Lowassa Kumrithi Chenge & Baraza la Mawaziri Kupanguliwa Tena?

Status
Not open for further replies.
Jamaa walishajipanga kuwa baada ya JK anafuatia EL, then vijana wao wengine + familia zao n.k. Ndio maana Ridhiwani na mama tayari washapewa nafasi muhimu kwenye CCM. Raisi wetu yupi mwingine ambaye familia yote iliingizwa kwenye ulaji wa CCM? EL is back whether tunataka au la, ngoja tuisubiri radio mestini iendelee kutema.
 
Kwa jinsi JK alivyo mtupu kichwani, sitashangaa kama Teddy atarudi kwenye cabinet yake. Hii bongo bwana. Yasiyowezekana kote yawezekana hapa Tz.
 
Mimi yangu macho maana hii habari ni nzito.Vyanzo vyangu vya habari vina elekea kuunga madai yako Kubwa Jinga .Lakini wanakataa kuthibitisha kwangu.Movement under the carpet ni nzito na Lowasa kisha vaa jezi tayari .Hawajathibitisha ila kuna mambo yanayo chemka .
 
EL hana nafasi ya kurudi katika baraza la mawaziri.Haiwezekani Jk kumrudisha kwa sababu atakuwa anafanya political suicide.Na wale wanaojifanya wajuaji na kututangazia tetesi za kwenye mabaa au kwenye kahawa subirini mpate kuubuka na tetesi zenu.Na kama manafanya hivyo ili kuwa kama shinikizo ili kama JK alikuwa na wazo la kumleta tena ndani ya baraza la mawaziri asifanye hivyo pia mnakosea kwani hana kabisa nia ya kufanya hivyo.Sasa hivi mtasikia jina la waziri mpya wa miundo mbinu...tulieni.
 
Kuna tetesi kuwa huenda baraza la mawaziri likapanguliwa tena na kati ya maajabu ya musa, ni pamoja na Mh. Lowassa kurudishwa kwenye timu kuchukua nafasi ya 'marehemu' Chenge. Ngoja tuyasubiri maana karibu ardhi itatoa bonde lingine la ufa TZ.

msivute bangi kabla HAMJANYWA CHAI jamani.
 
Jamaa walishajipanga kuwa baada ya JK anafuatia EL, then vijana wao wengine + familia zao n.k. Ndio maana Ridhiwani na mama tayari washapewa nafasi muhimu kwenye CCM. Raisi wetu yupi mwingine ambaye familia yote iliingizwa kwenye ulaji wa CCM? EL is back whether tunataka au la, ngoja tuisubiri radio mestini iendelee kutema.

EL ndio alikuwa akijipanga for 2015 na JK halikuwa hamtaki kabisa EL lakini wazee wa CCM walimlazimisha.

ITAKUWA MAAJABU YA MUSA kama kweli hizo tetesi ni kweli...siamini anaweza kufanya hayo makosa....

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
haya ndiyo nimezungumza kwenye ile mada ya Kitila. Kwanini uandike sentensi kama fact. Kwa vile ni tetesi why not put a question mark isipokuwa kama tunataka kupotosha watu. We have to elevate our games dear friends. Na hii kwa vile ni tetesi tu, inatakiwa iende kule kwa nyepesi nyepesi...
 
kikwete kweli kichwa cha mwendawazimu lakini si kiasi hicho.

tuombe radhi watanzania kwa kututukania rais wetu . lol (jk)
 
Mimi yangu macho maana hii habari ni nzito.Vyanzo vyangu vya habari vina elekea kuunga madai yako Kubwa Jinga .Lakini wanakataa kuthibitisha kwangu.Movement under the carpet ni nzito na Lowasa kisha vaa jezi tayari .Hawajathibitisha ila kuna mambo yanayo chemka .

Nilikuwa hata sishtuki na maneno ya Kumbwa Jinga, niliona ni ubuuzi unapaswa kutopewa nafasi, sasa inaungwa mkono nawe Mkuu Lunyungu he! 'Twifwa Twilola' (tunakuwa huku tunaona). Naomba Mungu kituko hiki kisitokee.
 
"All the world's a stage, and all the men and women merely players. They have their exits and their entrances, and one man in his time plays many parts,his acts being seven ages" - William Shakespeare
 
Kwa jinsi JK alivyo mtupu kichwani, sitashangaa kama Teddy atarudi kwenye cabinet yake. Hii bongo bwana. Yasiyowezekana kote yawezekana hapa Tz.

EL tayari keshapewa na kacheo bungeni licha ya kuwa wao ndio waliomtimua, sasa JK atashindwa nini?
 
mawaziri gani wanajua nchi hii vizuri!!! eti waziri anasimama nawaambia wananchi kuwa taifa letu ni maskini lakini si kweli,mbona chenge,na wausika wa epa bado wanapeta mtaani....,mimi ni ccm damu lakini mwaka huu ni waibu kweli kweli,tuwakamate wale wote ndio tunaweza kusafisha chama chetu.
 
I hope watu wa JK watasoma hizi hasira za wabongo maana inasemekana EL ndie anayemshauri JK hivi sasa juu ya nini kifanyike kwenye hili la Chenge.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom