Lowassa ndio chanzo cha ugumu wa Maisha kwa Watanzania

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
9,981
2,000
Kwa yanayoendelea mtu wa kwanza kulaumiwa ni

1: Lowassa
2: Mbowe
3: Zitto

Mwaka 2015 ulikuwa ni mwaka wa mabadiliko.

Dr slaa angesimama na Magufuli sasa hivi watu tungelikuwa tunaongea mambo mengine.

Mbowe kumkataa Dr Slaa na kungangana na Liability Lowassa ndiye anasababisha maumivu na ugumu wa maisha kwa watanzania.

Zitto kabwe kuleta mgogoro na kuigawanya chadema kwa kwenda Act pia anasababisha maumivu kwa watanzania wakulaumiwa sio Magufuli.

Hivi kweli Lowassa alifikiria ataenda ikulu wakati Mbatia yupo NCCR?

Hivi ni kweli Lowassa alifikiria ataenda ikulu wakati Malando yupo Chadema?.

Hivi kweli Lowassa alifikiria ataenda Ikulu wakati Zitto yupo ACT wazalendo?

Hivi kweli Lowassa alifikiria ataenda ikulu wakati Membe yupo Ccm?

Hivi Lowassa alifikiria ataenda Ikulu wakati anayemsadia ni Apson ambaye alikuwa ana tena effect kwenye system ya TISS.

Lowassa alifikiria anaweza pambana na mfumo K Mkapa,Membe,Slaa akashinda na makando kando ya ufisadi aliyokuwa nayo.?

Kwahiyo asilaumiwe Magufuli kwa ugumu wa maisha unaoendelea wa kulaumiwa ni Lowassa aliyeziba nafasi ya Dr Slaa kutaka kwenda Ikulu mfumo ukakataa.

Kwa kuwekeza pesa nyingi ndio maana Magufuli anaangaika kurudisha pesa zilizopotea ili mambo yawe sawa tuendelee kama kawaida,tumkosoe lakini kwa maslahi ya taifa.

Ni bora hata angeenda Hashim Rungwe kuliko Lowassa,hivyo ni bora twende na Pombe.

Lowassa will not become the Tanzania president ever, hatutakubali hata 2020 akipitishwa tutamkataa tu.

Lowassa is a liability and politically finished .
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,886
2,000
Anaitwa Nicodemas Tambo Mwikozi , jana amepata bahati ya kuchaguliwa na Mheshimiwa Raisi kwenda kuwahudumia wananchi wa Meatu, Mkoa wa Simiyu kwa nafasi ya Katibu Tawala wa Wilaya. Nikutakie kazi njema na Mwenyezi Mungu akutangulie.
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
21,477
2,000
Swala la utegemezi kwa binadamu ni hulka! Wengine hawajazaliwa kulaumu wengine kwa matatizo yao, Bali hutafuta suluhisho katika kila changamoto!
 
Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,299
2,000
Hii post inahitaji akili nyingi kuielewa. Watu wameanza kuandika post kinafiki kwa uoga wa kusema ukweli.

In short ni kwamba zilitumika jitihada nyingi kupambana na lowasa kuingia ikulu ndyo maana leo magufuli yupo ikulu akijaribu kulipa fadhira na pesa zilizotumika.
 
mtunzasiri

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
1,344
2,000
Huku ndio kuishiwa na mwisho wa mawazo mbadala huwa hivi tatizo lizalishwe na Rais Magufuli afu mnamsingizia baba wa watu Lowassa!! Lol sina hamu na sisiem , 2020 Semeni vizuri hili maana hata mahakama ya mafisadi haina kesi kabsaa yaani watuhumiwa wooote ni safi isipokuwa imebaki sisiem pekee yake. Inatupa tabu tuu kitaeleweka mwishoni.
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,047
2,000
Kwa yanayoendelea mtu wa kwanza kulaumiwa ni

1: Lowassa
2: Mbowe
3: Zitto

Mwaka 2015 ulikuwa ni mwaka wa mabadiliko.

Dr slaa angesimama na Magufuli sasa hivi watu tungelikuwa tunaongea mambo mengine.

Mbowe kumkataa Dr Slaa na kungangana na Liability Lowassa ndiye anasababisha maumivu na ugumu wa maisha kwa watanzania.

Zitto kabwe kuleta mgogoro na kuigawanya chadema kwa kwenda Act pia anasababisha maumivu kwa watanzania wakulaumiwa sio Magufuli.

Hivi kweli Lowassa alifikiria ataenda ikulu wakati Mbatia yupo NCCR?

Hivi ni kweli Lowassa alifikiria ataenda ikulu wakati Malando yupo Chadema?.

Hivi kweli Lowassa alifikiria ataenda Ikulu wakati Zitto yupo ACT wazalendo?

Hivi kweli Lowassa alifikiria ataenda ikulu wakati Membe yupo Ccm?

Hivi Lowassa alifikiria ataenda Ikulu wakati anayemsadia ni Apson ambaye alikuwa ana tena effect kwenye system ya TISS.

Lowassa alifikiria anaweza pambana na mfumo K Mkapa,Membe,Slaa akashinda na makando kando ya ufisadi aliyokuwa nayo.?

Kwahiyo msilaumiwe Magufuli kwa ugumu wa maisha unaoendelea wa kulaumiwa ni Lowassa aliyeziba nafasi ya Dr Slaa kutaka kwenda Ikulu mfumo tukakataa.

Kwa kuwekeza pesa nyingi ndio maana Magufuli anaangaika kurudisha pesa zilizopotea ili mambo yawe sawa tuendelee kama kawaida.

Ni bora hata angeenda Hashim Lungwe kuliko Lowassa.

Lowassa will not become the Tanzania president ever" never hatutakubali hata 2020 akipitishwa tutamkataa tu.

Lowassa is liability and politically finished .
Kwa hiyo unamaanisha JP ni tatizo lililoingia nchini kwa uzembe wa hao watu uliowataja?!
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
9,981
2,000
Anaitwa Nicodemas Tambo Mwikozi , jana amepata bahati ya kuchaguliwa na Mheshimiwa Raisi kwenda kuwahudumia wananchi wa Meatu, Mkoa wa Simiyu kwa nafasi ya Katibu Tawala wa Wilaya. Nikutakie kazi njema na Mwenyezi Mungu akutangulie.
Nani huyo ?
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,424
2,000
Anaitwa Nicodemas Tambo Mwikozi , jana amepata bahati ya kuchaguliwa na Mheshimiwa Raisi kwenda kuwahudumia wananchi wa Meatu, Mkoa wa Simiyu kwa nafasi ya Katibu Tawala wa Wilaya. Nikutakie kazi njema na Mwenyezi Mungu akutangulie.
Sheria ya Mtandao wa JF Name Calling-Totally Prohibited
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom