Lowassa na Jakaya Kikwete ndio Maadui wakuu wa ushindi wa CCM 2015 sio CHADEMA

Wakiwa maswahiba nci inaibiwa wakiwa maadui mtandao wao wawizi unafichuka sasa bora lipi kwa hawa magamba
 
Chadema si chama cha Upinzani ni NGO. CCM is more than one man's party. No one is above CCM. Everyone including u is CCM. Bila CCM hizi threads zingekuwepo? Nyie mlioshiba na kupata vitambi kwa sera na uwajibikaji wa Chama mngekuwepo? Big Big Up CCM...:majani7:
 
Hata usipoipenda haikusaidii wala kutupunguzia kitu mi naiiiiiiiiiiiiiiiiipeeeeeeeeeeendaaaaaaaaaaaaaaaaaa CCM
 
Chadema si chama cha Upinzani ni NGO. CCM is more than one man's party. No one is above CCM. Everyone including u is CCM. Bila CCM hizi threads zingekuwepo? Nyie mlioshiba na kupata vitambi kwa sera na uwajibikaji wa Chama mngekuwepo? Big Big Up CCM...:majani7:

Unamaanisha kuwa Chadema kimesajiliwa wapi?

Tendwa hajui hilo?

Hebu jenga hoja nzuri katia hilo mkuu,kisha twende sawa kwa hoja sio ushabiki
 
Mafisadi wote wapo ccm hivi ushawahijiuliza swali hili

Mfano Abdallah Kigoda inasemekana wakati nchi inaingizwa mkenge wa mkataba na IPTL yeye alikuwa ni waziri na hata alikwenda Malaysia na kurudi na pesa zilizotumika kwenye moja ya mikutano ya CCM. Leo Kigoda bado ni waziri sijui wanalipa fadhila au ndo wamemuona anazo mbinu za kuifilisi nchi hivyo ni mtu muhimu kwenye genge la mafisadi
 
Duuuh hii mpya mkuu hebu ishushe kwamapana zaiidi tujue
 
Mfano Abdallah Kigoda inasemekana wakati nchi inaingizwa mkenge wa mkataba na IPTL yeye alikuwa ni waziri na hata alikwenda Malaysia na kurudi na pesa zilizotumika kwenye moja ya mikutano ya CCM. Leo Kigoda bado ni waziri sijui wanalipa fadhila au ndo wamemuona anazo mbinu za kuifilisi nchi hivyo ni mtu muhimu kwenye genge la mafisadi

Hebu bomoka bwana mkubwa. Unakitu JF inakihitaji hapo. Tumia dakika zako vizuri hapa mkuu.
 
Niseme nini? Mimi naona hatua ya kwanza tuiondoe CCM madarakani. Nikisema sasa hivi watani-Kolimba

Huwezi kuitoa CCM madarakani peke yako. Watu wanahitaji kuhubiriwa ukweli na huo ukweli uwaweke huru. Kuvua gamba mtua aliliolivaa tangia anzaliwa siyo mchezo.
 
Ukiona mtu anatabasamu hata kwenye msiba jua hamna kitu. thithiemu ndo hivo ilikuwepo wala haitatawala tena
 
Back
Top Bottom