YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Lowasa na Sumaye si wanasiasa.Maisha yao yote waliishi kwa kuteuliwa teuliwa tu kushika nafasi hii na ile.Hizo nafasi walikuwa hawazipati kwa kutoka jasho lolote.
Ni watu ambao walibebebwa bebwa tu na chama lakini si wabobezi katika mambo ya siasa na wapiganaji wa msituni wa kisiasa kama akina kikwete,mangula,kinana nk
Historia yao ukiwafuatilia si wanasiasa ila ni watu walikouwa na bahati ya kubebwa na chama na serikali.Ni watu wa kubebwa zaidi kuliko kujibeba.Hawana uwezo wa kusimama wenyewe,wakajenga hoja mujarafu nzito za kisiasa wenyewe na kuweza kusimama kisiasa wao kama wao wakaweza kujipambanua kisiasa kama akina slaa,mbowe,tundu lisuu ,mnyika nk