Lowassa Kumrithi Chenge & Baraza la Mawaziri Kupanguliwa Tena?

Status
Not open for further replies.

Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,194
297
Kuna tetesi kuwa huenda baraza la mawaziri likapanguliwa tena na kati ya maajabu ya musa, ni pamoja na Mh. Lowassa kurudishwa kwenye timu kuchukua nafasi ya 'marehemu' Chenge. Ngoja tuyasubiri maana karibu ardhi itatoa bonde lingine la ufa TZ.
 
Mkuu please nadhani wajua kila mtu yuko serious hapa, na ampungu fu yote ya JK hawezi kufanya uteuzi huo, hebu tujaribu kuwa serious kidogo wakati huu wakuijeng atanzania
 
Mkuu please nadhani wajua kila mtu yuko serious hapa, na ampungu fu yote ya JK hawezi kufanya uteuzi huo, hebu tujaribu kuwa serious kidogo wakati huu wakuijeng atanzania

Mkuu inaonekana kama vile maigizo lakini ndio fununu zenyewe hizo. Subiri uone maajabu ya Musa yakifanywa na Kikwete.
 
We acha utani

Iko njiani yaja. Utashangaa lakini ndio dini ya siasa za mtandao hizo.

610x.jpg
Hawatenganishwi.​

610x.jpg
 
aiseeh wewe utani karibu na kweli,na anaweza kufanya hivyo na kwenye uchaguzi akashinda kwa 80%...afanye atakacho poa tuu.
 
Waungwana.

Watu wote tunaelewa kuwa JF inasomwa na JK na hata wasaidizi wake wa karibu na huwa wanapata mambo mengi tu kupitia humu.

Sifikirii kama JK anaweza kufanya ubuuzi kama huo kwa muda huu unless awe HAWEZI KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI.

Upuuzi kama huu unaweza kufanywa na mtu ambae anaakili kama za mwandawzimu.

Ama labda kama kuna member anaweza kutuambia kuwa jamaa anapata ushauri mwengine kupuitia njia zile alizozisema BABA WA TAIFA miaka ile ya tisini.

JF bado itaendelea kuwa ni KISIMA cha kuchotea mawazo na hilo tuamini haliwezekani. Lets wait and see.
 
Kuna tetesi kuwa huenda baraza la mawaziri likapanguliwa tena na kati ya maajabu ya musa, ni pamoja na Mh. Lowassa kurudishwa kwenye timu kuchukua nafasi ya 'marehemu' Chenge. Ngoja tuyasubiri maana karibu ardhi itatoa bonde lingine la ufa TZ.

Mkuu, Kubwajinga tarehe 1.4. ya kila mwaka MBONA IMEPITA? Hii siyo siku ya WAJINGA!!!!!!!!!!!! Stop from KIDDING US.
 
Source ya habari inaendelea kutema kuwa, JK kama tumjuavyo si mchapa kazi na alikuwa anamtegemea mshikaji wake EL. Sasa, tokea alipoondoka, pumzi zimekuwa zinamwishia. Lakini alikuwa anatafuta njia ya kumpa room pale statehouse. Sasa baada ya kupata huu upenyo wa Chenge, muungwana akaitwa toka Monduli kumpokea DIA na mikakati ikaanzia huko. Subidiri tuone ikishuka live TBC.
 
Jamani kwa JK na vijimambo vyake, hakuna CHA AJABU, nani alijua Chenge atarudishwa katika baraza? Nani alitegemea baadhi ya mawaziri kupewa nafasi nyeti wakati kuna ushahidi wa kutostahili kupewa nafasi hizo kwa sababu moja au nyingine? Pamoja na kuwa sina sababu yoyote ya kuiamini taarifa za Lowassa kurudi katika baraza la mawaziri, sitoshangaa kabisa kusikia kwamba hata source ya habari yenyewe ikawa ni Lowassa na JK wake ama watu walio karibu kupima upepo na ili iwe ufunguo wa EL kurudi kwenye ulingo wa SI HASA. Katika siasa za Bongo Lolote linaweza kutokea kama nilivyosikia kuwa "Huenda tukawa na Hilary Clinton" wetu Bongo siku zijazo...... THIS IS SERIOUS.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WALAANI MAFISADI, MUNGU WAANGAMIZE MAFISADI NA VIBARAKA WAO WAKIWAMO WANAOINGIA HUMU JF. MUNGU ENDELEA KUSIKIA DUA ZETU NA UWASAMBARATISHE MAFISADI NCHI IWEZE KUENDELEA MBELE
 
hii nakupa hata mimi nakupa benefit of the doubt manake when it comes kwenye utawala wa jk everything is possible.
 
hii nakupa hata mimi nakupa benefit of the doubt manake when it comes kwenye utawala wa jk everything is possible.

Hawa jamaa hawana soni atamrudisha EL na kuwaandaa makada wa CCM kuandamana kumsifia halafu inapita. Inabidi kulipigia mayowe kabla halijatokea ili hata kama ikitokea ajue kabisa kuwa wapo walio karibu naye wasiopendezewa kurudishwa kwa EL hata kama ni kwenye umesenja.
 
"Huenda tukawa na Hilary Clinton" wetu Bongo siku zijazo...... THIS IS SERIOUS.

Mimi nilihisi mbio zake zitaishia kwenye Ubunge kama alivyo Janeth M7 ... kumbe yuko kwenye plan za kurudi Jumba Jeupe baada ya miaka kadhaa!

No wonder safari za mikoani haziishi na kila kona ni WAMA tu. Yetu macho ....
 
hivi ile april fool au full nnakusudia kuuliza inakuwa mwezi mzima wa april inakuwa ndio hivyo mpaka iingie mei au vipi?

nnaomba mnisaidie nimetatizika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom