technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Kwa yanayoendelea mtu wa kwanza kulaumiwa ni
1: Lowassa
2: Mbowe
3: Zitto
Mwaka 2015 ulikuwa ni mwaka wa mabadiliko.
Dr slaa angesimama na Magufuli sasa hivi watu tungelikuwa tunaongea mambo mengine.
Mbowe kumkataa Dr Slaa na kungangana na Liability Lowassa ndiye anasababisha maumivu na ugumu wa maisha kwa watanzania.
Zitto kabwe kuleta mgogoro na kuigawanya chadema kwa kwenda Act pia anasababisha maumivu kwa watanzania wakulaumiwa sio Magufuli.
Hivi kweli Lowassa alifikiria ataenda ikulu wakati Mbatia yupo NCCR?
Hivi ni kweli Lowassa alifikiria ataenda ikulu wakati Malando yupo Chadema?.
Hivi kweli Lowassa alifikiria ataenda Ikulu wakati Zitto yupo ACT wazalendo?
Hivi kweli Lowassa alifikiria ataenda ikulu wakati Membe yupo Ccm?
Hivi Lowassa alifikiria ataenda Ikulu wakati anayemsadia ni Apson ambaye alikuwa ana tena effect kwenye system ya TISS.
Lowassa alifikiria anaweza pambana na mfumo K Mkapa,Membe,Slaa akashinda na makando kando ya ufisadi aliyokuwa nayo.?
Kwahiyo asilaumiwe Magufuli kwa ugumu wa maisha unaoendelea wa kulaumiwa ni Lowassa aliyeziba nafasi ya Dr Slaa kutaka kwenda Ikulu mfumo ukakataa.
Kwa kuwekeza pesa nyingi ndio maana Magufuli anaangaika kurudisha pesa zilizopotea ili mambo yawe sawa tuendelee kama kawaida,tumkosoe lakini kwa maslahi ya taifa.
Ni bora hata angeenda Hashim Rungwe kuliko Lowassa,hivyo ni bora twende na Pombe.
Lowassa will not become the Tanzania president ever, hatutakubali hata 2020 akipitishwa tutamkataa tu.
Lowassa is a liability and politically finished .