Lowassa: Kuna jitihada kubwa sana za kudhoofisha upinzani, lakini hawataweza 2020 watakaa pembeni

Waziri mstaafu Edward Lowassa anaamini kwamba kuna kila namna inayofanywa na watu fulani ili waweze kuua kabisa upinzani hapa nchini Tanzania, pia ameongeza kwa kusema kwamba Tanzania ni wakati wa kusimia haki zetu.

Akiongea na watu wa moshi mjini Lowassa amesema kwamba pamoja na mambo yanayoendelea na wanayofanyiwa katika kipindi hiki pia na swala zima la kunyiwa kiwanja cha mashujaa na badala yake kupelekwa viwanja vya Majengo, lakini anaamini kwamba shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Mh Ndesambuo umeenda vizuri na kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.

Mwaka 2020 ni mwaka wetu na tushinde hata kama wanataka kufanya kila njia ya kudhoofisha upinzani
In Lowassa Voice..

Amewashukuru pia mchungaji Gwajima na waziri mstaafu Fredrick sumaye kwa kuongelea swala hilo na kuwahakikishia moshi ushindi mwaka 2020 (Uchaguzi Mkuu)

Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu Chadema ambaye bado anaamini kwa mara nyingine tena ifikapo mwaka 2020 atapitishwa na chama chake cha Chadema kugombania urais.

pole sa Lowassa, Moshi na Arusha pekee haziwezi kukupa uraisi wa nchi hii
 
Kama ilishindikana mwaka 2015 ambapo CCM iligawanyika vipande vipande, halafu mgombea wetu akatutaka tulinde kura za madiwani na wabunge tu, kwamba za kwake atazilinda mwenyewe. Basi huko mbele sioni chochote cha maana, zimebaki story tu.
 
Katika upinzani uliokufa ni wa TZ..,,

Mzee pumzika acha vijana wenye nguvu na ndoto zao wazifanikishe,, Huu ni muda wako wa kula mafao sio kuhangaika na vijana wa CDM., Wenzako kina Mnyika magoti yao yamzoea virungu., It was'nt your fate to be PREZIDER big boy......!!!

Kwa nini usiwe mshauri wa mawazo tu babu yangu..?? Utafia barabarani nakuhurumia mzee wangu si nia yangu kukuponda.
Wao wana magari ya vita/na majeshi ,sisi tutaliita jina la BWANA,wa Majeshi,
 
Huyu mzee anasaidia sn amani ya nchi, hekima zake ni muhimu sana.

Hizo hekima za Lowassa amezipata baada ya kuhamia CHADEMA? Angekuwa nazo kabla angekuwa na tuhuma alizo nazo? Usisahau Richmond?? Usisahau mwanahabari kumwagiwa tindikali?? Usisahau mwanasiasa kulishwa sumu?? Usisahau kuchukua maeneo yaliyo wazi na kuyafanya ya kwake na mengine kujenga hotel?? Usisahau kuchukua ranchi na kuzifanya zake?? Hizo busara amezipata baada ya kukosa madaraka??? Waweza kusema ni tuhuma lakini hazijathibitishwa, ni sawa, lakini dini anayoiamini inamkatiza kuishi mazingira ya kumfanya atuhumiwa. Hata mwaka 1995 alienguliwa na Mwl Nyerere kwa tuhuma na alipojitetea sana aliambiwa kuwa mke wa mfalme Hatuhumiwi. Sasa hizo hekima amezianza au kuziiga lini?????
 
Mwl ndiyo alikuwa malaika wa Tanzania? acha mawazo mgando ya kushindwa kuamini hata mawazo ya wazazi wako.
 
Ni ngumu sana kutumia ccm masalia kuwatoa wakoloni weusi ccm.
Huwezi kuishinda ccm kwa stahili ya uongozi wa Lowassa wa ndiyo mzee, waache tu sisi tunaomba mungu na upole upole kama huo.
I wsh tungempata mtu kama maalim na CUF ile ya wanaumeee...!!!
Utakuwa mtu wa ajabu sana mpaka leo ukiwa na wazo kuwa Lowassa anaweza shinda uchaguzi.
Waziri mstaafu Edward Lowassa anaamini kwamba kuna kila namna inayofanywa na watu fulani ili waweze kuua kabisa upinzani hapa nchini Tanzania, pia ameongeza kwa kusema kwamba Tanzania ni wakati wa kusimia haki zetu.

Akiongea na watu wa moshi mjini Lowassa amesema kwamba pamoja na mambo yanayoendelea na wanayofanyiwa katika kipindi hiki pia na swala zima la kunyiwa kiwanja cha mashujaa na badala yake kupelekwa viwanja vya Majengo, lakini anaamini kwamba shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Mh Ndesambuo umeenda vizuri na kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.

Mwaka 2020 ni mwaka wetu na tushinde hata kama wanataka kufanya kila njia ya kudhoofisha upinzani
In Lowassa Voice..

Amewashukuru pia mchungaji Gwajima na waziri mstaafu Fredrick sumaye kwa kuongelea swala hilo na kuwahakikishia moshi ushindi mwaka 2020 (Uchaguzi Mkuu)

Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu Chadema ambaye bado anaamini kwa mara nyingine tena ifikapo mwaka 2020 atapitishwa na chama chake cha Chadema kugombania urais.
 
Waziri mstaafu Edward Lowassa anaamini kwamba kuna kila namna inayofanywa na watu fulani ili waweze kuua kabisa upinzani hapa nchini Tanzania, pia ameongeza kwa kusema kwamba Tanzania ni wakati wa kusimia haki zetu.

Akiongea na watu wa moshi mjini Lowassa amesema kwamba pamoja na mambo yanayoendelea na wanayofanyiwa katika kipindi hiki pia na swala zima la kunyiwa kiwanja cha mashujaa na badala yake kupelekwa viwanja vya Majengo, lakini anaamini kwamba shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Mh Ndesambuo umeenda vizuri na kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.

Mwaka 2020 ni mwaka wetu na tushinde hata kama wanataka kufanya kila njia ya kudhoofisha upinzani
In Lowassa Voice..

Amewashukuru pia mchungaji Gwajima na waziri mstaafu Fredrick sumaye kwa kuongelea swala hilo na kuwahakikishia moshi ushindi mwaka 2020 (Uchaguzi Mkuu)

Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu Chadema ambaye bado anaamini kwa mara nyingine tena ifikapo mwaka 2020 atapitishwa na chama chake cha Chadema kugombania urais.

Hivi si ndio huyu alisema atachukua nchi asubuhi saa 4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom