Lowassa naye aunga mkono katiba mpya

Facts1

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
307
0
Edward Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli mkoani Arusha ameunga mkono mchakato wa mabadiliko ya Katiba na akipendekeza ujadiliwe kwa upendo na amani.

Amesema kwa sasa jamii nzima inazungumzia umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba, na ni mjadala muhimu sana kwa uhai wa Taifa.
 
Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,597
2,000

Source of this information please? Hayo kayasemea wapi? Ameitisha mkutano wa waandishi wa habari? Au wewe umeyapata wapi?

Tiba
 
S. S. Phares

JF-Expert Member
Nov 27, 2006
2,141
1,195
Ukifungua madirisha ya nyumba, kinachoingia sio hewa safi peke yake...hata vumbi na wadudu nao huingia....Katiba Mpya kwa Maslahi ya Nani?
 
Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
6,978
2,000
Edward Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli mkoani Arusha ameunga mkono mchakato wa mabadiliko ya Katiba na akipendekeza ujadiliwe kwa upendo na amani.

Amesema kwa sasa jamii nzima inazungumzia umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba, na ni mjadala muhimu sana kwa uhai wa Taifa.

Lowassa bana - eti kwa upendo na amani!
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,698
2,000
Hana namna Lowasa au aende na upepo unakoelekea au aangukie pua puuuuuuuuuuuuuuuu. Bila shaka kasoma alama za nyakati tu. Maana katiba mpya isiyo na viraka lazima ije (NASISITIZA ISOYO NA VIRAKA) kwa kupenda au kutopenda. Kwa amani au bila amani. Lazima ije.
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,746
2,000
Watu kama Lowasa hata kwetu wako. Anatafuta namna ya ku win public confidence kwa ajili ya 2015 kwa kujionyesha naye anaguswa na matatizo ya Watz.

Yawezekana ni wale wanaotaka kukimbilia mbele ya msafara ili amislead! Marekebisho/matengenezo ya katiba it can be something different from what the public needs. TUNATAKA KATIBA MPYA YA KWETU!. siyo kiswahili kingine.

I think watu kama Lowasa baada ya kuona hawawezi kuresist changes, sasa wanataka kuwa change agents ili wa lead hizo changes kufanyika katika mkondo wautakao. HATUTAKI MCHAKATO HUU KUONGOZWA NA WATU WALIOJAA HARUFU ZA RUSHWA NA UFISADI!. WASHABIKIE LAKINI KWENYE UONGOZI WA UTEKELEZAJI WA MCHAKATO WAKAE MBALI VINGINEVYO LAZIMA WATAINGIZA VIPENGELE VYA BINAFSI KWA AJILI YA ULINZI WA HIMAYA ZAO.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom