Kuna mazungumzo yanaendelea kumuomba lowasa akubali kujiunga na baraza la mawaziri lakini kwa sasa katika nafasi ya uwaziri wa kawaida na si uwaziri mkuu. kwa mwelekeo wake inaonekana yeye kutokubaliana na pendekezo hilo
lakini simu ya kichina si zina chipu ya kumbukumbu na vilevile rais anawashauri wake, je washauri wanakazi gani?yaani kwa JK inawezekana kabisa maana huyu jamaa akili yake ni kama simu ya kichina bila kuichaji mara kwa mara haifanyi kazi
yaani kwa JK inawezekana kabisa maana huyu jamaa akili yake ni kama simu ya kichina bila kuichaji mara kwa mara haifanyi kazi
Labda Wizara ya Maliasili na Utalii inahitaji kukuzwa
mwenye nchi hii mh. mugabekumuomba???!!!!! give me abreak.... sasa huyo anayemuomba ni nani?
mwenye nchi hii mh. mugabe
inamaana akipewa hakubali mpaka aombwe?? acheni hizo bana yeye ni nani kwani na kafanya nini cha ajabu mpaka aombwe kupewa dhamana ya uwaziri :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry: