Lowassa, Maalim wakiri kukwama

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12687894_1039644086100049_5974356335681203284_n.jpg
 
Hivi kumbe, binadamu ukila viwavi hata akili yako inavurugika. Huyu mla viwavi amekuwa na tabia ya kuleta headlines za kwenye magazeti kila siku bila kueleza content yake. Mara, "Magufuli amwacha kwa mbali Lowasa" Sisi wengine hatujisumbui kununua haya magazeti uchwara kama Raia Mwema.....ukishiba viwavi, tuliza akili kwa muda kama wa masaa mawili ndipo uje hapa JF.
 
Hili gazeti ni mahiri na authoritative. Katika hali ambapo magazeti yote ni ya Lowassa (Mtanzania, Tanzania Daina) au ya Kenya (Citizen, Mwananchi, East African) au ya washirika wa Kanda wa Lowassa (Guardian, Nipashe), sasa hili ndiyo gazeti la pekee la Kitanzania kwa Watanzania. Labda na Jambo Leo. Hongera sana Raia Tanzania. WM
 
Back
Top Bottom