Kuna tetesi kuwa Lowassa anajipanga kugombea Urais 2015 na hivyo anamuandaa mtu wa kumuachia Ubunge wa Monduli.Mikakati yake ni pamoja na kuwawe watu wake kwenye Bunge,Ukuu/Ukurugenzi wa Wilaya/Mkoa na kumuunga mkono mtu wake kugombea Uspika wa Bunge.Wenye kufahamu zaidi watujuze.