Elections 2010 Lowassa kurudi kwenye baraza la mawaziri

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Kuna mazungumzo yanaendelea kumuomba lowasa akubali kujiunga na baraza la mawaziri lakini kwa sasa katika nafasi ya uwaziri wa kawaida na si uwaziri mkuu. kwa mwelekeo wake inaonekana yeye kutokubaliana na pendekezo hilo
 
kimpango wake.....................

he's one of the most hated men in Tanzania.
 
yaani kwa JK inawezekana kabisa maana huyu jamaa akili yake ni kama simu ya kichina bila kuichaji mara kwa mara haifanyi kazi
 
yaani kwa JK inawezekana kabisa maana huyu jamaa akili yake ni kama simu ya kichina bila kuichaji mara kwa mara haifanyi kazi
lakini simu ya kichina si zina chipu ya kumbukumbu na vilevile rais anawashauri wake, je washauri wanakazi gani?
 
Yeye akawahudumie watu wake wa Monduli; mimi sio wa Monduli simtaki kabisa!!
 
Lowasa hakuna pesa anayoipisha akipewa hata wizara waliyokuwa wamemficha magufuli atakubali atatafuta maslahi yake ya pesa kwa namna yoyote ile na hakosi yule shababi wa njaa Na visasi visivyokwisha ila namvulia kofia CHEKACHEKA (JK)Hata akili za darasa la nne la zamani hazimsaidii kufanya maamuzi ya busara @@@@@@pole mimi samaki wa tanzania hii naliwa huku naonanihurumieni jamani@@@@
 
:israel: ACHA ARUDI AJIUNGE NA TIMU YAKE, HUWA TIMU INAKUWA NZURI WAKIPANGWA WACHEZAJI WANAOFAHAMIANA VIZURI. NAFIKIRI PIA HATA CHENGE ATAKUWEMO KWENYE BARAZA. UKIZINGATIA KAMPENI ZAKE ZA USPIKA ZILIVYOFANYA KAZI!!! LAZIMA APONGEZWE NA KUSAJIRIWA KWENYE DIRISHA DOGO
 
Lowasa ni lazma awe Waziri mkuu hilo lipo katika mkataba wao na waliopo kwenye system.
wakimtosa atawafanyia kitu mbaya.
 
chenge kwa kuwa kakosa usipika namshauri ampe uwaziri wa sheria na katiba, mh Lowassa Nishati na madini, Mh sana Rost Viwanda na biashara, awarudishe kina msabaha na yule mwingine wa bukoba mwenye tics kwa kuwa watakuwa wamejifunza bila kumsahau mramba kwa kuwa ni jembe jipya mpini wa zamani.
 
mwenye nchi hii mh. mugabe

inamaana akipewa hakubali mpaka aombwe?? acheni hizo bana yeye ni nani kwani na kafanya nini cha ajabu mpaka aombwe kupewa dhamana ya uwaziri :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
inamaana akipewa hakubali mpaka aombwe?? acheni hizo bana yeye ni nani kwani na kafanya nini cha ajabu mpaka aombwe kupewa dhamana ya uwaziri :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:

Kumbe mwenzetu unapitwa ina maana hujui kuwa huyu jamma kashika nchi kimtindo na fedha alizo nazo kupitia zain na kwingineko na hata wana mtandao aliyewaweka yeye 2005 kama vile anavyotaka kuanzia wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya wakurugenzi wa halmashauri na idara mbalimbali za serikali. Na kwa taarifa yako ni hivi hata JK ndicho hasa anachomwogopea na hawezi kumtupa angeweza hata kukosa uraisi wa mwaka huu kama unabisha angalia walivoishika cc yao na kumwaga sitta ndipo utaelewa naongea kitu gani kaka ila hasira zako zinaunganishwa na mamiliaoni ya watanzania subiri Dk. Atoe tamko utajua tuko wangapi tulioibiwa na tunataka chetu kwa gharama yoyote ile
 
Itabidi iundwe wizara maalumu ya UFISADI NA UCHAKACHUAJI WA CHAGUZI labda ndiyo itamfaa. Lakini mimi kwa sasa JK na CCM yake siwaelewi, anything can happen maana tumegoma kuwa na uchungu na nchi. Ridhwani anaweza kupewa ubunge na kuteuliwa uwaziri wa vijana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom