Lowassa: Mpaka leo naamini ishu ilikuwa Uwaziri Mkuu siyo Richmond

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,577
1,700
Waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya Richmond, anaendelea kuamini kuwa ishu haikuwa Richmond, tatizo ilikuwa uwaziri mkuu,

Mpaka sasa nimegundua lowassa si mkweli pitia kauli Zake TATU
1. Richmond ni ya wakubwa niliambiwa nisaini tu, ni maagizo toka juu
2. Richmond iko safi si unaona hata ambayo kitambo ilisifiwa Na Obama Na Hilary,

3. Tatizo halikuwa Richmond walitaka niachie uwaziri mkuu TU, wala Richmond haina makosa

Hizo kauli alizotoa nyakati tofauti tofauti inaonesha uongo si rahis kuukumbuka,

Katika mahojiano hapa chini Ione video,

Huyu nae,so inatusaidia nn,anadhani bdo atakua rais wa nchi hii,asahau,rais 2020 ni tundu lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Cha msingi ni kuhukumiwa na historia. Historia inamhukumu rais wa nchi fulani eti atangazwe mtakatifu na kanisa lake na historia inayoumbuliwa inakataa kwamba hafai kuwa mtakatifu, mfano alitaka zidumishwe fikra zake.

Azimio lake la mji mmoja wa kaskazini lilipondwa na kuuawa na chama chake.

Kidog muungano wa nchi yake uvunjwe tena akiwa hai.

Hivi ndivyo historia inavyohukumu wanaofanya upuuzi kwa ubabe
 
LOWASSA muongo
 
Waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya Richmond, anaendelea kuamini kuwa ishu haikuwa Richmond, tatizo ilikuwa uwaziri mkuu,

Mpaka sasa nimegundua lowassa si mkweli pitia kauli Zake TATU
1. Richmond ni ya wakubwa niliambiwa nisaini tu, ni maagizo toka juu
2. Richmond iko safi si unaona hata ambayo kitambo ilisifiwa Na Obama Na Hilary,

3. Tatizo halikuwa Richmond walitaka niachie uwaziri mkuu TU, wala Richmond haina makosa

Hizo kauli alizotoa nyakati tofauti tofauti inaonesha uongo si rahis kuukumbuka,

Katika mahojiano hapa chini Ione video,

Unawachokoza makamanda, ingawa siku hizi wameanza kumsahau Lowasa na kuanza kumpamba Lisu badala yake.
 
I'm thinking about Makinikia, hicho kidonda naomba msinitoneshe, mshono wake haujakaukaga vizuri.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya Richmond, anaendelea kuamini kuwa ishu haikuwa Richmond, tatizo ilikuwa uwaziri mkuu,

Mpaka sasa nimegundua lowassa si mkweli pitia kauli Zake TATU
1. Richmond ni ya wakubwa niliambiwa nisaini tu, ni maagizo toka juu
2. Richmond iko safi si unaona hata ambayo kitambo ilisifiwa Na Obama Na Hilary,

3. Tatizo halikuwa Richmond walitaka niachie uwaziri mkuu TU, wala Richmond haina makosa

Hizo kauli alizotoa nyakati tofauti tofauti inaonesha uongo si rahis kuukumbuka,

Katika mahojiano hapa chini Ione video,

Kwa sasa mambo ya Edo tumeachana nayo! Kuna issue za kikao cha makinikia, sasa ni mwezi unaisha hakuna feedback. Bomu badier imezuiwa huko Canada hatujui hatima yake!! Na mengine mengi tu, hayo ya Lowassa unafikiri yana issue?! Lowassa angekuwa mbaya kama unavyoamini, ungekuta serikali ya CCM ni safi, lakini hata baada ya Lowassa kuondoka, CCM ndo imekuwa uozo kabisa! Namuonea JPM huruma kwa chama anachoongoza ambacho mchana wapo nae, ila usiku wako kwingine wakipanga kuhujumu!!! Think big mammy..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom