Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Asalaam alaykum
Napenda kumshukuru sanaa mh
Edward lowassa waziri mkuu mstaafu.
Namjumbe wakamati kuu CHADEMA Chini Ya umoja wa wananchi( Ukawa)
Kwa kuitikia wito nakushiriki nasi jana ktk uzinduzi wa kampein
Nitoe shukran za dhati kwa wana Zanzibar waliojitokeza kwawingi
Kuudhibitishia umma
Ninamna gani wanaimani na (CUF + Ukawa) kiujumla
Niwaeleze wa Tanzania na wa Zanzibar yakuwa.
Mabadiliko yanakuja na hayata pingika
Kwani nimfumo wa nchi zote duniani sasa
Serikali state ya CCM inajaribu
Kutuweka mbali na wanachi lakini hakuna mwananchi ambae kafungwa macho asie weza tizama zamira mbaya ya serikali hiyo
Ummoja wa mshikamano mlio uonesha Jana niushahidi tosha
Asilani abadani mabadaliko Nahaki haitazuilika
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Zanzibar