Lowassa kujitoa CCM?

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
Kuna tetesi zimeenea kwamba Mh E Lowassa asipo pewa channel ya madaraka tena huenda akajitoa CCM na kujizatiti kwa ajili ya 2010 au 2015...leteni habari zaidi
 
Labda aanzishe chama chake mwenyewe maana sidhani kama kuna chama kitakubali kubeba Kimeta usawa huu. Mwenzake Mrema miaka ile aligombaniwa sababu alikuwa anauzika na alitoka madarakani kwa kigezo cha kutetea maslahi ta watanzania.
 
Kamwe siyali makombo tata tata
Yaliyoachwa mezania talilalilalala
Yanini kunuka shombo
Ya makombo mdomoni.....
 
Hana ujanja wa kukimbia ccm watabanana hapohapo mpaka kieleweke,unafikiri hajui yaliyowakuta waliotangulia.sisi tumjadili kwa ufisadi wake ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake na wale wote walihusika ktk kufanya maisha yetu yazidikuwa magumu.
 
Kuna tetesi zimeenea kwamba Mh E Lowassa asipo pewa channel ya madaraka tena huenda akajitoa CCM na kujizatiti kwa ajili ya 2010 au 2015...leteni habari zaidi

Thubutu!! Ajitoe basi kama kweli yeye ilmorani!
 
Nani kasema Lowassa ni Morani? Lowassa ni Mmeru toka lini akawa Mmasai? Lowassa ni jina la kimasai likimaanisha 'mwenye maringo'. Huyu ni mgeni mwenye maringo na nyumbani kwake ni Chama Cha Mafisadi(CCM), atoke amalizwe na mafisadi wenzie?

Asha
 
Nani kasema Lowassa ni Morani? Lowassa ni Mmeru toka lini akawa Mmasai? Lowassa ni jina la kimasai likimaanisha 'mwenye maringo'. Huyu ni mgeni mwenye maringo na nyumbani kwake ni Chama Cha Mafisadi(CCM), atoke amalizwe na mafisadi wenzie?

Asha

Bi Asha asante kwa ufafanuzi. Sasa kama basi huyu jamaa "mwenye maringo" anazo balls atoke huko CCM tuone! (Kwa uzoefu wangu, wenye maringo huwa hawana balls, ni suala la maumbile tu si mapenzi yao!)
 
Jamani yaani hadi muda huu hamjamjua huyu mleta hoja kwamba huwa ni mzushi wa kawaida tu katika forum.Mie nimekuwa namfuatilia huyu mweney hii hoja .Huwa wala si hoja ila analeta uzushi na tuna acha kujadili ya maana tunakimbilia kwake .Lowasa na CCM damudamu .
 
Nafikiri ni strategies zake za kujipandisha dau. Kwani anakumbuka bado usia wa Sumaye "Ukitaka mambo yako yanyooke lazima uwe ndani ya CCM..." na EL anajua hilo kuliko mtu mwingine yeyote yule. Mwache atoke atazitapika pesa zote alizokwiba kuanzia za AICC, mafuriko ya Lindi na Mtwara, Viwanja alivyouza pale ardhi, mgao wa City water, Mapesa ya TACAIDS,RICHMOND,EPA na makando kando yote aliyotumbukiza pua yake.
 
Nina hakika hapa tunajadili "KITU AMBACHO HAKIPO"; hata hivyo kwa kuwa JF kuna uhuru wa hali ya juu!!! haya twende...

Pamoja na Madudu aliyofanya Mh. ENL (ndege ya uchumi inayopaa) sitowahi kumlinganisha na ALM. Hivyo sitotegemea matukio kama yale ya ALM (Mzee wa Kiraracha), ali-justify kupewa kuongoza nchi kwa kushika dhahabu airport!!!
 
Akiamua kujitoa , basi ajue atakumbana na makubwa.Atafungwa kwa kisingizio cha ufisadi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom