‘Lowassa-mania’ na ya mpiga filimbi wa Hamelin!

hata bila mnada bei yake iko wazi,maadili gazetini katika maisha halisi hana lolote,kamualika shoo ambaye anajulikana wazi,aliwazidi ujanja mpaka wakaua kampuni

Unajua nimemwona Shoo nikakumbuka enzi za Salva na Rai miaka ya mwanzoni mwa 2000. Mbwambo is simply a loser. Anadhani maadili ni kuandika.
 
Sijui kwa nini supporters wa CCm wanafumba macho kwa upande wao. Mafisadi tele lakini hawathubutu kuwauliza lolote.

Sisi tunaoshabikia CHADEMA hoja yetu kuu ni moja tu. Lazima CCM iondoke madarakani tumechoka nayo angekuwa Lowassa ama hata mimi. Lazima CCM iondoke full stop. Huna haja ya mambo mengi sijui Lowassa nini na nini sisi tunaiondoa CCM kwanza mengine yatafuata.

Watanzania kwa pamoja hii ni operation ondoa CCM mjue hilo basi kisha funga masikio hakuna sera ya CCM wala nini maana sera zao ni miaka 50 sasa zile zile wakitaraji matokeo tofauti!
 
Kama hawakuelewa hapa hawataelea tena mpaka october 25 lowasa atakaporudi monduli na magufuli kukalia kiti cha urais magogoni
 
Back
Top Bottom