Lowassa na siasa za makanisani?

lukatony

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
667
522
Ama kweli mbio unazokimbia kuelekea urais hakuna anayekufuata!!!!!

Tarehe 13/11/2011 nimeshitushwa kutangaziwa kwamba mheshimiwa Edward Ngoyay Lowassa atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya harembee ya kanisa langu parokia ya Nundu-Mwanza.

Hakika umejipanga ila watanzania hatukutaki, amini!
 
mimi naamini kabisa lowasa anatafuta huruma ya jamii hasa kupitia madhehebu ya kikristo na kiislamu lakini hatafanikiwa kamwe
 
huyo paroko hamjui askofu Dr. Ruwaichi atahamishiwa ukerewe tena kisiwa cha saanane..
 
Pengine Lowasa kama muumini sioni tatizo la yeye kuarikwa katika hilo kanisa sidhani kama ni lazima tumfikirie vingine zaidi ya kwenda kufanya ibada na kusimamia harambee.
 
Mbona Rostam alishawahi kualikwa kwenye harambee kanisani pamoja na yeye kuwa Muislam na isitoshe Fisadi? Acheni chuki binafsi.
 
kuwa fisadi hakumyimi fursa ya kuingia kanisani au msikitini,bali yale ni mambo ya kiroho tuu hivyo sioni ubaya endapo kama hatanunua utashi. NA SIDHANI KAMA ANA NGUVU ZA KUNUNUA UTASHI WA KANISA KWA FEDHA
 
Jamani mwacheni Lowasa wa Watanzania afanye kazi ya Mungu vizuri kabla pazia la hekalu halijabomoka!!! Nawajua enyi watanzania wenzangu ni wepesi kulaumu ila wazito kushauri na kushiriki!! Na nadhani mtoa mada una matatizo yako binafsi na huyu Mh Lowasa, ina maana mesahau mazuri aliyoyafanya enzi zake akiwa kwenye mifugo????

Mungu ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania na Mungu mbariki Lowasa!!!
 
Habari za uvumi toka Ar zinasema ex mp wa tz awamu ya 4a alionekana jana kanisani kwa Ngurumo akiwa na bible plas tenzi za rohoni.EL alionekana akiwa viti vya mbele pia alisikika zaidi wakati wa mapambio kushinda wenzake.Pambio lenyewe lilimbwa Sitarudi tena Misri naenda kanani.Baadaye alionekana akiongozwa sala ya toba huku akitoa ahadi jpili ijayo atatoa ushuhuda wa kufedheheshwa sana kuaibishwa sana kusemwa sana.na pia atajiunga na kwaya ya wazee na atakuwa mweka hazina.JE MWANA JF HILI LIMEKAAJE
 
Ni haki yke hata kuabudu jiwe,mti au nyoka nk
Pili anaamini kuwa yeye ni presdent ajae,
 
amefanya vema. sasa akumbuke mwenzie zakayo,yule mtoza ushuru. siku yesu alipoingia nyumbani mwake, alimuambia 'na ikiwa nimemdhulumu mtu mali yake nitamrudishia kwa faida'. arudishe kwa profit malizote alizochukua isivyo halali. mungu ambariki sana
 
Ngurumo ya upako na Joshua Nigeria ni timu ya waabudu shetani, Mapepo matupuuuuu!!! wahsindwe na walegeeee katika Jina la Yesu wa Roman catholic amen
 
Back
Top Bottom