Lowassa kuwa spika

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,771
2,544
Kuna habari za chini ya zulia kuwa lowasa anatarajiwa kugombea uspika dhidi ya sitta. Kama hii itakuwa kweli basi kazi ipo maana ana nguvu pale bungeni
 
Spika wa bunge lipi? Kama la bongo asahau, kwanza aestablish kama atashinda ubunge au asuburi ubunge wa kuteuliwa au viti maalum vya walioshindwa!
 
Mh hizi kweli ni tetesi manake unaangalia tu hali halisi yaani toka uPM mpaka Spika kweli Tetesi!
 
Mmm, si kwamba atakuwa ameshusha malengo kwa mtu anayesemekana kuwa mbioni kuwania u-Rais? Au kauli ya mnajimu imemkuna. Manake TZ, uspika sioni ukiheshimiwa sana kama ilivyo kwa nchi nyingine.
 
Nyie wapambe wa Lowasa kwanini msimshauri atulie na kufanya biashara na hela za mavuno ya wizi alizoibia wavuja jasho wa nchi hii, siyo kila siku Lowasa Lowasa !!!!
 
Habari mbona ya zamani hii; au ikizungushwa siku tofauti inakuwa mpya?
inawezekana ikawa mpya, mkuu. tuwekee link tuione

Nyie wapambe wa Lowasa kwanini msimshauri atulie na kufanya biashara na hela za mavuno ya wizi alizoibia wavuja jasho wa nchi hii, siyo kila siku Lowasa Lowasa !!!!
hawezi kutulia yule hadi aondoke na mtu. kwa bahati mbaya au nzuri sina ubia wowote na huyu mheshimiwa

Mmm, si kwamba atakuwa ameshusha malengo kwa mtu anayesemekana kuwa mbioni kuwania u-Rais? Au kauli ya mnajimu imemkuna. Manake TZ, uspika sioni ukiheshimiwa sana kama ilivyo kwa nchi nyingine.
kimsingi urais hawezi kuupata kwa njia yoyote ile. sasa anaona akamate bunge maana ndilo lenye nguvu nyingi

Spika wa bunge lipi? Kama la bongo asahau, kwanza aestablish kama atashinda ubunge au asuburi ubunge wa kuteuliwa au viti maalum vya walioshindwa!
bunge hilihili la bongo ulijualo ambalo pinda anasema analijua nje ndani
 
Ni mhimili mmojawapo muhimu kama ilivyo serikali na mahakama..lets wait and see.

Kibaya hatuna wanasiasa wenye uthubutu hata wakuhesabu kwenye vidole vya mikono.
 
Kwa uthubutu wake, asingekuwea kinara wa ufisadi na mpenda pesa kuliko kawaida, yaani kama angekuwa upande wa wananchi angefaa sana kuwa spika. Kwani ninahakika hayo marichmondi, EPA, BUZWAGI, yangekuwa hayamuhusu, bunge lingewaka moto! ila looooo, yeye ndo injinia ndo hatari ilipo, na ikitokea akawa spika basi arobaini ya nchi TANZANIA itakuwa imetimia.
 
wapinga ufisadi bungeni ni wachache sana. asilimia kubwa ya wabunge wako kimya. ukichukulia spika anachaguliwa na wabunge unategemea nini?
 
Mahala popote ambapo wananchi wanadhulumiwa haki zao za msingi kama vile kuchaguliwa mtu ambae anaAthari kwa maendeleo yao, na akashika madaraka makubwa ya kuiongoza nchini; wanajeshi hupata sababu ya kuanzisha fujo za kiutawala!!!
 
mkuu, Bulesi, si kwa hii bongo ninayoifahamu. vuguvugu la jeshi lilikuwa enzi zile mwanzo wa uhuru wakati wanajeshi walipokuwa wakipelekwa nchi mbalimbali kupigania uhuru huko. walikuwa bado wana ari na ndio maana walitaka kupindua nchi enzi hizo. angalia nchi zote zenye coup ni zile ambazo zina politica unrest
 
Kama kweli itafikia wakati akahitajika Spika nafikiri Lowasa si mzuri sana maana yeye hajui na hawezi kufuata sheria.

Halafu kwa utendaji kazi wake wabunge wanaweza kujikuta pabaya kwa kupigwa makonde na kusimamishwa ubunge pale watakapotofautia naye.

Ningependekeza spika awe Chenge, huyu ni mwanasheria mahili na anautulivu sana pale anapochangia jambo la msingi.

Lakini suala linabaki "Je ni mwadirifu? Je ni lazima Spika awe Mwadirifu?
 
Kuna habari za chini ya zulia kuwa lowasa anatarajiwa kugombea uspika dhidi ya sitta. Kama hii itakuwa kweli basi kazi ipo maana ana nguvu pale bungeni

Please Kingi give me a break!!!! you can come with something better than this... hii biashara ya kuzunguka watu badala ya issues inakera sasa
 
Mh hizi kweli ni tetesi manake unaangalia tu hali halisi yaani toka uPM mpaka Spika kweli Tetesi!
Jamani tetesi zisizokuwa na source ni majungu tuu. Uchaguzi ni October 2010 haijulikani wangapi watatoka na wangapi wapya wataingia na hata huyo spika mtarajiwa hajasema kitu. Hivi kwanini tunakuwa hivi??? mara anataka kugombea urahisi mara kwao amepata mpinzani jamani ninwaomba hili jamvi letu liendelee kuwa na hadhi stahili basi leteni vitu vilivyopikwa vizuri kwani humu ndani we dare to speak without fear. MODE UKO WAPI???
 
lini umesikia kuwa tetesi hazitumiki kujengea hoja? mjue tetesi si majungu bali ni habari fulani zilizofichika. katika finance kuna kitu tunaita insider trade. hizi ni tetesi muhim sana kwa wanahisa, so tuwe pamoja hapo

Please Kingi give me a break!!!! you can come with something better than this... hii biashara ya kuzunguka watu badala ya issues inakera sasa
people make issues, mkuu

Busara za kuongozea bunge amepata wapi?

ubabe na jino kwa jino, mzee

Kama kweli itafikia wakati akahitajika Spika nafikiri Lowasa si mzuri sana maana yeye hajui na hawezi kufuata sheria.

Halafu kwa utendaji kazi wake wabunge wanaweza kujikuta pabaya kwa kupigwa makonde na kusimamishwa ubunge pale watakapotofautia naye.

Ningependekeza spika awe Chenge, huyu ni mwanasheria mahili na anautulivu sana pale anapochangia jambo la msingi.

Lakini suala linabaki "Je ni mwadirifu? Je ni lazima Spika awe Mwadirifu?

hapo bora awe lowasa

Kuna habari za chini ya zulia kuwa lowasa anatarajiwa kugombea uspika dhidi ya sitta. Kama hii itakuwa kweli basi kazi ipo maana ana nguvu pale bungeni
Hizi ni habari za chini ya bahari, maana chini ya zulia haziwezi kupatikana na haiwezekani ni kashfa kwa taifa hiyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom