Lowassa: Mgogoro Arusha ni njama ovu dhidi ya upinzani

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa amesema kile kinachoendelea Arusha ambayo ipo chini ya CHADEMA (UKAWA) ni njama ovu ya serikali ili kuwakatisha wapinzani tamaa ya kutekeleza majukumu yao kwa wananchi.

Wakuu nadhani mnaelewa kinachofanya sasa hivi mkoa wa Arusha na Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi na watawala wengine wa serikali kuibana CHADEMA.
 
Kwanza rekebisha mwanzo wa habari yako, ni waziri mkuu aliyefukuzwa na bunge kwa wizi, au hujui maana ya kustaafu!
 
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa amesema kile kinachoendelea Arusha ambayo ipo chini ya CHADEMA (UKAWA) ni njama ovu ya serikali ili kuwakatisha wapinzani tamaa ya kutekeleza majukumu yao kwa wananchi.

Wakuu nadhani mnaelewa kinachofanya sasa hivi mkoa wa Arusha na Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi na watawala wengine wa serikali kuibana CHADEMA.
Ni kutapatapa tu,wao ni mangapi wanafanya kuchonganisha serekali na sisi wananchi.
 
Arusha kwenye mlango wa uwanja wa mpira kuna tawi la wakereketwa wa ccm na hapohapo ndipo watoto wa mitaani wanalala nje wakiwa wanajifunika mifuko ya rambo hivi viongozi wa tawi hilo hawayaoni hayo?
 
Sasa kujiuzuru ndo kustaafu?
Sema alijiuzuru kwa kwa kashfa ya wizi wa pesa zetu
Acha kuwaza pumba.Nani ambae hajui kuwa ishu ile ilikuwa ya Mkwele?alijiuzur kumlinda rafik yake.Kama mambo mengine huyajui nibora kunyamaz kuliko kumtuhumu lowasa mwizi
 
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa amesema kile kinachoendelea Arusha ambayo ipo chini ya CHADEMA (UKAWA) ni njama ovu ya serikali ili kuwakatisha wapinzani tamaa ya kutekeleza majukumu yao kwa wananchi.

Wakuu nadhani mnaelewa kinachofanya sasa hivi mkoa wa Arusha na Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi na watawala wengine wa serikali kuibana CHADEMA.
Chapeni kazi acheni kulilia posho!Mtajitofautishaje na watawala waliopita kwa kuendelea kulialia kwa sababu ya posho haramu
 
Kama Tume ya Maadili haitaingilia kati hili linaloendelea kuna siku watu watauana ndipo watakapo kumbuka shuka.
 
Inasikitisha sana kuona kweli serikali inakandamiza sehemu zote zinazoongozwa na upinzani kwa nini wasiacha watu wafanye kazi ili mwisho wa siku wananchi ndio tutaamua nani kafanya kazi au hajafanya,inakuwaje gafla madiwani wananyimwa posho?nani anafanya kazi bila malipo?kwani wakuu wa mikoa hawalipwi?busara itumike na kama umechaguliwa na wananchi au umeteuliwa tenda meme na Mungu atakubariki ktk kazi yako na kazi yako itakuwa rahisi sana kuliko kuzuia haki ya wen
 
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa amesema kile kinachoendelea Arusha ambayo ipo chini ya CHADEMA (UKAWA) ni njama ovu ya serikali ili kuwakatisha wapinzani tamaa ya kutekeleza majukumu yao kwa wananchi.

Wakuu nadhani mnaelewa kinachofanya sasa hivi mkoa wa Arusha na Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi na watawala wengine wa serikali kuibana CHADEMA.
Kufyeka posho ndio kuibana chadema?
 
Mkuu wa mkoa simamia haki na ukweli ndio kazi yako itakuwa rahisi na nyepesi mtangulizeni Mungu ktk kazi zenu sio kugandamiza ukweli,wote tunajenga nyumba moja ya nini kunyanganyana fito?kila mtu akifanya kazi huwa analipwa kutokana na makubalianao na ndio maana sasa serikali inampango wa kuwalipa na mabalozi
 
Acha kuwaza pumba.Nani ambae hajui kuwa ishu ile ilikuwa ya Mkwele?alijiuzur kumlinda rafik yake.Kama mambo mengine huyajui nibora kunyamaz kuliko kumtuhumu lowasa mwizi
Watanzania tuna safari ndefu, hivi uliielewa ripoti ya Mwakyembe? Ilipendekezwa Lowasa apime mwenyewe au Ilipendekeza Mkwere apime mwenyewe!
Kijana jitahidi kuwa mwelewa, Hat Nyerere almkataa huyu mtu wenu
 
Back
Top Bottom