real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Habari wadau,
Mimi nilikua namfuatilia huyu jamaa tangia yupo CCM na maandamano ya watu mbalimbali kumtaka achukue fomu, coverage aliyokua akipata kwa magazeti na media nyingine, akachukua fomu CCM nyomi ya nguvu alipokua akitangaza nia, akakatwa jina tanzania nzima ikazizima, akahamia UKAWA, ikawa ndio habari kila mtaa, mtandao, na gazeti, wakati wa kuchukua fomu chadema mtaa wa posta shughuli zikasimama hadi polisi wakapiga marufuku, akatembelea daladala akavuruga shughuli za kiuchumi hadi ikabidi polisi wapige marufuku tena, mikutano yake ya kampeni ikawa inavuta watu wengi hainawahi tokea, sasa kilichokua kinanishangaza ni kua huyu jamaa dah! With all due respect kwa supporters wake alikua ha reflect umaarufu wake kwenye mikutano yake.
1. Alikua hawezi kujibu maswali ya waandishi wa habari kiufasaha, alikua akitoka kwenye point kuu ya swali, hata ile interview ya BBC dah ilithibitisha hili na nyingine ya pale Arusha.
2. Alikua akitoa ahadi ambazo mtu uziamini ni lazima ujitoe ufahamu au ujilazimishe kuamini mf. ku replace nyumba za nyasi Tz nzima ndani ya siku 100.
3. Kwenye mikutano yake hakua mzungumzaji mkuu, alikua akizungumza dk 3-6 tu , muda uliobaki ni wapambe wake, siasa inataka mtu ajue kuzungumza kwa ushawishi yeye Lowassa alikua hana hii sifa sasa hadi leo najiuliza umaarufu wake ulitokana na nini haswa?
Anayejua aniambie matusi kutoka kwa wanazi wa vyama yasiwepo plz