Lowassa na Chenge uchaguzi wa igunga umewaepusha na zoezi la kujivua gamba

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
136
kutokana na magumu na halihalisi ya kupoteza imani na wanachama,imekua ahueni kwa hao masalia magamba wawili waliosalia.hakika sisisemu walikua na wakati mgumu kuliko chaguzi zingine zote zilizopita kutokana na upinzani walioupata kutoka Igunga na kwenye chaguzi za madiwani siku ya tarehe tatu august.sasahivi hawata thubutu kuwafukuza uanachama wala vyeo au nyadhifa walizokua nazo hao mafisadi wawili walio salia kama wanavyodai wao sisiemu japo uhalisi uliopo ni kua hakuna alie msafi ndani ya sisiemu.japokua kwa lowasa uhakika unaweza kuapo kutetea nafasi kutokana na uelewa na muamko mdogo uliopo kwa wenyeji wa anakotoka (mzee ndiyo) au leigwanan kama wanavyomuita huko monduli.wamasai kwenye kampeni ya ubunge walikua wanafundishwa neno moja,yaani (ndiyo) hivyo masai akifika kwenye karatasi ya kura anachofanya ni kuweka tiki kwenye karatasi yake,basi mpaka hapo watu wakampa jina la mzee ndiyo.hakika hao masalia wawili wanakila sababu ya kuwapongeza chadema kwa speed wanayo wakimbiza nayo magamba.hongera na pongezi nyingi kwa wana Igunga kwa kuonyesha uelewa wenu mkubwa wa kuchagua chadema japokua wamedhulumu haki yenu ya kuchagua mabadiliko.
 

Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
Unajidanganya. Kama wamekutuma uje kupima upepo basi waambie wenye chama hawajalala!
 

king'amuzi

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
615
225
Hahahahaha sisiem wanasema hali ya igunga imewatesa sana kwa sasa hawavui gamba tena wana piga msasa na kupaka pilish.poleni sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom