kumsifia JK,
najua JK anasoma sana jf, kitendo cha kureveal Pasco wa Jf ndie Pascal Mayalla, kitamuweka mhusika katika very bad position kwa JK haswa kwa kufuatia huyo Pascal Mayalla ndio anajikomba komba sana kwa JK ili angalau abakiziwe makombo kwenye zile dhifa za taifa, au anamendea mendea apewe kijiposti hata cha utarishi au utarumbeta wa habari
then unatoa siri kumbe ndiye huyo huyo mkandiaji mkubwa wa JK, atapata kweli ulaji?!.
Pasco.
Pasco
 
Ukitaka kuwa na nguvu kwanza utafute pesa. Ukiwa na pesa na nguvu pia utapata.

Kama ni kiongozi harafu hauna pesa kwa wakat huu utasumbuka tu wala raia hawatokusikiliza.

Ata viongozi wetu wa dini watakuona haufai

unajijua kuwa wewe ni kichwa? uelewa wako mzuri mkuu maana hapo umeenda kwenye kiini. Waziri mkuu wa kwanza mwenye fedha ni Lowasa
 
Mkuu Platozoom, sheria ni sheria tuu haijalishi!, mfano humu jf mimi najiita Pasco wa jf, kuna memba mwingine humu yeye ni verified anaitwa Pascal Mayalla, hata kama unamjua fika Pasco, anaweza kuwa ndiye huyo huyo Pascal Mayalla, kwa sheria yetu humu huruhusiwi kutaja, Pasco anabaki ni Pasco wa jf, na huyo mwingine anabaki hivyo hivyo hii ndio sheria zetu humu!.
Inaweza kutokea Pasco anambondea sana na kumkandia sana JK, huku Pascal Mayalla kila siku kazi yake ni kumsifia JK,
najua JK anasoma sana jf, kitendo cha kureveal Pasco wa Jf ndie Pascal Mayalla, kitamuweka mhusika katika very bad position kwa JK haswa kwa kufuatia huyo Pascal Mayalla ndio anajikomba komba sana kwa JK ili angalau abakiziwe makombo kwenye zile dhifa za taifa, au anamendea mendea apewe kijiposti hata cha utarishi au utarumbeta wa habari
then unatoa siri kumbe ndiye huyo huyo mkandiaji mkubwa wa JK, atapata kweli ulaji?!.
Pasco.
Pasco

Hata mimi sijavunja sheria yeyote kuhusu hilo. Nimesema Field Marshall ES alijisahau pale chini kama kawaida badala ya kuweka ES akaweka 'Le Mutuz'. Na nina uhakika kabisa kwamba hakuna memba yeyote hapa JF mwenye ID ya 'Le Mutuz'.
 
Uandishi na maneno anayoandika inaonyesha kuwa huyo field marshal ni yule chizi mwenye blogu uchwara ya wananchi...
Siku hizi analialia kwa JK.

Jamiiforums tulilala macho tukaliznisha seke seke la Richmond, Lowassa na mtuwake hapa enzi hizo Mchunguzi wakaishia kukimbia hapa na mpaka tukawatoa Serikalini, kwa wale wageni hapa ni kwamba hapa ndipo Richmond ilipoanzia kina Mwekyembe habari nzima iliyomtoa bosi wenu ilianzia hapa, wengi wenu tunawakumbuka mlivyoshiriki kusaidia na ile ripoti mpaka tukamuondoa fisadi, sasa mmebadilika kwa pesa kidogo sana njaaa za matumbo zinawatesa sasa mmesahau kabisa kwamba Richmond ilianzia hapa JF na hata huyo bosi wenu anajua sana zile picha za kale kaofisi ka magazeti kule Texas walikokasema ni kwenye kuiba hela za Serikali kuwa ni Richmond kumbe uongo ni sisi hapa ndio tuliwapa,

Wakaleta mahela yao machafu hapa tukakataa, enzi hizo kina Mwanakijiji, Domokaya, Mpayukaji, Mtanganyika, Msemakweli, Gamba, na wengineo watu wamekesha kuisaidia ile kamati kupata ukweli kuhusu Richmond leo vibaraka wamegeuka, kumbe sasa nimeamini maneno ya watu wengi kwamba kile kipindi cha TV cha "Kiti Moto" walishakishitukia kuwa ni cha Lowassa kinatengenezwa kuja kutumika sasa ndio maana wakakipiga chini mapema sana,

Sasa mnahaha kila kona lazima Lowassa awe rais, Lowasa yule yule tuliyelala macho hapa mpaka kumuondoa Uwaziri Mkuu, sas mnalilia awe Rais maana amewapa pesa kidogo kutuliza njaaa zenu maskini wa Mungu, halafu bila aibu mnaitumia JF hii hii tuliyoitumia kumuondoa, kweli njaa mwanaharamu inaua hata mchawi mtumzima mwanaume anakuwa kama amerogwa kisa na mkaa Shillingi elfu kumi tu, inamfanya anakuja hapa anatapika maneno mengi hata sio yake kisa njaa na tumbo,

Mwaka mmoja tu Uwaziri Mkuu bosi wenu ana hisa kila kampuni hapa mjini, sasa anazo Billioni 200 za Urais baada ya kuuza share zake kwa makusudi Vodacom, yote tunayajua msidhani hatujui au ni wajinga. Kwenye uchaguzi wa ubunge Arumeru pamoja na mapesa yake yote lakini akaishia kupigwa chini watu wakachukua mahela yake, nakumbuka watu wawili waliokuwa muhimu sana kwake yaani S na B, walivyochukua Millioni 300 kila mmoja na kukimbia nazo kwenda kujiwekea kwenye accounts zao benki, yeye awakamuacha anaamini wanazitumia kumfanyia kampeni mkwe wake, Rostam akaleta helikopta kumsaidia zikapigwa stop hamna kutua, nani aliyezizuia sijui, Shilingi Billioni 3 watu wamekula na ubunge kwa mkwe hamna kijana mdogo Nassari bila hata kitu akashinda,

Sasa wale wale walimpiga mkwe wapo tayari na hivi vita mpya tayari tunajua udhaifu kwa sababu huko kunaongozwa na wenye njaaa sio wenye moyo wa kweli na mgombea, hizo Billioni 200 lazima zitumike zote na apigwe chini ni mchafu hasafishiki kama nguruwe, wale wote mnaochukua chukua pesa huko tunawajua na hapa mnajitokeza wenyewe kwamba ni wachumia tumbo, njaa inawatesa mwanaume mzima na akili timamu unasimama na kusema ushahidi wa Richmond upo wapi? njaa bwana bosi wenu Zanzibar akahangaika sana angalau atoke na picha na Mkulu hamna, kama tulivyowapiga Arumeru tutawapiga tena kwenye hiii kitu URAIS,

Rais atakuwa kijana sio huyo mtu wenu hafai ni mchafu ananuka rushwa, alipoenda Nigeria kutubu dhambi zake na kuomba baraka za Urais wewe mtu mdogo sana hujui hayo, sasa nakwambia bosi wako aliambiwa arudi hapa aje kuwaomba radhi wote aliowakosea kisiasa ndio aende tena Nigeria aombewe, akaenda kwa Sita akatolewa nje, akaendelea na visasi vyake vya kusaidia wagombea kuwashinda asiowapenda, kuna aliowatoa lakini kuna alioshindwa sasa zamu yake mtumzima kumpiga chini kama mtoto mdogo na mihela yake hafai mwizi mkubwa, ndio ni mwizi mkubwa na wewe unajua Malecela ndiye aliyekwua wa kwanza kumsaidia alipokuwa hana kitu, akampeleka AICC Arusha kuwa Mkurugenzi, akaaanza wizi wake na kila mahali alipokwenda baada ya pale ni wizi tu, ndio awe Rais wa nani mtu mwizi ananuka rushwa huyo,

Hapa mjini amechukua hela za wasomali magaidi kujenga lile jengo Sanaa pale yote yanajulikana, akaanza kuwatishia makampuni lazima yakodishe maofisi kwenye lile jengo hata kabla halijaisha, yote tunayajua sasa tunamsubiria tu tuone hizo Billioni 200 kama zitampa urais na wewe Pasco tutauona mwisho wako na njaa yako mwanaume mzima unakubali kununuliwa kwa sababu ya njaa, mtasubiri sana na Urais tunataka Rais kijana sio mtu yoyote aliyezaliwa kabla ya uhuru narudia tena tunataka Rais aliyezaliwa baada ya Uhuru atakuwa mdot.com sio tena mtu anatetemeka kama ana kiharusi, umemuona huyo bosi wako akitoka Bungeni kwenda kwenye ofisi yake ya MWenyekiti wa kamati anavyohangaika kupanda zile ngazi kama kifafa,

Urais unafiiri ni mchezo mchezo tu unaamka unaibia wananchi hela zao za kodi ahalfu unaanza kuwapa ukijifanya ni zako eti makanisani na msikitini, halafu eti unajua kuchangisha ndi uwe Rais rais wa nani wa michango? Pasco anza kutafuta nchi ua kuhamia kabisa maana hutapona na hiki kimbunga cha kumpuzisha huyo bosi wako. Tanzania kwanza njja nyuma!!

Es
 
Mkuu Platozoom, sheria ni sheria tuu haijalishi!, mfano humu jf mimi najiita Pasco wa jf, kuna memba mwingine humu yeye ni verified anaitwa Pascal Mayalla, hata kama unamjua fika Pasco, anaweza kuwa ndiye huyo huyo Pascal Mayalla, kwa sheria yetu humu huruhusiwi kutaja, Pasco anabaki ni Pasco wa jf, na huyo mwingine anabaki hivyo hivyo hii ndio sheria zetu humu!.
Inaweza kutokea Pasco anambondea sana na kumkandia sana JK, huku Pascal Mayalla kila siku kazi yake ni kumsifia JK,
najua JK anasoma sana jf, kitendo cha kureveal Pasco wa Jf ndie Pascal Mayalla, kitamuweka mhusika katika very bad position kwa JK haswa kwa kufuatia huyo Pascal Mayalla ndio anajikomba komba sana kwa JK ili angalau abakiziwe makombo kwenye zile dhifa za taifa, au anamendea mendea apewe kijiposti hata cha utarishi au utarumbeta wa habari
then unatoa siri kumbe ndiye huyo huyo mkandiaji mkubwa wa JK, atapata kweli ulaji?!.
Pasco.
Pasco

- Pasco bring it on maana umelitaka umelikoroga mwenyewe sasa subiri maneno hapa nataka kukufundisha maana ya this game, nililianza hulijui na bado nalicheza to the end next phase nashusha wizi wote wa bosi wako nasubiri ujibu kwanza, so bring it on now nipo tayari kwa the war kama zamani!1

- Ngoja nikakusanye nondo zote makataba kwanza nakuja!!

Wazee wa Sauti ya Umeme!!
 
Hata mimi sijavunja sheria yeyote kuhusu hilo. Nimesema Field Marshall ES alijisahau pale chini kama kawaida badala ya kuweka ES akaweka 'Le Mutuz'. Na nina uhakika kabisa kwamba hakuna memba yeyote hapa JF mwenye ID ya 'Le Mutuz'.
Kuna members zaidi ya majina yao rasmi ya pen names zao walizojisajili jf , pia wana synonyms ambazo hawajisajili nazo ila ukitaja tuu hiyo synonyms mtu anamjua huyu ni flank, mfano hakuna member humu aliyesajiliwa kwa jina la MMKJ, au NN, FF, Max, etc, Ukitaja tuu MM, watu washajua huyu ni Mzee Mwanakijiji, Max ni Maxence, FF ni Faiza Fox, hivyo ukitaja tuu Le Mutuz kila mtu anajua ni nani, hivyo kung risk kumharibia his future endeavours ndani ya CCM, unless kama aliwahi kukiri kuwa alikuwa mwana mpotevu aliyepotea na kutanga tanga lakini sasa amerejea nyumbani kwa baba yake, hivyo kujutia yale yote ya nyuma aliyoyafanya wakati wa kipindi cha upotofu.
Pasco.
 
Uandishi na maneno anayoandika inaonyesha kuwa huyo field marshal ni yule mwenye blogu ya wananchi...
Siku hizi analialia kwa JK.
Inawezekana ikawa ni ID yake lakini pana wakati inaonekana kuna mtu alikuwa ana access nayo ambae kwa sasa kaingia mitini, maana jamaa alikuwa ni noma si kwa dataz tu za jikoni, lakini hata hoja zake panawakati zilikuwa zimeenda shule sana i find very hard to grasp kama mtu mmoja anaweza kuwa so different kwenye hoja.
 
Jamiiforums tulilala macho tukaliznisha seke seke la Richmond, Lowassa na mtuwake hapa enzi hizo Mchunguzi wakaishia kukimbia hapa na mpaka tukawatoa Serikalini, kwa wale wageni hapa ni kwamba hapa ndipo Richmond ilipoanzia kina Mwekyembe habari nzima iliyomtoa bosi wenu ilianzia hapa, wengi wenu tunawakumbuka mlivyoshiriki kusaidia na ile ripoti mpaka tukamuondoa fisadi, sasa mmebadilika kwa pesa kidogo sana njaaa za matumbo zinawatesa sasa mmesahau kabisa kwamba Richmond ilianzia hapa JF na hata huyo bosi wenu anajua sana zile picha za kale kaofisi ka magazeti kule Texas walikokasema ni kwenye kuiba hela za Serikali kuwa ni Richmond kumbe uongo ni sisi hapa ndio tuliwapa,

Wakaleta mahela yao machafu hapa tukakataa, enzi hizo kina Mwanakijiji, Domokaya, Mpayukaji, Mtanganyika, Msemakweli, Gamba, na wengineo watu wamekesha kuisaidia ile kamati kupata ukweli kuhusu Richmond leo vibaraka wamegeuka, kumbe sasa nimeamini maneno ya watu wengi kwamba kile kipindi cha TV cha "Kiti Moto" walishakishitukia kuwa ni cha Lowassa kinatengenezwa kuja kutumika sasa ndio maana wakakipiga chini mapema sana,

Sasa mnahaha kila kona lazima Lowassa awe rais, Lowasa yule yule tuliyelala macho hapa mpaka kumuondoa Uwaziri Mkuu, sas mnalilia awe Rais maana amewapa pesa kidogo kutuliza njaaa zenu maskini wa Mungu, halafu bila aibu mnaitumia JF hii hii tuliyoitumia kumuondoa, kweli njaa mwanaharamu inaua hata mchawi mtumzima mwanaume anakuwa kama amerogwa kisa na mkaa Shillingi elfu kumi tu, inamfanya anakuja hapa anatapika maneno mengi hata sio yake kisa njaa na tumbo,

Mwaka mmoja tu Uwaziri Mkuu bosi wenu ana hisa kila kampuni hapa mjini, sasa anazo Billioni 200 za Urais baada ya kuuza share zake kwa makusudi Vodacom, yote tunayajua msidhani hatujui au ni wajinga. Kwenye uchaguzi wa ubunge Arumeru pamoja na mapesa yake yote lakini akaishia kupigwa chini watu wakachukua mahela yake, nakumbuka watu wawili waliokuwa muhimu sana kwake yaani S na B, walivyochukua Millioni 300 kila mmoja na kukimbia nazo kwenda kujiwekea kwenye accounts zao benki, yeye awakamuacha anaamini wanazitumia kumfanyia kampeni mkwe wake, Rostam akaleta helikopta kumsaidia zikapigwa stop hamna kutua, nani aliyezizuia sijui, Shilingi Billioni 3 watu wamekula na ubunge kwa mkwe hamna kijana mdogo Nassari bila hata kitu akashinda,

Sasa wale wale walimpiga mkwe wapo tayari na hivi vita mpya tayari tunajua udhaifu kwa sababu huko kunaongozwa na wenye njaaa sio wenye moyo wa kweli na mgombea, hizo Billioni 200 lazima zitumike zote na apigwe chini ni mchafu hasafishiki kama nguruwe, wale wote mnaochukua chukua pesa huko tunawajua na hapa mnajitokeza wenyewe kwamba ni wachumia tumbo, njaa inawatesa mwanaume mzima na akili timamu unasimama na kusema ushahidi wa Richmond upo wapi? njaa bwana bosi wenu Zanzibar akahangaika sana angalau atoke na picha na Mkulu hamna, kama tulivyowapiga Arumeru tutawapiga tena kwenye hiii kitu URAIS,

Rais atakuwa kijana sio huyo mtu wenu hafai ni mchafu ananuka rushwa, alipoenda Nigeria kutubu dhambi zake na kuomba baraka za Urais wewe mtu mdogo sana hujui hayo, sasa nakwambia bosi wako aliambiwa arudi hapa aje kuwaomba radhi wote aliowakosea kisiasa ndio aende tena Nigeria aombewe, akaenda kwa Sita akatolewa nje, akaendelea na visasi vyake vya kusaidia wagombea kuwashinda asiowapenda, kuna aliowatoa lakini kuna alioshindwa sasa zamu yake mtumzima kumpiga chini kama mtoto mdogo na mihela yake hafai mwizi mkubwa, ndio ni mwizi mkubwa na wewe unajua Malecela ndiye aliyekwua wa kwanza kumsaidia alipokuwa hana kitu, akampeleka AICC Arusha kuwa Mkurugenzi, akaaanza wizi wake na kila mahali alipokwenda baada ya pale ni wizi tu, ndio awe Rais wa nani mtu mwizi ananuka rushwa huyo,

Hapa mjini amechukua hela za wasomali magaidi kujenga lile jengo Sanaa pale yote yanajulikana, akaanza kuwatishia makampuni lazima yakodishe maofisi kwenye lile jengo hata kabla halijaisha, yote tunayajua sasa tunamsubiria tu tuone hizo Billioni 200 kama zitampa urais na wewe Pasco tutauona mwisho wako na njaa yako mwanaume mzima unakubali kununuliwa kwa sababu ya njaa, mtasubiri sana na Urais tunataka Rais kijana sio mtu yoyote aliyezaliwa kabla ya uhuru narudia tena tunataka Rais aliyezaliwa baada ya Uhuru atakuwa mdot.com sio tena mtu anatetemeka kama ana kiharusi, umemuona huyo bosi wako akitoka Bungeni kwenda kwenye ofisi yake ya MWenyekiti wa kamati anavyohangaika kupanda zile ngazi kama kifafa,

Urais unafiiri ni mchezo mchezo tu unaamka unaibia wananchi hela zao za kodi ahalfu unaanza kuwapa ukijifanya ni zako eti makanisani na msikitini, halafu eti unajua kuchangisha ndi uwe Rais rais wa nani wa michango? Pasco anza kutafuta nchi ua kuhamia kabisa maana hutapona na hiki kimbunga cha kumpuzisha huyo bosi wako. Tanzania kwanza njja nyuma!!

Es

Nakataa kabisa kwamba huyu ni Le mutuz. Le mutuz hana akili ya kuandika kigongo hicho juu. Pasco habari ndio hiyo, njaa kaka itakufanya uwauze watanzania wenzako.
 
Last edited by a moderator:
kutosikia maelekezo ya rais ndo power unayoisemea ww? Mbona power za mawaziri wakuu wote za kikatiba ziko sawa? unahikika E.L hakuwa mtiifu kwa Rais wake? kwanini alisema ktk kashfa iliyomtoa madarakani hakuna ambacho rais hakukijua? hiyo ilimaanisha nini alifuata alivyolekezwa? Ama unaongea power kwa maana ya kusimamia utekelezaji wa shughuli za serikali? mbona nalo pia lina walakini!
 
Pasco,
Yaonekana turufu yako ya Kwanza 2015 umeitupa kwa EL. Je, turufu yako ya Pili umeitupa kwa nani?
 
Back
Top Bottom