Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Kuna tetesi kuwa huenda baraza la mawaziri likapanguliwa tena na kati ya maajabu ya musa, ni pamoja na Mh. Lowassa kurudishwa kwenye timu kuchukua nafasi ya 'marehemu' Chenge. Ngoja tuyasubiri maana karibu ardhi itatoa bonde lingine la ufa TZ.