Lowassa kutinga Dar muda wowote kufatilia sakata la Mbowe!

Pambaneni sana ,naimani ipo siku hii rangi ya kijani na njano zitatoweka tu,mwalimu nyerere aliondoka ccm yake hiki kilicho baki nikivuli kibasumbua ,ipo siku kivuli hiki nacho kitaondoka na nchi kuwa na amani ,nchi imeshikiliwa na watu waliojawa na chuki ,hila na roho mbaya,ipo siku wataondolewa ,pole mh mbowe natumai mungu anakusimamia .
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Mhe.Edward Lowassa amekatisha mapumziko yake Kijijini Monduli na kurudi DSM kwa lengo la kumuwezesha kufuatilia kwa karibu suala la Mwenyekiti wake Mhe. Freeman Mbowe.

Lowassa alikuwa Monduli katika mapumziko mafupi. Anatarajia Kuwasili kesho jumanne asubuhi.

source:John Mrema
Hasomi magazeti? Si walikuwa pamoja Dodoma angemshauri atii sheria bila shurti.
 
Back
Top Bottom