Lowassa Kutogombea Ubunge 2015?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Kuna tetesi kuwa Lowassa anajipanga kugombea Urais 2015 na hivyo anamuandaa mtu wa kumuachia Ubunge wa Monduli.Mikakati yake ni pamoja na kuwawe watu wake kwenye Bunge,Ukuu/Ukurugenzi wa Wilaya/Mkoa na kumuunga mkono mtu wake kugombea Uspika wa Bunge.Wenye kufahamu zaidi watujuze.
 
hii thread siyo international.kuna watu wa kuja huku!crap!!!!!!!!!!!!!!!!

Moderator fanya kazi na ui muvuzishe fasta!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom