Lowassa kuwa mgeni rasmi ktk ujenzi wa kanisa RC Kyela

bitabo mkuu,
nilichokisema nakiamini na nakijua kwa sababu mimi ni mnyakyusa wa kyela,
ulizia habari ya nyerere na kawawa, huko kyela walifanyiwa nini?
Pesa ina sehemu yake, but ujasiri wa hawa watu ni tofauti! Najua ninachokisema

mwache bitabo utamaliza utamu tusubiri hiyo april halafu tukutane hapa,naomba bitabo uje uanzishe thread
 
kilaini na pengo vipi nyumba za mungu mnazifanyia pango la wala rushwa na ufisadi? Ni vipi mnashiriki kumsafisha alie mchafu kwa fedha zake? Hivi nyie ndo mlikua mnapiga kelele za ufisadi kipindi hicho mpaka kilaini ukatupwa bukoba ili watu walale? Dhamana mliyopewa ya kuongoza kanisa mtakuja ulizwa na mungu.....ufisadi mnaukemea lakini fedha za ufisadi mnazitaka shauri yenu....

makanisa wanafiki mtu fisadi na wanajua wamehubgiri na kukemea wizi kila siku lakini pesa za mwizi wazitaka,jamani hata hivyo fuatilia wazee wa makanisa backgroud zao majambazi,wezi wa mali za umma kila uchafu
 
Back
Top Bottom